Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mluo huyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ebu leta hile data yako outdated sasa.

images%20(4).jpeg
 
I'm not your mate fool. This is the first and the last time I'm posting my personal life. The only reason I have taken this picture is because you requested for it. Next time if you ask me to show you even my nails I won't show you. View attachment 1714737

This is the first and the last time I'm posting my personal life. The only reason I have taken this picture is because you requested for it. Next time if you ask me to show you even my nails I won't show you.
🤡🤡🤡🤡
 
Likizo fupi au sio, naona unatoka kwa muajiri wako unarudi nyumbani kusalimia zen unavuka border unarudi tena [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]
Endelea kufatilia maisha ya watu ambao hata huwajui. That's what idle people do
 
huyo ni jembe mi nilidhani atapotea haka ka mwezi kote hata saa halijaisha anaibuka tena huyo jamaa ukenya upo damuni kabisa
Huyo ni mkenya original kabisa tena yule wa zamani za kale sn, mwenzie Nicxie alipotea humu mwezi mzima baada ya kuwa exposed ila yeye anakaza japo anaona haya [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]utaskia hapo makazi ya watu[emoji846]
Kwa uchafu jamaa walishindikana[emoji846]
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1714831View attachment 1714832View attachment 1714833View attachment 1714834View attachment 1714835View attachment 1714836View attachment 1714837
Ungepiga picha ya barabara inayojengwa hapo yani waiyaki way....na bila kusahau mountain estate na mall kubwa sana abayo huwezi pata huko dar slum....imebidii upige eneo la kutupa taka sababu hapo kuna soko la kangemi.Hebu compare hiyo kangemi na hizo takataka zenu sijui mbezi,ousterby na zingine halafu unipe malejesho...na usisahau Kangemi ni slum hapa Nairobi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Are you aware that Nairobi is one of the dirtiest cities in Africa? That's it looks like slum in all angles including the white house?
 
Back
Top Bottom