Total haitumii pesa yake. Total imeomba Mkopo from western banks. Bank moja inayoitwa Standard bank ya South Africa imetengeneza panel ili kuangalia ikiwa mradi huu utaharibu mazingira. Total wameomba loans from banks. Soma hio article.Hawa hawawezi kuzuia mradi kama ingekua kuzuia wangezuia Julius nyerere dam yenye thamani ya 2.9b usd walipiga kelele wee lakini waliambulia patupu πππ
na mm nikwambia tu kwa ulimi mpana hzi NGOs nyuma yake kuna sura ya kenya lakini kwa kukupa pole zaidi angalia hii video waziri wa mambo ya nje alikua total ufaransa juzi na wamesaini na kukubaliana mambo mengi sana
Article from kenya blog written by kenyan serious π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Ebu nitaftie news kama hio written by western media nasubiriTotal haitumii pesa yake. Total imeomba Mkopo from western banks. Bank moja inayoitwa Standard bank ya South Africa imetengeneza panel ili kuangalia ikiwa mradi huu utaharibu mazingira. Total wameomba loans from banks. Soma hio article.
Total ni investor sasa wanahiari ya kutumia pesa yao au kukopa na china company the same issue so wewe usiwapangie nini cha kufanya ππππ ugua pole mzeeTotal haitumii pesa yake. Total imeomba Mkopo from western banks. Bank moja inayoitwa Standard bank ya South Africa imetengeneza panel ili kuangalia ikiwa mradi huu utaharibu mazingira. Total wameomba loans from banks. Soma hio article.
Corona haikupotea ndugu yangu. Naomba tuwe tu wakweli. Tanzania ilisimamisha utoaji wa habari zozote kuhusu hili janga for almost three weeks. During this time, no one knew what was happening. It was a top-guarded secret. Later mkaambiwa mfanye maombi ya siku tatu "kufukuza" corona. Baadae, Magu akatangaza kwamba Tanzania is corona-free. Just like that!Icho kichwa nazani kibovu mkuu ilipotekea mara ya kwanza tukachukua hatua + kujifukiza ikapotea ndo hapo tulisema corona imeisha inamaana ilikuwepo ila imedhibitiwa ikatoweka magu hakusema kua haijawahi kuwepo tanzania.
hiii ya mara ya pili zilianza fununu mwisho tukapewa tahadhari kwamba tuchukue hatua kujikinga, mfano mzuri kwenye usafiri wa mwendokasi fwatilia utaelewa nini namaanisha
Hasa hapo ambacho huelewi kipi hebu tumia akili basi
Unasahau kwamba licha ya sisi kuwa kwenye lockdown, our economy performed far better than yours in most sectors? Lokudawnu π πKwani rais anaposema mujihadhari hua anasema tujihadhari na nini? Na hotuba zake zote fatilia hua lazma atamke hilo neno na Anaposema tumieni mask za ndani hua anamaana gani?? Tatizo nyinyi munamchukia kwa sababu hajaua uchumi kwa lockdown kama mulivoungia chaka nyinyi mukategemea na sisi tuwaige
kila nchi duniani inapambana kwa njia zake usilazmishe tanzania iwafaate wapuuzi nyinyi hilo haliwezekani pambaneni na hali zenu huko
kwani ni kweli mlikuwa kwa lokudown au mlikuwa mnadanganya waume zenu!!!Unasahau kwamba licha ya sisi kuwa kwenye lockdown, our economy performed far better than yours in most sectors? Lokudawnu [emoji23] [emoji23]
Mzee wa kufukua makaburi, cjui unazipataje hizi [emoji119][emoji119][emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wivu ulianzia hapa.
View attachment 1716683
Mkuu leo umeshusha nondo babkubwa, hakuna mkunya atakugusa leo [emoji119][emoji119][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani hapo wao wanaona wanachukua precautions,
Unajua ukiwa na maisha magumu saana, halafu ukawa na Njaa saana na huna matumaini, hata uwezo wa kufikiria unashuka saana.
Hii kitu naiona among Kenyans. Very stupid humans for sure.
Acha wabongo tuendelee na maisha yetu ya kujiachia. Chances za kufa kwa Ajali bongo ni kubwa mno kuliko Covid-19, yaani ugonjwa wa wazungu unichanje mimi? Pumbavu sana.
Ss hapo umeonesha world bank report au individual concerns about the report.Najua world bank report imekutesa sana, unajitia hamnazo tu humu,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vumilia kaka, tafuna ndimu Kama mwanaume, be strong [emoji123][emoji123], wacha kulia lia kama wanadada na kujitetea with zero points, umependa kuokota opinions za tweeter, hizi ni reactions from a factual report [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]., alamskiki.
We kwel mwehu, akili hizi ndio zile ma pastor wanazipenda sana..hizo bado ni principle za wahaba wa imani.
nikuulize swali,wakati Yesu anatembea juu ya maji alitumia nini ili asizame!!!kwanini petro alipojaribu alipiga mbili kisha akazama???
sikia nikwambie wewe mwenye imani duni(maana hata si haba),imani ni zaidi ya upeo wa kawaida wa kufikiri,ni nje kabisa ya principle za kimwili,ndio maana YESU alikaa siku 40 bila kula,ukifanya kwa kuamini kwa jina la Mungu kwamba si lazima ule ili uishi utapitiliza hata hizo siku 40.
unakwenda kanisani kusali maisha yako yakae sawa,kisha unajituma kazini,unadhani tofauti yako na anayefanya kazi kwa bidii bila kusali ni ipi kama sio kakuzidi kujiamini wewe mwoga!!!!
We nae umeng'ang'ana na corona mpk unakera jombaa, haya basi corona ipo Tz na imeua hapa Tz kuliko nchi yoyote duniani, happy now!?Corona haikupotea ndugu yangu. Naomba tuwe tu wakweli. Tanzania ilisimamisha utoaji wa habari zozote kuhusu hili janga for almost three weeks. During this time, no one knew what was happening. It was a top-guarded secret. Later mkaambiwa mfanye maombi ya siku tatu "kufukuza" corona. Baadae, Magu akatangaza kwamba Tanzania is corona-free. Just like that!
During all this time, Tanzania was receiving international arrivals from countries that had reported severe cases of corona, including from neighbouring countries. Most of these people were not even screened, especially those who were crossing by foot from neighboring countries. But Tanzanians were still made to believe hakuna corona kwao. Hata kama wewe ni mjinga aje, huoni kwamba huu ni uwongo?
Tatizo mnatafsiri maandiko km yalivyo, hamjui km aya zote zinaenda na kufutana..Mwongezee na hii
Yeremia 33.3
Niite nami nitakuitikia, nami nitakuonyesha mambo makubwa magumu usiyoyajua.
Umeona sasa ulivyokuwa mwehu, si mlipe kwanza deni la mkulima km mna huo ubavu.They are wasting their time, $3.5b is a peanut money for Tanzania, we can engage CRDB and fund that project incase wazungu banks pull out their interests.
Tz sio masikini kama Kenya that needs loan in everything they do. Including paying debts and salaries [emoji3][emoji3][emoji3]
Unapiga kelele na wakati hata chanjo za polio ulidungwa huku mkeo akingangania dawa za kupanga uzazi[emoji1787][emoji1787]Yaani hapo wao wanaona wanachukua precautions,
Unajua ukiwa na maisha magumu saana, halafu ukawa na Njaa saana na huna matumaini, hata uwezo wa kufikiria unashuka saana.
Hii kitu naiona among Kenyans. Very stupid humans for sure.
Acha wabongo tuendelee na maisha yetu ya kujiachia. Chances za kufa kwa Ajali bongo ni kubwa mno kuliko Covid-19, yaani ugonjwa wa wazungu unichanje mimi? Pumbavu sana.
Tunasubiri mfanyiwe majaribio zen ikiwa poa na cc tutaikubali, kwn shida iko wapi? Si mpunga tu!Unapiga kelele na wakati hata chanjo za polio ulidungwa huku mkeo akingangania dawa za kupanga uzazi[emoji1787][emoji1787]
Wajinga ndio wale wao, hapo bado kuna watanzania wanapangia foleni ARV za mabeberu eti kisha chanjo wanajitia kususa..
Nyie semeni ukweli tu km mnafuata mkumbo, ile siku bichwa nundu ataagiza wabunge wote watapiga meza na kumsifia
Unaringa na wakati umekula chanjo ya polio[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tunasubiri mfanyiwe majaribio zen ikiwa poa na cc tutaikubali, kwn shida iko wapi? Si mpunga tu!
huwa unachagua habari nusu nusu....Mbona basi mnaambiwa mujitengenezee nyumbani? Kuwa na kiwanda sio issue. The issue is that does it produce enough? (if any). Unawezeka kuwa na kiwanda lakini haizalishi chochote na maybe ndio maana mmaambiwa mjitengenezee nyumbani
hujui kupima kauli mzee baki na ujinga wako,,kwenye lugha kuna undani wa mambo ,,,,si kila anayekuambia kuwa wewe ni mjinga huwa anamaanisha kuna mwingine anakuita mjinga ili uupime ujinga wako...Mbona basi mnaambiwa mujitengenezee nyumbani? Kuwa na kiwanda sio issue. The issue is that does it produce enough? (if any). Unawezeka kuwa na kiwanda lakini haizalishi chochote na maybe ndio maana mmaambiwa mjitengenezee nyumbani