Hawa Wana panic 🙂hawataki tuone the real Nairobi 🙂dawa ni kukubali kila kitu wanachokisema🙂unamuongelea mtu ambaye hata humjui[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
wazee wa kujifurahisha bhana,mnaishia kujiquote wenyewe kwa wenyewe kwa kumdiscuss mtu ambaye hamjui maisha yake mnapoteza mda wenu
Fact iko kwamba ugonjwa upo suala la viongozi kukubali au kukataa ilo watajua waoHakuna siku tulikana wala kukataa uwepo wa corona kwetu. Nyinyi mliaminishwa hamna corona na mkulu huku kirusi ikiendelea kuua watu hadi ikabidi muibandike jina mpya "changamoto ya kupumua" just to continue living in denial!
Loliondo mixed, Day and Boarding Primary and secondary school.
We ulitaka nikupige wewe 🙂?Jamaa anachagua sehemu za kupiga picha[emoji1787][emoji1787]naona unaogopa sana kupiga picha kiume
Lazima niogope Cbd yenyu mungiki wamejaa🙂Kuna mmoja yupo nairobi ametoka hoteli anahangaika kuchagua sehemu za kupiga picha..kwanza cbd anaiogopa sio mchezo
wameni-bore kutoweka daraja!soko la kisutu ni zuri na linavutia kuliko kunyan state house [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1711456View attachment 1711457View attachment 1711458View attachment 1711459
Vumilia machungu 😀😀😀 mutalia sana mwaka huuPoor design and workmanship sorry not impressive. We have an expressway goddammit
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 jamani mumeona cityCity inakuja hapo two rivers
View attachment 1711259
wameborongawameni-bore kutoweka daraja!
If mwanza, mbeya and all the takataka can be cities then two rivers can.
If umbeya, mwanza, arusha can be cities then even two rivers can.🤣🤣🤣🤣🤣🤣 jamani mumeona city
mkimaliza kuitest kwe miili yenu mtuambie tununue
Hahaha. Huyu jamaa ametaka sana kujua kabila langu. Uliza Geza Ulole atakuambia kabila langu.Gotcha! Nshajua kabila lako.
Tumemaliza. Imetestiwa kwa mwili ya watu 1.2 million huko Israel na inafanya kazi. Hii vaccine ya pfizer iko very effective. Lakini hamuwezi kuiafford maana hamna hio pesa ya kununua.mkimaliza kuitest kwe miili yenu mtuambie tununue