Picha ya pili haina makaazi yoyote hapo. Hio ghorofa ipo mbali tu na hakuna nyumba yoyote karibu na hio dampo. Hebu tazama. Wewe umekwenda kwenye dampo kupiga picha. Utadhani Tanzania haina madampo.
Bro kwenye dampu Barabarani kabisa? sehemu watu wanafanya biashara zao? Pembeni hapo ni Banda wanauza mogoka au miraa kwenye hizo nyumba juu ya bati pia uchafu Yani ni hatua chache Sana🙂
Bro kwenye dampu Barabarani kabisa? sehemu watu wanafanya biashara zao? Pembeni hapo ni Banda wanauza mogoka au miraa kwenye hizo nyumba juu ya bati pia uchafu Yani ni hatua chache Sana[emoji846]
Kwanza u need kujua hiyo meli itakuwa kwa ajili ya shughuli gani? offshore LNG! Mozambique itakuwa na onshore na offshore gas extraction/production activities na nimekwambia the main LNG itakuwa onshore na FID yake imekuwa postponed mpaka 2022 hata hiyo meli itatumika kwenye offshore activities! Hii si field yako mshikaji wacha ufala! Nilishakupa lecture ya LNG plants before lakini ujinga ndo unakufanya kukataa! Endeleza usenge wa kubisha!
Kwa hivyo unajaribu kusema kwamba LNG plant lazima ijengwe on-shore, kwamba haiwezi kujengwa off-shore? Kwa hivyo kwa akili yako hio meli haiwezi kuwa imefungwa LNG plant juu yake? Kwako LNG plant lazima iwe on-shore? Hujui kwamba kuna teknolojia mpya ambapo LNG plant inafungwa juu ya meli na kwa hivyo inakuwa floating liquified natural gas plant? Technology inazidi kuimprove na siku hizi sio lazima LNG plant ijengwe on-shore, inaweza kujengwa off-shore. Prove me wrong kwamba LNG plant haiwezi kujengwa off-shore.
Leo lazima nikufunze jambo mpya hata kama wewe ni engineer you don't know everything. Leo lazima nikufunze, kaa mkao wa kula nikufunze.
Tazama hapa
Kama bado unataka kuendelea kupingana na mimi tazama hii hapa, najua hutarudia kupingana tena.

Eni has completed today the sale of a 25 percent indirect interest in the natural gas-rich Area 4 of the Rovuma Basin to ExxonMobil Development Africa B.V. (“ExxonMobil”). The terms of the sale, agreed in March 2017, include a payment of $2.8 billion subject to a contractual adjustment until the...
www.eni.com
Kama bado unataka kuendelea kupingana na mimi tazama hii hapa, najua hutarudia kupingana tena.
Wachaa nenda uliza mamako! Pumbavu! Ukiweza kujua upstream activities ina maana gani kwenye oil and gas ndo uje ubishane nami falamanga wewe! upo excited na hiyo meli utafikiri ni kitu kigeni kwa a Profi like me! Huhitaji kuniwekea video naweza kukusushia mpaka nondo za jinsi hiyo meli ina-seep gas underneath seafloor! Peleka ujinga kwa mamako!
Sana mkuu tatizo wanaoshi maeneo mengi ya mitaa ya Nairobi ni don't care mwisho wa siku wanalaumu serikali [emoji846]
Nilipiga picha zingine kwenye hiki kimeo sema camera yake low quality na Bluetooth mbovu [emoji846]
hebu nieleze hiyo meli inaextract vp gas toka seafloor? mention mechanism! Na toka what kind of sediment? Na sio una-post clips tuu wakati kichwani zero huku unajifanya unajua!
Bro kwenye dampu Barabarani kabisa? sehemu watu wanafanya biashara zao? Pembeni hapo ni Banda wanauza mogoka au miraa kwenye hizo nyumba juu ya bati pia uchafu Yani ni hatua chache Sana🙂
Banda ni kitu temporary mtu anakuja anajenga haraka haraka mahali ambapo sio kwake na linaweza kubomolewa wakati wowote. Hilo banda la miraa ni kwa ajili ya kufanya biashara na unataka kutudanganya kwamba watu wanaishi kwenye hilo banda? Banda linaweza kujengwa mahali popote hata karibu na dampo. Wacha tabia ya kuenda kupiga dampo za watu picha halafu unasema kwamba Nairobi ni kuchafu. Kwa hivyo mimi nikija TZ sitapata dampo yoyote ambalo naweza kulipiga picha? Najua dampo zipo nyingi hapo Dar. Au nyinyi ni malaika hamna takataka mnayotupa kila wiki. Staarabika kidogo.

wewe falamanga nimekuuliza extraction process ya gas by a floating lng plant at deep seawater! Usinijaribu pumbavu najua una-search na nitakudaka ukileta jibu!
Banda ni kitu temporary mtu anakuja anajenga haraka haraka mahali ambapo sio kwake na linaweza kubomolewa wakati wowote. Hilo banda la miraa ni kwa ajili ya kufanya biashara na unataka kutudanganya kwamba watu wanaishi kwenye hilo banda? Banda linaweza kujengwa mahali popote hata karibu na dampo. Wacha tabia ya kuenda kupiga dampo za watu picha halafu unasema kwamba Nairobi ni kuchafu. Kwa hivyo mimi nikija TZ sitapata dampo yoyote ambalo naweza kulipiga picha? Najua dampo zipo nyingi hapo Dar. Au nyinyi ni malaika hamna takataka mnayotupa kila wiki. Staarabika kidogo.
Sometimes Tony huaga unabisha pasipo nakujua hii sio makazi ya watu hapa Chino nimekuekea kabisa unafoka bure
Picha ninazo kibao Sana Nairobi kuchafu mjitahidi kuweka mazingira yenu vizuri
Hivi mrupuko wa magonjwa ukitokea itakuaje?
Pale pale unaposema ni dampu
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
hebu nieleze hiyo meli inaextract vp gas toka seafloor? mention mechanism! Na toka what kind of sediment? Na sio una-post clips tuu wakati kichwani zero huku unajifanya unajua!
Mimi sikupingi nataka tu kuelewa kazi ambayo meli hii itafanya. Mimi sio engineer na siwezi kukuelezea mechanism itakayotumika kuextract gas from the seafloor. Kama wewe upo right kwamba meli hio haitoweza kuliquefy natural gas na kwamba itafanya gas extraction/production activities tu basi kwa nini meli hio inaitwa FLNG facility? Yaani floating liquefied natural gas facility? Mbona iitwe hivyo kama haiwezi kuliquefy natural gas? Sikupingi nashangaa tu mbona iitwe FLNG facility? It doesn't make sense to me. Why call something an FLNG facility if it can't liquefy natural gas?

Ati haitaweza ku-liquefy methane from seabed sedimentary rock na nakuuliza mechanism ya extraction! Una usenge wa design ipi? Najua unataka kujifanya mjuaji ndo maana nimekukata ngebe ya kukuliza hilo swali unajitetea mambo ya Engineering! Na hata unge-google ningekudaka! Upumbavu wa kugeuza picha za Kibera kuwa Dar ndo upumbavu unaotaka kufanya kwenye maeneo ambayo yanatupatia mkate wa kila siku! Wacha ufala baki na mambo yako ya finance! N stay in ur box rotten seed!!
Ati haitaweza ku-liquefy methane from seabed rock sediments na nakuuliza mechanism ya extraction! Una usenge wa design ipi? Najua unataka kujifanya mjuaji ndo maana nimekukata ngebe ya kukuliza hilo swali unajitetea mambo ya Engineering! Na hata unge-google ningekudaka! Upumbavu wa kugeuza picha za Kibera kuwa Dar ndo upumbavu unaotaka kufanya kwenye maeneo ambayo yanatupatia mkate wa kila siku! Wacha ufala baki na mambo yako ya finance! N stay in ur box rotten seed!!
Naona umekasirika. Umeanza matusi badala ya kudebate soberly. Ukishindwa debate huwa unaanza matusi. Ila kila mtu ameona kwamba umeshindwa kuelezea mbona hii meli haitoweza kuliquefy natural gas ilhali imefungwa mashine ya kuliquefy natural gas juu yake.
Hii video naiweka hapa kwa ajili ya kila mtu anayetaka kujua ukweli kuhusu jambo hili.
Wacha mjadala uishe. Siwezi kuendelea na mjadala wakati mtu aliyeshindwa kujadili anaamua kuanza kurusha cheche za matusi. Naomba watu watazame hio video wajiamulie wenyewe kama LNG facility inaweza kujengwa off-shore au la.
Hii hapa video ya hio meli ya Eni itakayoletwa Mozambique. Nimeipata youtube.
Ati haitaweza ku-liquefy methane from seabed sedimentary rock na nakuuliza mechanism ya extraction! Una usenge wa design ipi? Najua unataka kujifanya mjuaji ndo maana nimekukata ngebe ya kukuliza hilo swali unajitetea mambo ya Engineering! Na hata unge-google ningekudaka! Upumbavu wa kugeuza picha za Kibera kuwa Dar ndo upumbavu unaotaka kufanya kwenye maeneo ambayo yanatupatia mkate wa kila siku! Wacha ufala baki na mambo yako ya finance! N stay in ur box rotten seed!!
Sometimes Tony huaga unabisha pasipo nakujua hii sio makazi ya watu hapa Chino nimekuekea kabisa unafoka bure
Picha ninazo kibao Sana Nairobi kuchafu mjitahidi kuweka mazingira yenu vizuri
Hivi mrupuko wa magonjwa ukitokea itakuaje?
Pale pale unaposema ni dampu
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1713311
There are several places like this in all Tanzanian cities. You are being stupid going around Nairobi taking photos of the bad places to prove a point? Anyone could enter Dar and have a field day taking photos of your untarmacked roads and dirt. What about the general development of the city? Does Dar have as many high end and middle class neighborhoods like Nairobi? I know deep down you know Dar stands no chance that's why you're going around posting this dirt.
Naona umekasirika. Umeanza matusi badala ya kudebate soberly. Ukishindwa debate huwa unaanza matusi. Ila kila mtu ameona kwamba umeshindwa kuelezea mbona hii meli haitoweza kuliquefy natural gas ilhali imefungwa mashine ya kuliquefy natural gas juu yake.
Hii video naiweka hapa kwa ajili ya kila mtu anayetaka kujua ukweli kuhusu jambo hili.
Wacha mjadala uishe. Siwezi kuendelea na mjadala wakati mtu aliyeshindwa kujadili anaamua kuanza kurusha cheche za matusi. Naomba watu watazame hio video wajiamulie wenyewe kama LNG facility inaweza kujengwa off-shore au la.
Hii hapa video ya hio meli ya Eni itakayoletwa Mozambique. Nimeipata youtube.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.