NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,747
- 49,632
Matofali ya kuchoma ya mchina[emoji846]View attachment 1711621
Hapo road marking zipo wapi? [emoji23]
Matofali ya kuchoma ya mchina[emoji846]View attachment 1711621
Kadri siku zinavyoenda inazidi kufadeout na tope kujaa kwenye joints, baada ya miezi kadhaa tutegemee madimbwi hapo
kumepaukaaaMuwe mnajitahidi hata na kufanya usafi basi[emoji846]
View attachment 1711622
Hahaha. Naona umegive-up na kuuzia Kenya umeme. That is good. Umeme wenu mkajipange mtauzia nani maana sisi hatuutaki. Tunajitosheleza.
Mbona Uhuru anazinduaga waterkiosks na mna-post humu? FYI Kenya hamna soko la umma zuri kama hilo yale ya sonko yanatia aibu!Yaani unataka nicomment kwa sababu rais kazindua lijengo? Nairobi ina majengo mengi tu kama hayo.
nimesema wataanza kufunga turbine mwaka huu! ujazaji wa maji na ufungaji wa turbines huenda pamoja!Kama ujazaji wa maji utakamilika April 2022 basi pia uzalishaji wa umeme utaanza April 2022. Wewe ulikuwa unaongopa kwamba JNHPP itaanza j
Kuzalisha umeme mwaka huu. Ya Ethiopia itawatangulia.
Sawanimesema wataanza kufunga turbine mwaka huu!
najua roho inakuuma!Sawa
Pangani interchange has an underground level, ground level and upper level...Hii ni three level interchange huwezi ipata kenya nzima na siku ukipata tag me 🤣🤣🤣
View attachment 1711230View attachment 1711231
Yaani unataka nicomment kwa sababu rais kazindua lijengo? Nairobi ina majengo mengi tu kama hayo.
Hamna kitu hapo 🙂🙂🙂🙂Hapo road marking zipo wapi? [emoji23]
Gor Mahia wangojee a ban!NA hako karefa ni kafupi na kadogo. Kanaweza kupigwa sana.
Wabongo tuko vizuri kwenye kujenga hawa mungiki hawatupati hata kidogoNilitaka niwaoneshe Wakenya kwamba ni ngumu sana kupata slums Dar au Tz cz Watz wanajenga, hapa ni Kivule which is too far from CBD lkn kumewaka kwa vijumba vzr vzr, bado nina tour ya kule kivule nitaweka hapa picha mzione [emoji116][emoji116]View attachment 1709752View attachment 1709753View attachment 1709754View attachment 1709755View attachment 1709756View attachment 1709757View attachment 1709758View attachment 1709759
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787] hivyo ndiyo wanaviita flyover.......Matofali ya kuchoma ya mchina[emoji846]View attachment 1711621
[emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787] hawezi kutoa neno hapochini kupo kama kigoma.. full udongo!
mzee wa road markings yuko wap atoe neno hapa