Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unaringa na wakati umekula chanjo ya polio[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata ARV kuna watz wanapokea km kawa, ukisusa wenzako wanabeba mjomba
Shida co chanjo bali shida ni uaminifu, tunasubiri mfanyiwe majaribio zen ndo tuiamini mbn cmpo tu, hiyo chanjo ya polio ipo kwa takribani miaka 50 tunaiamini ila covid bado tunasubiri mrejesho kutoka Kenya.
 
[emoji19][emoji19][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] BWANA MAPESA kiuhalisia ni Bwana mapepesuko kuanzia leo tumbatize jina la BWANA CHEZO
 
Wewe kafunue tacko uchomwe sindano acha kutupipigia kelele, huelewi chochote kuhusu vaccines.
 
Kwainini wakenya wanakomaa kuzungumzia corona wanaacha kuonyesha miradi yao ya maendeleo? Hakuna ugonjwa usio ua, lakini corona inavyozungumzwa kwenye media hasa za mabeberu na majran utazan ukifika mitaani utakuta watu wanawahari mbaya kwakuumwa, hakuna kitu hcho maisha yanasongatu Kama zamanitu na Mimi nipo huku kanda ya ziwa kwenye migodi midogo ya dhahabu watu wengu knoma qsnapiga kazi na Wala sijahi sikia Fulani kafa na coronaView attachment 1716896View attachment 1716897

Sent from my TECNO CD6j using JamiiForums mobile app
 
Mkenya mwenye kiswahili kingi ni wewe pekee
 
Total haitumii pesa yake. Total imeomba Mkopo from western banks. Bank moja inayoitwa Standard bank ya South Africa imetengeneza panel ili kuangalia ikiwa mradi huu utaharibu mazingira. Total wameomba loans from banks. Soma hio article.
Hahaha siku 10 zimebaki! EIA ilifanywa na independent body na ikapewa greenlight!
 
We kwel mwehu, akili hizi ndio zile ma pastor wanazipenda sana..
Mpka mbegu mkeo atapandikizwa huku wewe ukibaki kujenga imani tu
nini unachojua wewe manga wa ghetto life!!!

kwamba usali na ung'ang'ane,umesali ili uweke kitu gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…