Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

insha'Allah kila safari hatua wakwetu tumetoka mbali kwa speed tunayo kuja nayo kuna uwezekano wa Sisi kuwa level moja na wakina Thailand na Colombia maana wametoka nyuma kama Sisi na saiv wanaelekea 1st world naamini tuna uwezo wa kufanya hivo patience tu
Acheni masiahara bana, kw hizi figisu tunazofanyiana unafikiria tutaomoka kweli..
Labda tuamue kuinuka km afrika kw ujumla lkn eti nchi moja moja, tutasubiri sana hapo ukweli lazima usemwe..

Yani hapa ni tuungane waafrika wote au Tuendelee kukomoana wenywe kw wenywe huku wenye vyao wapate nafasi ya kutukandamiza zaidi
 
Figisu mnazo nyie baada ya kuona zile pesa mlizokuwa mnapiga from Tz ili kujazia GDP yenu nowadays hazipo
 
Mm nasubiri cku tutaidondosha kenya kwenye GDP ili tuufunge huu uzi.
A nice thought, pia mimi nitahama jf for good, unfortunately, ceteris paribus(all factors remaining constant), it will never happen kwa karne hii, maybe Kenya stagnates or grows at negative., a dream tu, matamanio.
 
Figisu mnazo nyie baada ya kuona zile pesa mlizokuwa mnapiga from Tz ili kujazia GDP yenu nowadays hazipo
Check out export import income between Tz n Kenya for the last 5 years, still there though income inaeza kua imepunguka but kidogo tu., do u follow business analysis ya EAC?.,
 
A nice thought, pia mimi nitahama jf for good, unfortunately, ceteris paribus(all factors remaining constant), it will never happen kwa karne hii, maybe Kenya stagnates or grows at negative., a dream tu, matamanio.
Ninaposema Tz ii overtake Kenya kwenye GDP co km naona ni kitu cha ajabu hapana, Kenya haiwezi kuja kuwa karibu na Tz hata ifanyeje cz we are rich and blessed country, Kenya ni ushuzi wa bundi linapokuja suala la economic inclusion yn cc ndiyo nchi iliyobarikiwa zaidi dunia hii, unaweza kuona tumekaa zaidi ya miaka 10 tukiwa hatuna raisi makini but hakuna njaa iliwahi kutokea unlike you.

Tanzania ndiyo the leading country in the region utake usitake, suala la mm kutaka kui overtake Kenya kwenye GDP ni kwasababu najua fika kwamba GDP yenu ni ya uongo lkn nataka hivyo hivyo na uongo wake tuipite ili msiwe na cha kuongea.
 
Hamna hongo yoyote tuliyotoa. Sisi ni experts kwenye geothermal power production. Ethiopia tayari tumeshinda tender mbili kubwa na tuko karibu kushinda ya tatu. Hii ya Djibouti ni tender ya juzi. Iko namna hii
1. Ethiopia = 2 contracts to drill geothermal wells
2. Djibouti = 1 contract to drill geothermal wells.
3. Tanzania = 1 contract to drill geothermal wells.

Business Daily

KenGen makes the cut in Ethiopian geothermal deal​

Friday January 08 2021​

Kengen is in contention for another multi-billion geothermal wells project in Ethiopia in what could mark the third win in the landlocked country in under two years.

KenGen makes the cut in Ethiopian geothermal deal
alushula-data.jpg

By PATRICK ALUSHULA
More by this Author

IN SUMMARY​

  • The Kenyan firm is among seven that have won the first round of call for tenders to drill wells for a 150 Megawatts (MW) geothermal steam power plant in the Oromia region of Ethiopia.
  • Corbetti Geothermal—the company that is developing the Corbetti geothermal project in Ethiopia—received final bids from the seven firms last month and is expected to pick the winner soon.
Advertisement
Kenya Electricity Generating Company #ticker:KEGN (KenGen) is in contention for another multi-billion geothermal wells project in Ethiopia in what could mark the third win in the landlocked country in under two years.
The Kenyan firm is among seven that have won the first round of call for tenders to drill wells for a 150 Megawatts (MW) geothermal steam power plant in the Oromia region of Ethiopia.
Corbetti Geothermal—the company that is developing the Corbetti geothermal project in Ethiopia—received final bids from the seven firms last month and is expected to pick the winner soon.
The results for the initial call, which have been published by Corbetti shows that KenGen will be competing with Great Wall Drilling Company, Grey Wolf Drilling, Iceland Drilling Company, Marriot Drilling, Schlumberger and a consortium of Baker Hughes-Tsavo Oilfield Services and Parker Drilling.
KenGen is already working on two geothermal contracts in the Horn of Africa country.
The firm, in February 2019, won part of a Sh7.6 billion contract to supply geothermal drilling services to the Ethiopian Electric Power (EEP).
This was followed up with a Sh5.2 billion tender from Tulu Moye Geothermal Operations Plc—an independent power producer located in the eastern region of Ethiopia— to drill wells and offer geo-scientific survey.
Earlier announcement by Corbetti had shown that it expects an agreement for the geothermal wells to be reached and signed shortly after New Year to allow drilling to start in early in the year.
The selected firm will be responsible for drilling three geothermal exploration wells and up to 26 production wells.
The project will be developed in two faces split between 50 MW and 100 MW.
It was not immediately clear how much Corbetti plans to spend on the 150MW. The entire project was estimated to go up to 1,000MW and cost Sh438 billion ($4 billion).
KenGen has close to four decades of experience in steam power and runs several geothermal stations in Kenya, with Olkaria I power station being the first geothermal power plant in Africa.
Advertisement

  • The Kenyan firm is among seven that have won the first round of call for tenders to drill wells for a 150 Megawatts (MW) geothermal steam power plant in the Oromia region of Ethiopia.

Wacha upumbavu hamna capacity ya ku-carry out a project of that magnitude!
 
Ninaposema Tz ii overtake Kenya kwenye GDP co km naona ni kitu cha ajabu hapana, Kenya haiwezi kuja kuwa karibu na Tz hata ifanyeje cz we are rich and blessed country, Kenya ni ushuzi wa bundi linapokuja suala la economic inclusion yn cc ndiyo nchi iliyobarikiwa zaidi dunia hii, unaweza kuona tumekaa zaidi ya miaka 10 tukiwa hatuna raisi makini but hakuna njaa iliwahi kutokea unlike you.

Tanzania ndiyo the leading country in the region utake usitake, suala la mm kutaka kui overtake Kenya kwenye GDP ni kwasababu najua fika kwamba GDP yenu ni ya uongo lkn nataka hivyo hivyo na uongo wake tuipite ili msiwe na cha kuongea.
napenda hizi pedestrian reasoning zako, sasa weka concrete facts chini tuone GDP ya uongo kati ya Kenya na Tz ni ipi? hapa naweza kuwaumbua kutokana na propaganda zenyu mtanichukia tu bure nikiweka forensic audit ya sector by sector Tz vs Kenya, Kiswahili mingi ni laana tupu nimegundua, pia DRC is the richest country on earth but practically poorest like Tanzania,., na Africa is the richest continent yet with poorest people, Tanzania among the leading kwa kujaza hiyo number ya masikini wa kutupwa, mzee dogo elewa economics wacha kuropokwa kama mtu wa vijiweni.,
 
We fala nn, Tz ni the middle income country while
Screenshot_20210129-154017.jpg
 
Good deni linalipwa, Kenya sio GoK pekee kuna private sector, where I belong na tunatengeneza hela kwa mpigo,., najua watu wengi wa south hawaelewi economics kikamilifu, sasa umeona hii taarifa ukafikiria Kenya kwisha., unadhani Tz iko sawa umezoea propaganda Tz is worse mumefumbwa na macho dogo, kama mngekua nafuu matokeo tungeyaona kwa raiya wazi wazi, watu wanalia Tz sana, angalia muonekano wa Dar 80% unavyofanana in 21st century na hiyo ndio sura ya uchumi wenu(the only city in Tz mengine ni bandia), mashinani ya Tz ndio balaa.., mnatisha sana, ni kelele za vijiweni tu mmejaza humu

Reality kwa ground.,
Screenshot_20210209-232416.jpg

Screenshot_20210209-233620.jpg

Screenshot_20210209-235018.jpg
 
Kama msomi inabidi utueleweshe jinsi gani electric energy inaweza kugeuka na kuwa white elephant while duniani kwa sasa energy hasa electric energy ndiyo kichocheo kikubwa cha nchi kuwa na uchumi mkubwa mfano China.
Nitajie mna industries ngapi zinazoconsume more than 50 MW. Mna industries hata ishirini kweli zinazoweza kuconsume umeme huo? Hamna. Halafu neighbours wenu wote ni masikini isipokuwa pengine Kenya ila Kenya uchumi wetu umejikita sana kwenye services sio manufacturing au mining kwa hivyo sisi hatuna demand kubwa ya umeme. Zambia na zimbabwe zina demand nzuri ya umeme kwa sababu ya mining lakini sio kubwa. Isipokuwa South Africa kusema ukweli hakuna nchi nyingine ambayo ina njaa ya umeme sana ukanda huu. Nyinyi wenyewe mnafanya ujinga kuambia industries zenu kuwacha kutumia umeme na kuanza kutumia gas. Kwa mfano mumeruhusu breweries yenu ambayo inaconsume metawatts nyingi na Dangote cement ambayo inaconsume nadhani 50 MW kuswitch to gas. Policy ya kijinga sana hii. Kwa nchi ambayo inajisifu kwamba inapania kuzalisha umeme mwingi mwongo huu (10,000 MW) kukubali industries zenu zitumie gas na kupunguza demand ya umeme ni ujinga mtupu. South Africa wanajenga powerplants zao pia na wanajenga windmills na solar plants, coal plants na gas-fired plants. You are taking a gamble kwamba umeme huu wote utanunuliwa na South Africa. Upuuzi mtupu.
Nikimalizia tu, juzi naona mmelaunch miradi kadhaa ya mining, sijui graphite, sijui gold, sijui blablabla. Niliwauliza swali moja mkashindwa kujibu. "Je hizi mining companies zitaconsume megawatts ngapi?" Mniletee list ya mining plants zote zinazojengwa na megawatts ambazo zitaconsume. I can guarantee you kwamba hizo mining companies zote hazitaconsume a total of 1,000 MW. Kwa hivyo mtakuwa na surplus kubwa sana na kama mnapanga kuuzia Kenya au Uganda basi nyinyi ni wajinga maana Kenya na Uganda tunaconsume umeme mdogo sana na infact tunazalisha surplus. Kenya kwa mfano inaconsume only 1,900 MW Kwa hivyo hatuhitaji umeme wenu kwa sababu tunajitosheleza. Na Uganda inaconsume chini ya 1,000 MW. Rwanda inaconsume chini ya 200 MW. Burundi pia inaconsume chini ya 100 MW. Nyinyi wenyewe mnaconsume umeme mdogo sana wa 1,400 MW baada ya miaka 60 ya kujenga viwanda. Ni maajabu gani mtafanya ili kuongeza demand ifikie 4, 000 MW kwa miaka mitatu. Zile industries mnazojenga sasa hivi hazitaconsume more than 1,000 MW. Kwa hivyo South Africa tu ndio wanaweza kuwarescue from your own risky gamble. Ikiwa South Africa watakataa kabisa kununua umeme wenu au waamue kununua 500 MW pekee basi mtabaki na surplus ya zaidi ya 2,000 MW hata baada ya kujenga industries zenu.
 
We fala nn, Tz ni the middle income country while View attachment 1705592
Umeenda kutafuta report uchwara kujiliwazanilijua ikija economics wewe ni fukara kabisa.,ikija ni kusema ukweli mtanzania atakimbia., hadi raha., eti sasa mko nafuu kushinda Zambia according to your uchwara report ,, nilikuuliza weka facts chini wacha kiswahili mingi., sector by sector, pole pole tu., usiwe na haraka Kama huwezi fyata dogo., Hapa nilijua utatoa kamasi ubaki tu na Kiswahili Kama kawaida yenyu.,

Na ukiingia kwa website ya world bank then you screenshot the report sitahama tu jf, ndakulipa dollars kadhaa unavyotaka wewe, report iko wazi tu kwa website, niliwaletea mkakimbia,.
hii haitobadilika soon

View attachment 1705616
 
Good deni linalipwa, Kenya sio GoK pekee kuna private sector, where I belong na tunatengeneza hela kwa mpigo,., najua watu wengi wa south hawaelewi economics kikamilifu, sasa umeona hii taarifa ukafikiria Kenya kwisha., unadhani Tz iko sawa umezoea propaganda Tz is worse mumefumbwa na macho dogo, kama mngekua nafuu matokeo tungeyaona kwa raiya wazi wazi, watu wanalia Tz sana, angalia muonekano wa Dar 80% unavyofanana in 21st century na hiyo ndio sura ya uchumi wenu(the only city in Tz mengine ni bandia), mashinani ya Tz ndio balaa.., mnatisha sana, ni kelele za vijiweni tu mmejaza humu

Reality kwa ground.,
View attachment 1705609
View attachment 1705610
View attachment 1705611
Anaesema hapo ni nani?? Yani mtu akizungumza inaonekana ni kama official source au?? Kama alizoea kupiga dili tufanyaje na rais kashasema mtu asiefanya kazi atambue hatakula mbona kaliweka wazi

Hahahaha mulipe na nn wakat uchumi umefika sehemu munapewa mikopo kwa masharti magumu kabisa 🤣🤣🤣🤣
 
Good deni linalipwa, Kenya sio GoK pekee kuna private sector, where I belong na tunatengeneza hela kwa mpigo,., najua watu wengi wa south hawaelewi economics kikamilifu, sasa umeona hii taarifa ukafikiria Kenya kwisha., unadhani Tz iko sawa umezoea propaganda Tz is worse mumefumbwa na macho dogo, kama mngekua nafuu matokeo tungeyaona kwa raiya wazi wazi, watu wanalia Tz sana, angalia muonekano wa Dar 80% unavyofanana in 21st century na hiyo ndio sura ya uchumi wenu(the only city in Tz mengine ni bandia), mashinani ya Tz ndio balaa.., mnatisha sana, ni kelele za vijiweni tu mmejaza humu

Reality kwa ground.,
View attachment 1705609
View attachment 1705610
View attachment 1705611
Mm nakuletea official source wewe unaniletea porojo za jamii forum 🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇
 
We fala nn, Tz ni the middle income country while View attachment 1705592
Hii report yako uchwara haitobadilisha ukweli uliopo ndani ya mtandao wa world Bank, hii yako haupati., hiyo report iko full, Kenya is not mentioned in that respect., ata Zimbabwe na Zambia not at all, lakini nyie hapa bado mpompo tu

JamiiForums1552698300.jpg

Haupendi kukerwa lakini ndio ukweli, zoea usonge mbele na ufikirie jinsi ya kujikomboa., CCM walishindwa miaka mingi sasa.
 
Good deni linalipwa, Kenya sio GoK pekee kuna private sector, where I belong na tunatengeneza hela kwa mpigo,., najua watu wengi wa south hawaelewi economics kikamilifu, sasa umeona hii taarifa ukafikiria Kenya kwisha., unadhani Tz iko sawa umezoea propaganda Tz is worse mumefumbwa na macho dogo, kama mngekua nafuu matokeo tungeyaona kwa raiya wazi wazi, watu wanalia Tz sana, angalia muonekano wa Dar 80% unavyofanana in 21st century na hiyo ndio sura ya uchumi wenu(the only city in Tz mengine ni bandia), mashinani ya Tz ndio balaa.., mnatisha sana, ni kelele za vijiweni tu mmejaza humu

Reality kwa ground.,
View attachment 1705609
View attachment 1705610
View attachment 1705611
Mm nakuletea official source nchi imekufa ww unaniletea mawazo ya indugude 🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇👇 Mumeanza kutumia reserve sasa hahahahhaha

Mm nakuletea official source wewe unaniletea porojo za jamii forum
Nimekupa reality kwa ground, wewe najua hauwelewi economics, na deal na fikra zako mzee dogo., pale deni linalipwa., na nyie je? mtaficha aeroplanes
 
Back
Top Bottom