Waishie pabaya mara ngapi?ASA Ku practise utapeli wa kibiashara ni Jambo la kujivunia kweli jirani?
Alafu uko proud kuandika huo upuuzi eti mnanua mahindi bei ya Chini mnauza almost triple price huoni ni laana kubwa mnazidi kujiwekea?mnakandamiza mkulima alafu mdakandamiza na mwanachi ambaye ana nunua final product ambayo ni maize flour kwenye maduka na supermarket zenu?mtazidi kujisifia kwenye mitandao na platforms nyingi Ila kiukweli nyie sio wastaarabu na hamna hofu na mwenyez mungu mtakuja kuishia pabaya
time will tell.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Waishie pabaya mara ngapi?
Kule kenya culvert huitwa bridge!Tobaaah🙄🙄🙄
Huwa si-screenshot wala kuzihifadhi popote mkuuHahahahaaaaa, sijui huwa unatumia mbinu gani mkuu, hau screenshoot wala nn ila unazipata![]()






Picha za sgr tz hata kilomita moja from Dar to MOROGORO...Tag me ukiweka otherwise have a nice day.
Tofauti ni kwamba Tz hamna SGR hata kilomita moja na kama ipo weka ushahidi wa picha...😀😀
Ni kweli mkuu. Hiyo ni dhana potofu sana tunalishwa na wazee wa poverty line. Mimi nimekulia kijijini. Kule ni mayai, maziwa, mboga mboga, magimbi, viazi, na vitu kibao. Vyote hivyo vilikuwa supplied na familia yenyewe. Hivyo tunapiga mlo kamili bila kuulipia.![]()
![]()
Mkuu umefufua point muhimu sana, na kwa hii sababu ndio wajiulize how come mtu anapata mlo sahihi throughout the year lakini bado anaitwa maskini. Na hiki chakula kilichotoka shambani ndio kinachotufanya tuwe na kinga ya kutosha dhidi ya covid
haha sauna sister alkua ananiadisia sana akiwa Ukraine 2014-2020 hivyo kweli nkama kujifkiza tuuUnafikiri anajua hata sauna ni nini basi!? Mimi nakumbuka mwaka 2014 pale chuo cha kilimo Uyole, kuna jamaa flani wazungu kutoka Sweden walikuja kufanya field. Miongoni mwa stori walitupatia ni hiyo sauna na namna inavyofanyika.
Walituacha midomo wazi walipotwambia kuwa wakiendaga kujifukiza wanakuwa naked na hawajali hata kuchanganyikana na wazazi fresh tu! Na wao wakabaki kutushangaa tulipowashangaa kukaa nakes na wazazi. Tukawaambia huku ni mwiko hata kuona paja la mzazi. Wakatuona kama watu wa ajabu, kwani kitu gani!
Sasa hiyo ni 2014 mimi nimejua kuwa kumbe nao wanajifukiza kama Okonkwo alivyomfukiza mwanae kwenye "Things fall Apart". Hawa majirani zetu "wazungu" wanaona kujifukiza kama uchawi hivi.
Choose between suspected aflatoxin in maize or death through starvation. Tell me which is better.mature up si kila kitu ni battle...aflatoxins ni harmful sana kwa binadamu
Dah! mnatumia mbinu nzuri sana, sisi kwetu hua tunazoa mbolea kwenye zizi then inaburuzwa hadi shambani na kutandazwa, nyingine kwenye migomba na kahawa.Ni kweli mkuu. Hiyo ni dhana potofu sana tunalishwa na wazee wa poverty line. Mimi nimekulia kijijini. Kule ni mayai, maziwa, mboga mboga, magimbi, viazi, na vitu kibao. Vyote hivyo vilikuwa supplied na familia yenyewe. Hivyo tunapiga mlo kamili bila kuulipia.
Nakumbuka marehemu bibi alikuwa genius! Shamba la mahindi ndilo lilikuwa zizi baada ya mavuno. Kila siku mbili tatu linahamishwa humohumo ndani ya shamba. Mpaka msimu wa kulima ufike, shamba zima lina samadi hivyo no cost of mbolea na utapata mazao yenye sumu sifuri.
Kulima ilikuwa ni ng'ombe wanalima. Usafiri pia walishughulikia wenyewe. Matumizi mengine ilikuwa kidogo tu kwenye chunvi, madaftari na nguo kwa mfano.
Sasa familia kama hii utaambiwa ni masikini kwa kuwa inatumia sijui chini ya dola moja kwa siku!
Wakati huo huo kuna familia ya wazungu pale London kila kitu inanunua lakini havina ubora kama vya kwetu. Mayai ya kisasa, maziwa ya kisasa, mboga mboga zimejaa mbolea, tv unalipia service charge (hii huwa hawaisemi, wanaona aibu).
Sasa hapo utakuta hiyo familia ya London kwa siku imetumia dola 300 na bado haijapata mlo kamili. Wakati hii ya huku kwetu imetumia chini ya dola 1 na imekula mlo kamili.
Kuna picha ya mfano nimeikosa hapa. Ilikuwa inaonesha bei ya kilo moja ya bamia kwenye soko la Westminster, London £9 na point. Wakati huo (December 2020) kiasi kama hicho huku kwetu unapata kwa chini ya shilingi elfu tatu.
Angalieni wasije wakawachanganyia na "unga" wale akina Angelino.Mahindi yenu yana sumu hatuyataki. Wacha tupande mahindi wenyewe au tununue kutoka Mexico.
Sio mara ya kwanza kufanya upuuzi kama huu baada ya siku mbili mnarudi nyuma na kuomba mazungumzo. Wait and see kitakachofuata.Tumezuia mahindi ya Malazy yasiuzwe Kenya. Hakuna kitu mtakachotufanya. Sisi ndio baba yenu ukanda huu. Tunawafanya tutakavyo.
Cc The best 007 joto la jiwe Shebby01
Ngoja nikuongezee defining factor nyingine we genius.Pedestrian argument, off as always. Your reasoning about Tz applies almost to all Sub Saharan Africa, where people live a natural simple life, but hawana frame to meet several key obligations in the contemporary world they live in, ona ulivyo fukara kimawazo, you are deprived in reasoning. A fallacy for complacency and laziness, a deception that gives a false hope. Ability to eat, (imbalanced diet mostly, where mulnutrition in Tz is highest in the region) isn't a measure of economic ability or success you idiot
, a feel good argument or reason won't change the truth and facts glaring at you kwa ground; maisha duni kote kote. Same as Nigeria, lots of food but number one extreme poverty in the whole world. Reasoning uchwara sana, idiots wanashangilia,
get the defining factors clearly, sio kukurupuka kifalafala
, the world has changed, individual economic ability and output is key which gives ability to maneuver in the current conditions and meet underlying obligations, not merely eating and fucking, giving birth ovyo ovyo., Ona fikra zenyu sasa
![]()
Ona tenaASA Ku practise utapeli wa kibiashara ni Jambo la kujivunia kweli jirani?
Alafu uko proud kuandika huo upuuzi eti mnanua mahindi bei ya Chini mnauza almost triple price huoni ni laana kubwa mnazidi kujiwekea?mnakandamiza mkulima alafu mdakandamiza na mwanachi ambaye ana nunua final product ambayo ni maize flour kwenye maduka na supermarket zenu?mtazidi kujisifia kwenye mitandao na platforms nyingi Ila kiukweli nyie sio wastaarabu na hamna hofu na mwenyez mungu mtakuja kuishia pabaya
time will tell.


, the forces of demand and supply determines prices, soko huru, elewa economics wacha kujifanya mkarimu, Kenya ain't a wicked socialist country, we are a capitalist state and prevailing market prices as a result of supply/demand determines bei ya kuuza, supply ikiwa mingi bei inashuka, na pia cost of production kwa wa kulima matters, uwezi kuuza bei ambayo itakupeleka hasara, na ukinunua mahindi nje kisha uje uuze bei ya chini sana utakua unaharibu soko na kukandamiza wakulima, in the same principle serikali za Africa zimeanza kubana bidhaa za wachina ili kuokoa viwanda vya ndani, sasa wewe na hizi fikra zako uchwara utaenda China ama Brazil kwa mfano, Kisha ukanunua sukari kwa bei ya chini, kilo unaeza pata na kshs30(Tshs600) buying in bulk, Kisha uje uuze bei ya chini, like kshs50(Tshs1000) kwa kilo! which is below the market price ya nchi, hapo utakua unaua wana biashara wa sukari nchini na kufilisisha sugar factories!! get exposure, this is the business Dynamics of the world, fikra zako hazina maana kwa ulimwengu wa sasa, ni wa kijamii tu. Umasikini 'wholistically' is a curse, totally limited even to reason tu, sad
.