Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Alafu hapa chini kanaendelea kukaza kwamba ni pesa zake, ona mpangilio wa hizo pesa anazosema zake na hizo tulizotoa mtandaoni na bado kanakuambia mpangilio umefanana tu, nahisi haka kademu katakuwa kana maisha magumu sn, alafu pia nahisi katakuwa bado kanasoma haka [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]
Screenshot_20210301-183953.jpg
JamiiForums1259466927.jpg
Screenshot_20210301-143241.jpg
 
Nimecheka sana,[emoji117][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji118]
 
Alafu hapa chini kanaendelea kukaza kwamba ni pesa zake, ona mpangilio wa hizo pesa anazosema zake na hizo tulizotoa mtandaoni na bado kanakuambia mpangilio umefanana tu, nahisi haka kademu katakuwa kana maisha magumu sn, alafu pia nahisi katakuwa bado kanasoma haka [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1714892View attachment 1714893View attachment 1714895
Yaani kwa bahati mbaya pia idadi ya mabunda ikawa Sawa pamoja na mpangilio🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ungepiga picha ya barabara inayojengwa hapo yani waiyaki way....na bila kusahau mountain estate na mall kubwa sana abayo huwezi pata huko dar slum....imebidii upige eneo la kutupa taka sababu hapo kuna soko la kangemi.Hebu compare hiyo kangemi na hizo takataka zenu sijui mbezi,ousterby na zingine halafu unipe malejesho...na usisahau Kangemi ni slum hapa Nairobi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mjitahidi kusafisha mji wenu🙂maneno mengi kama mpiga ramli haisaidi🙂🙂 Nairobi is dirty 🙂
 
Nipige picha barabara inayojengwa Westlands na ushuzi mnaoita mountain view mall wakati yupo huku kangemi slums [emoji846]sema hukutaka watu waone uchafu mnaoficha[emoji846]
Nairobi Kwa uchafu hatuwawezi[emoji846]
Wewe unasubuliwa na uzalendo wa kijinga....hebu compare hiyo kangemi na hiyo dar slum yenu.kama unataka kunijua fika kikuyu town ndio home....pasafi organized kuliko mwanza au arusha
 
Hehehehee mkiguswa kwenye real life mnarukaa km mmeguswa makalio, au tuipost ile picha yako yenye macho mekundu km witch [emoji3472][emoji3472][emoji3][emoji3][emoji117][emoji90][emoji205][emoji1787]
Mbona umechelewa bongolala? 😂
Hiyo itakuondolea maisha ya uswazi
 
This is the first and the last time I'm posting my personal life. The only reason I have taken this picture is because you requested for it. Next time if you ask me to show you even my nails I won't show you.
[emoji1782][emoji1782][emoji1782][emoji1782]

Hii tunasave [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
 
Wewe unasubuliwa na uzalendo wa kijinga....hebu compare hiyo kangemi na hiyo dar slum yenu.kama unataka kunijua fika kikuyu town ndio home....pasafi organized kuliko mwanza au arusha
Wewe c ndio unatumia Tecno ya 2015 niliku expose humu ukaniuliza kwani inashida gn? [emoji3][emoji3] Leo umeanza na wewe kutisha watu kwamba wakitaka kukujua wafike kikuyu [emoji1787][emoji1787] unatafuta attention au sio au unabisha nikuripue saizi [emoji117][emoji3][emoji205][emoji205][emoji205]
 
Alafu Jamaa ka panic kinoma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anakwambia Kenya inazidi Tz kwa namba ya millionaires hahahahahaaaa, ngoja niweke hapa alafu aje abishe uone source yake, Oya Teargass hebu kuja na source yako to dispute this [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
JamiiForums398654505.jpg
 
Back
Top Bottom