Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwahiyo ndo hii au co? Hahahahaaa nme save render ili nije kucheka baadaye mana progress inaonekana ni ubabaishaji as usual [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haujaona current progress what I have seen isn't in the internet nakuhakikishia.,
 
Hakuna uwezekano wowote wa nyinyi kujenga hyo interchange na msiote kabisa hata km mnajenga ila haiwezi hata kufanana na hiyo cz tunawajua kelele nyingi hamna kitu,hivi nyie mjenge interchange ya hivyo alafu msipost progress humu? Mmejenga ka expressway tu 27km kwa msaada wa jamuhuri ya watu wa China mkapiga kelele dunia nzima ikasikia.

Hamtajenga interchange km hiyo au hata km ya Ubungo, na ndiyo maana mnaona aibu kupost progress humu [emoji3][emoji3][emoji3]

Yani mkenya ajenge kitu watu wasijue, uliwahi kusikia wapi iyo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]


EidhzxqXgAIirP2.jpg

EidhzN8XcAYPHAA.jpg
 
Blind patriotism inakusumbua, hauwezi fikiria kamwe., it is clouding your judgement, sasa ni wivu na chuki tu, kwa hili swala la mahindi napenda maoni ya wakulima not city slum dweller kama wewe.,
Be my guest, zako humu ni utoto na kelele za chura[emoji28][emoji23][emoji28], wacha hasira nanii[emoji23].,
See how serious people from Tz reacted, wacha shabiki za kitoto and try to reason;
View attachment 1718633
View attachment 1718636
View attachment 1718637
View attachment 1718638
View attachment 1718639
View attachment 1718640
We nikikuambia kichwani hamnazo sitakua nimekosea ASA screen shots za jf ndo wakulima hao? Alafu maneno mengi kama mpiga ramli point zero Katolewe govi huko Lina ninginia mpaka kero🙂
 
We nikikuambia kichwani hamnazo sitakua nimekosea ASA screen shots za jf ndo wakulima hao? Alafu maneno mengi kama mpiga ramli point zero Katolewe govi huko Lina ninginia mpaka kero[emoji846]
Low IQ always. Level ya mapicha tu, stick to your lane tu, hauna la maana humu.[emoji28][emoji23]
 
Nmecheka sn wallahi, kwnn huwa hamuheshimu render?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hehehe!!kwn huaga kunajengwa render[emoji1787][emoji1787]
Watu wanajenga interchange wala hawajengi render, ama render ndio imekorogewa zege vizuri zaidi
 
We nikikuambia kichwani hamnazo sitakua nimekosea ASA screen shots za jf ndo wakulima hao? Alafu maneno mengi kama mpiga ramli point zero Katolewe govi huko Lina ninginia mpaka kero[emoji846]
Kwhyo jf hakuna wakulima sio
 
Geza anafikiria hii nkm ile ya kwao 500meters
Mitanzania inanyamazishwa na facts, ni Kiswahili utasoma humu hadi basi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28], waelewe they have unfounded hatred na wivu, what they think about us keeps being disapproved[emoji123][emoji23][emoji23][emoji28], changamwe hapo junction ni [emoji91][emoji91][emoji91]., nimepaona, difficult to take a picture when passing., kuna mse atanigetia pics kesho ama Monday.,
 
Blind patriotism inakusumbua, hauwezi fikiria kamwe., it is clouding your judgement, sasa ni wivu na chuki tu, kwa hili swala la mahindi napenda maoni ya wakulima not city slum dweller kama wewe.,
Be my guest, zako humu ni utoto na kelele za chura[emoji28][emoji23][emoji28], wacha hasira nanii[emoji23].,
See how serious people from Tz reacted, wacha shabiki za kitoto and try to reason;
View attachment 1718633
View attachment 1718636
View attachment 1718637
View attachment 1718638
View attachment 1718639
View attachment 1718640
Mkenya akija bei hupanda[emoji1787][emoji1787]
Kumbe wanatukubali kimya kimya, hapana chezea wafanyibiashara wa kikenya aisee..
Akiamua kumwaga hela ana mwaga ilimradi anajua atarudisha
 
Hapa safi progress inaonekana, hongereni japo hakuna uwezekano wa kuwa km render, but congratulations in advance, tunataka mambo km haya weka niweke na sio daily sisi tu ila nyie mko na expressway tu, ok[emoji122][emoji122] [emoji122][emoji122]
Brother personally nimetia hapo,inapendeza alafu finishing yake sio mbaya Naona itapendeza kushinda thika highway
 
Back
Top Bottom