Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi kenya kuna barabara njia nane nje ya Nairobi?
Ndio mkuu
images.jpeg-25.jpg
images.jpeg-27.jpg
images.jpeg-26.jpg
 
Sasa hiyo ni principle ya demand and supply . When demand is high , obviously price inakua kubwa and vice versa. Hakuna exception kua mteja lazima awe mkenya hata WFP wakija nunua price inakua kubwa
Sio cha demand wala nn, hapo linaongelewa swala la wakenya..
Hta hili pia unataka kupinga na wakati wakulima wenu mazao yao wakiuzia wakenya ndio wanatoa kwa bei nzuri sana kuliko wengine wote
 
Kwa hayo tu machache niliyotaja ambayo tuliyfanya ndani ya miaka mitano iliyopita,naomba Kenyans Yosef Festo komora096 Tony254 na wengineo mtuonyeshe na nyie mliyofanya at least kutukaribia (Mana sio kutufikia) ndani ya miaka mitano iliyopita ambayo yanawapa ujasiri wa kujiona ninyi ni EA's giant ,tukizingatia ninyi ndio mlikua na bajeti kubwa mara mbili ya bajeti yetu .. The best 007 Geza Ulole ichoboy01 naomba wakileta majibu mnitag ..
Tatizo akili zako zimeganda, sasa hapo kipi kigeni kwetu
 
Hata sisi pia tunajengea watu wa chini mahospitali, sio nyinyi tu mnaoweza kufanya hivi. Afrika Mashariki inazidi kusonga mbele.
Tatizo tangia tuanze huu mjadala sijaona shule wala hospitali za watu wa chini wa dar km vile inavyofanya kenya..
 
Tuonyeshe picha kama hii Mwanza. Huwa mumekosa adabu kulinganisha Mombasa na Mwanza. Mombasa ina interchanges, ina underpasses, ina over-passes, ina biggest port in EA. Ina one of the biggest airports in EA. Second biggest city yenu Mwanza sidhani kama ina miradi za barabara kama hii.
Onesha miradi kama hii mombasa inayomgusa masikini moja kwa moja 👇👇
New modern market city center

Modern bus terminal nyamongoro

New bus terminal nyegezi

Mwanza new passenger terminal airport

Kwa hayo tu machache niliyotaja ambayo tuliyfanya ndani ya miaka mitano iliyopita,naomba Kenyans Yosef Festo komora096 Tony254 na wengineo mtuonyeshe na nyie mliyofanya at least kutukaribia (Mana sio kutufikia) ndani ya miaka mitano iliyopita ambayo yanawapa ujasiri wa kujiona ninyi ni EA's giant ,tukizingatia ninyi ndio mlikua na bajeti kubwa mara mbili ya bajeti yetu .. The best 007 Geza Ulole ichoboy01 naomba wakileta majibu mnitag ..
Tukiwaambia Tz is a construction site hawataki
 
Onesha miradi kama hii mombasa inayomgusa masikini moja kwa moja
New modern market city center

Modern bus terminal nyamongoro

New bus terminal nyegezi

Mwanza new passenger terminal airport

Passenger terminal ya airport inamgusa vipi maskini wa chini alafu barabara isimguse
 
Tuonyeshe picha kama hii Mwanza. Huwa mumekosa adabu kulinganisha Mombasa na Mwanza. Mombasa ina interchanges, ina underpasses, ina over-passes, ina biggest port in EA. Ina one of the biggest airports in EA. Second biggest city yenu Mwanza sidhani kama ina miradi za barabara kama hii.
Kumbuka mwanza haina shida ya maji kwa asilimia zaidi ya 90 wakat mombasa ina shida ya maji kila kona kama nadanganya prove me wrong 🤣🤣🤣🤣

tafuta dampo la kisasa kama hili kenya nzima ukipata nitag 😀😀😀👇 mombasa imeoza kwa takataka kila kona au nasema urongoo
 
Tuonyeshe picha kama hii Mwanza. Huwa mumekosa adabu kulinganisha Mombasa na Mwanza. Mombasa ina interchanges, ina underpasses, ina over-passes, ina biggest port in EA. Ina one of the biggest airports in EA. Second biggest city yenu Mwanza sidhani kama ina miradi za barabara kama hii.
Tafuta modern hospital and biggest hospital like this in mombasa ukipata nitag🤣🤣🤣👇👇👇👇
C5F0718A-94FD-4080-A6F2-E8BE8016C2DA.jpeg
E795F78A-B0F4-45F4-A39F-BAE5207A5564.jpeg
 
Tuonyeshe picha kama hii Mwanza. Huwa mumekosa adabu kulinganisha Mombasa na Mwanza. Mombasa ina interchanges, ina underpasses, ina over-passes, ina biggest port in EA. Ina one of the biggest airports in EA. Second biggest city yenu Mwanza sidhani kama ina miradi za barabara kama hii.
Naomba uwe na habari kua mwanza panajengwa daraja kubwa la kihistoria kwa africa mashariki na kati 3.2km na litakua na 6lanes

Tuonyeshe picha kama hii Mwanza. Huwa mumekosa adabu kulinganisha Mombasa na Mwanza. Mombasa ina interchanges, ina underpasses, ina over-passes, ina biggest port in EA. Ina one of the biggest airports in EA. Second biggest city yenu Mwanza sidhani kama ina miradi za barabara kama hii.
Wewe usiichukulie mwanza kama ile mwanza mulioiozea ya 90s 😆😆😆 nenda na wakati muda utakuacha bro mambo yamebadilikika mwanza karibia mitaa yote around the city center ni lami na ina mitaa ya kisasa ambayo mombasa utaisikia kwenye radio

Passenger terminal ya airport inamgusa vipi maskini wa chini alafu barabara isimguse
Kwani kitu kama airport kumgusa mwananchi wa chini mpaka huyo mwananchi lazima akauze maandazi na ubuyo hapo airport? Hayo mapato yanayopatikana hapo yakipelekwa kwenye sector nyingine kama afya, barabar, kilimo n.k hayamgusi mwananchi wa chini? USIKARIRI MAISHA BIBI!
 
Back
Top Bottom