Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukiona mkenya anapost habari kwa style hii juwa kwamba tango pori unalishwa
You are a fool.

IMG_20210301_131625_061.JPG
 
Nothing yet., hadi report uchwara unaleta, unazama naona na unaninginia kijiti ili kujikomboa., , Kwa hiyo list have u ever critically looked at those slums ujionee?., unapata tabu sana
Some of the places wanaita slums hazina tofauti na zile dream houses zao. Take a look below
Screenshot_20210227-153710.png
Screenshot_20210227-154951.png
 
Hamna kitu Apo, wapi Morocco, Algeria
Why didn't you ask those questions last year when you were ranked above Kenya? Ama kwa sababu Kenya iko juu yenu sasa maswali yanaanza kupatikana. For more information please consult Knight Frank.
 
Fala wewe unaogopa nini kuweka link.
You will forever remain a fool and jobless. No wonder everyday you spend 24hrs JF. Link ndio hii hapa.


 
Some of the places wanaita slums hazina tofauti na zile dream houses zao. Take a look below View attachment 1714687View attachment 1714690
Wewe mwehu hebu ingia ground wacha kupost post ufala hapa, aliyekuambia ramani ndiyo ground ni nani? Tangu jana unakazana kupost vilamani vya baadhi ya maeneo wanaoishi few rich people hapo Nairobi unadhani ndo utatushawishi, km ni kweli unachosema tuanze kuoneshana sehemu mbovu groundly, weka za Dar niweke za Nairobi alafu tuone kama map itakusaidia.

Mm naanza wewe au mkunya yeyote ajibu
tapatalk_1596226806823.jpg
 
Wewe mwehu hebu ingia ground wacha kupost post ufala hapa, aliyekuambia ramani ndiyo ground ni nani? Tangu jana unakazana kupost vilamani vya baadhi ya maeneo wanaoishi few rich people hapo Nairobi unadhani ndo utatushawishi, km ni kweli unachosema tuanze kuoneshana sehemu mbovu groundly, weka za Dar niweke za Nairobi alafu tuone kama map itakusaidia.

Mm naanza wewe au mkunya yeyote ajibu View attachment 1714714
😂 😂 😂 Jana nilipost maeneo ya Eastlands where the majority of Nairobians live. Places like Donholm, Komarocks and parts of South C that I posted are not rich neighborhoods. Hayo ni maeneo ya kawaida sana ila kwa sababu umezoea kuona uswazi hapo Dar, ukadhani yale maeneo ni ya kitajiri 😂 😂 😂. Ukitaka kuona rich neighborhoods sema nikuletee, I won't disappoint!
 
Umeandika a whole page just because I have told you the bitter truth. I know it hurts to realize that Kibera is the only remaining place worth comparing with your glorified fishing village.

Talking of dirtiness, did you know that I can provide you with hundreds of links mentioning Dar as one of the dirtiest cities in the world? My point is, there's nothing credible about these lists coz some are just meant for readership and clicks. But that doesn't change the fact that Dar is a stinkingly dirty city.

Insema sisi ni wachafu? See how clean you people are
View attachment 1714519View attachment 1714520View attachment 1714521View attachment 1714522View attachment 1714523
Tuonyeshe tarehe maana nahisi hizi picha ni zilipendwa
 
Back
Top Bottom