Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wacha ufala njoo Dar uone! zaidi ya imetumika $1bln maji yanatoka source tatu Wami, Ruvu na Kisarawe huko!
Kwa hivyo Dar mumefikia level ya ulaya kwenye swala la maji? Mpo 92%? Yaani almost 100% (universal access to water) kama Marekani au Ulaya?
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] umeongea pumba sana,,,,

kwani hiyo stand itakuwa imekaa bure hapo...?
je vip kihusu hizo bus zitakazokuwa zinaingia hapo..?

humo ndani kuna service za kijamii je vipi watu watakao rent humo watakuwa wanakaa bure...?..

unaongea pumba sana

baadhi sehemu byingine ni hizo
 
In this skewed reasoning[emoji23][emoji23][emoji23] uko na mwenzako humu kaka.., anajijua, sitaji mtu mimi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dawasa collects more money from it's bigger customer base thus enable the institution to handle bigger projects on its own finance ikiwemo jengo kama hilo

Sasa ninyi mnaohudumia watu mia 2 saa ngapi mtapata guts kama Dawasa? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
mnazoita slumz kenya ndio mitaa ya kifahari tz
 
Dawasa collects more money from it's bigger customer base thus enable the institution to handle bigger projects on its own finance ikiwemo jengo kama hilo

Sasa ninyi mnaohudumia watu mia 2 saa ngapi mtapata guts kama Dawasa? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Haupati picha bado., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ more missesπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwenye hii list hakuna soweto slums huko kasarani lakini kwa ground ni bigger than mathare and kibera combined

Yaani nairobi huwezi hesabu slums zote ukazimaliza hata upewe mwaka mzima

Kitu cha soweto hicho dadeq

View attachment 1710504

huku ndio huruma sasa nyumba kama hizi tz ni mitaa ya kifahari lakini klwetu twaziita slumz
 
Kwenye hii list hakuna soweto slums huko kasarani lakini kwa ground ni bigger than mathare and kibera combined

Yaani nairobi huwezi hesabu slums zote ukazimaliza hata upewe mwaka mzima

Kitu cha soweto hicho dadeq

View attachment 1710504

huku ni karibangi kenya ...mitaa kama hii dar ndio mitaa ya kifahari...huklu kenya twaziita vitongoji duni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…