Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwahiyo hapa ni Dar [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90]
JamiiForums519617905.jpg
 
Yani ww akili yako ni km toilet paper, kuwa na upishano wa mitazamo sio sababu ya chuki za kijinga km mwehu
Ukweli mchungu,stand ya Magu tayari imewekewa thread kama zote kasome uache kukurupuka, kwani Dar ni Safi? Hainuki?
 
Nimechoka na upuzi wa Malazy kusema kwamba Dar es salaam hakuna slums. Nimezama na kuzuka na mipicha mizito kombora ya kuwamaliza kabisa hawa wanafiki.
Oya tazameni uvundo na uchafu wa Dar Slum
View attachment 1712431View attachment 1712432View attachment 1712433View attachment 1712434View attachment 1712435View attachment 1712436View attachment 1712437


[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787][emoji1787]
Oya Dar ni kuchafu sana.
Ss hapo umeonesha slums au umeonesha takataka [emoji3][emoji3][emoji3], FYI hizo takataka za plastic huwezi kuta Dar nowadays.

And btw, the second pic from the last ndiyo hii hapa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]
JamiiForums1031301654.jpg
 
sio dar hamna udongo mwekundu Dar mshenzi kama wewe ka-crop somewhere akaondoa background! 100% hii picha si Dar! Inakaa Nairobi-Kibera! Angalia zinavyofanana
2701920_images_13.jpeg


VS
woman-sells-dried-fish-in-kibera-slum-on-march-12-2018-in-nairobi-is-picture-id931958078


panorama-of-the-slums-of-kibera-kenya-picture-id1218364120


the-kibera-slums-of-nairobi-kenya-2015-picture-id994231384


kibera-biggest-slum-africa-slums-nairobi-kenya-nairobi-kenya-kibera-biggest-slum-africa-one-158637492.jpg



kibera-slums-nairobi-kenya-260nw-1394681168.jpg


Dar ipo hivi udongo wake!

2701911_images_8.jpeg



2701915_images_12.jpeg
Na hili eneo limerekebishwa kwa ss, hapa ni kiwalani napajua, kuna lami mwanzo mwisho na nishawahi kuweka picha humu ila km hawaamini siku nitaenda kupiga picha hili eneo alafu naweka humu, hapo kuna mitaro imeshawekwa yn kupo safi kabisa, DMDP walishamaliza kazi kilichobaki mnidai mm picha ya hili eneo, nawa promise nitaweka picha ya hili eneo labda niwe nmefananisha [emoji116][emoji116]
JamiiForums589639688.jpg
 
Tena Dar usiombe na lile joto Mji unanuka hatari ,maeneo kama ya uswahilini inatakiwa ujifanye nguruwe Ili uishi huko.

Bora miji ya baridi hata kama kuna uchafu ila smell haiwi kubwa kama uvundo wa miji ya joto
Ss si uweke picha au video tuone, maneno matupu hayatoshi, saidiana na wenzako muweke picha [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Mataga watakuja kutoa povu na blaa blaa kibao na matusi juu
mkuu hapa huwa hatusifii pekee kama ufikiriavyo,,,huwa kwenye maoungufu tunakosoa kama kamaida,,,,ila anapotokea mtu ambaye kila kitu anapinga tu ndiyo huwa tunamcrash kwa kusifia miradi mwanzo mwisho kwa makusudi ili abaki na fikra zake..[emoji1]
 
Kasi ya industrialization ni kubwa sana. Pia ni rahisi zaidi kuvutia new investments and expansions ukiwa na akiba kubwa ya nishati kuliko ukiwa na mere words.
Mataga kwa blaa blaa huwa mnanifurajisha Sana,Kasi gani hiyo ya industrialization unayoisemea hapa?

Kila mwaka kakijengwa kakiwanda 1 nchini Rais anaenda kuzindua sasa hiyo ndio Kasi? Kubali tuu Tzn ni maskini Sana na kwenye uongozi wa bwana huyu umaskini wa kipato imeongezeka Sana na watu wanafanyia kazi tumbo tuu.
 
Umeona ss, hata huyo aliyeandika hii article anashindwa kuelewa maana haoni slums in Tz [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]


Find similar images using
Screenshot_20210228-095853.jpg
 
Njoo kwa ground usitishwe na hayo mabati yenye kutu jombaa, usifikiri hapo ni sawa na Kibera mwenzako mmoja alikuja akaishia kuhangaika kule jangwani akaondoka huku roho yake kimuuma sana..hakupata kabisa mtaa wa mabanda Dar haina slums sema ina makazi yasiyokuwa kwny mpangilio mzuri!!Full stop!!!
Huyu hapa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]


Find similar images using
Screenshot_20210228-095853.jpg
 
Alafu nafurahi jinsi mnavyolinganisha Dar na Kibera. Yani 1500 square kilometers inalinganishwa na eneo la 2.5 square kilometers! Tukisema huwa tunawafurahisha tu humu ndani tunajua tunachosema vijana wa midreamhouses. Dar mnaweza tu linganisha na kibera kwa sababu it's the only thing in Nairobi worth comparing with Dar
So this is Kibera au sio [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji90][emoji90]

My Take: Kibera is overrated

Courtesy Shebby01

JamiiForums-121791650.jpg
JamiiForums347727780.jpg
 
Back
Top Bottom