Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,300
- 33,628
We are in 2021. Hello!?Anakwambia Kenya inazidi Tz kwa namba ya millionaires hahahahahaaaa, ngoja niweke hapa alafu aje abishe uone source yake, Oya Teargass hebu kuja na source yako to dispute thisView attachment 1714925
We hujitambui 🙄thogoto ni wapi? Sasa Huko kote nakujua mpaka hospital ya macho ya Kikuyu Ingekua hata umefika hata mpakani ingekua afadhali 🙂lakini we ninavyo kuona ndo wale hamnazo wababaishe wenzako huko 🙂Nimekuambia compare hayo maeneo na dar slum ndio uwambie wenzako ni jinsi gani Nairobi na dar nikama mbingu na ardhi....halafu ndio utokwe na ushamba wa dar slum kama thogoto tupatane
Jamaa nimempa task simple ataje hata mtaa mmoja basi mwanza kimya🙄sijui njoo thogoto maeneo hayo yote nayajua hamna kitu🤣🤣🤣🤣Wewe c ndio unatumia Tecno ya 2015 niliku expose humu ukaniuliza kwani inashida gn?Leo umeanza na wewe kutisha watu kwamba wakitaka kukujua wafike kikuyu
unatafuta attention au sio au unabisha nikuripue saizi
![]()
Hii Tz itakuwa noma sana wakuu.Hiyo ndio ile The "East Africa Commercial & Logistics Center" inaanza hapo.
View attachment 1714954
View attachment 1714951
View attachment 1714952
View attachment 1714953
View attachment 1714955
View attachment 1714956
We endelea kutafuna mogoka/miraa ukiendesha nduthi/boda boda ukiwatisha wenzako sio MimiHuyo mwenzako ni fala wa kawaida kutoka hapo dar slum....phone ni na mob....unataka type gani nikuazime
Asikusumbue huyo kuna siku nilimtrace nikagundua mpk ss bado anatumia simu ya 2G nikam expose akatia huruma sn mpk nikajisikia vby lkn umkute anajisifu ssJamaa nimempa task simple ataje hata mtaa mmoja basi mwanza kimyasijui njoo thogoto maeneo hayo yote nayajua hamna kitu
![]()





Aki ya mungu🤣🤣🤣😊😊Source and date?
Alafu ukileta source, uje uniambie siri ya kumiliki pesa mingi hiviView attachment 1714932View attachment 1714933
Hii stand ya Ubungo ilikuwa inanikera sana mm wallahi, Dah Magu respect kwake aisee.Hiyo ndio ile The "East Africa Commercial & Logistics Center" inaanza hapo.
View attachment 1714954
View attachment 1714951
View attachment 1714952
View attachment 1714953
View attachment 1714955
View attachment 1714956
Maskini 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Asikusumbue huyo kuna siku nilimtrace nikagundua mpk ss bado anatumia simu ya 2G nikam expose akatia huruma sn mpk nikajisikia vby lkn umkute anajisifu ss![]()
ni kama umefukuza jamaa! wewe ni noma!!! 🤣 🤣 🤣Aki ya mungu🤣🤣🤣😊😊
Mkuu kumbe ulikuwa unafuatilia mtanange kimya kimya humuni kama umefukuza jamaa! wewe ni noma!!!![]()
![]()
![]()



🤣🤣🤣🤣🤣 Jamaa kajiumbua mwenyewe Tanzania hatupendi longolongo na maisha ya kuigiza 🤣🤣🤣😊ukishtukiwa utaicheza Ngoma ya sebene🤣mbona Sisi tunamapungufu yetu tena mengi Sana lakini tumejiridhisha tu Ila majirani zetu🤣ni kama umefukuza jamaa! wewe ni noma!!! 🤣 🤣 🤣
Maisha ya mtandao 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mkuu kumbe ulikuwa unafuatilia mtanange kimya kimya humu
Wapi joto la jiwe
Now naelewa kwanini jaluo wanapenda kufake life wakiwa Nairobi.
Kweli Sana brother the future African megacity itakua Dar wakunya watakoma🙂Hii Tz itakuwa noma sana wakuu.
Watake wasitake Dar lazima iwe baba lao hapa EA.Kweli Sana brother the future African megacity itakua Dar wakunya watakoma![]()
Napenda takwimu zako hazishuki 90


