Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Lakini pia ndani ya miaka mitano tumepanua bandari kuu. Dsm 👇. Mtwara . Bandari ya tanga 👇. Na zingine kwenye maziwa makuu
Lakini pia ndani ya miaka mitano tumepiga miradi ya umeme .. kinyerzi two 👇. Bwawa la mwalimu nyerere . Bwawa la rusumo .
Sasa hiyo ni principle ya demand and supply . When demand is high , obviously price inakua kubwa and vice versa. Hakuna exception kua mteja lazima awe mkenya hata WFP wakija nunua price inakua kubwaMkenya akija bei hupanda
Kumbe wanatukubali kimya kimya, hapana chezea wafanyibiashara wa kikenya aisee..
Akiamua kumwaga hela ana mwaga ilimradi anajua atarudisha
Vituo vya mabasi nimeshaweka,nakuja kwenye machinjio ya mifugo na ndegeWapi machinjio ya mifugo? na vituo vya mabasi?
Aawapii kinachojengwa si kilicho kwenye picha! huihitaji rocket science kung'amua!
Unataka kuniambia huu mferehi utakuwa ile underpass kwenye picha?
![]()
Nyinyi mmekua nyuma sana ndio mnajenga vi flyover na highway ya maana, plus ka brt.., we just look vile mnapata orgasms na vitu vya kawaida and by the way it is in Dar only., Tz Tz Tz
,
Tuonyeshe picha kama hii Mwanza. Huwa mumekosa adabu kulinganisha Mombasa na Mwanza. Mombasa ina interchanges, ina underpasses, ina over-passes, ina biggest port in EA. Ina one of the biggest airports in EA. Second biggest city yenu Mwanza sidhani kama ina miradi za barabara kama hii.Aawapii kinachojengwa si kilicho kwenye picha! huihitaji rocket science kung'amua!
Unataka kuniambia huu mferehi utakuwa ile underpass kwenye picha?
![]()
Jina "malazy" ni jina la utani. Usilichukulie kwa uzito wowote. Hii ni kama jinsi nyie mnatuita nyang'au au Wakunya.
Mkuu sio ki hvo hili jambo la barabara kufumuliwa nikutokea 2019 dec, safari zangu nyingi za mariakani tulikua tunakula vumbi sana kw sababu ya ile mitinga inavyochimba chimba barabara..Hio video ya pili iko poa sana. Sikujua Mombasa ni construction site. komora096 kumbe huko Mombasa kunajengwa hivi na umenyamaza tu huku. Sina habari kwamba mambo mazito yanaendelea huko.
Lkn humu nlikua nagusiagusia kuhusu huo ujenzi ila kw makini sana manake nilikua sina data kamili, mambo mengine hayahitaji haraka.Hio video ya pili iko poa sana. Sikujua Mombasa ni construction site. komora096 kumbe huko Mombasa kunajengwa hivi na umenyamaza tu huku. Sina habari kwamba mambo mazito yanaendelea huko.
Hio BRT nyinyi munayo ???🤣🤣🤣 hio three level interchange munayo???Nyinyi mmekua nyuma sana ndio mnajenga vi flyover na highway ya maana, plus ka brt.., we just look vile mnapata orgasms na vitu vya kawaida and by the way it is in Dar only., Tz Tz Tz
,