Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo picha ya kwanza

Ndio Ile huwa wanapiga picha vipande vipande ili kuficha hiyo slum pembeni!
Huyo faoro ni kichaa ni kichaa asiyejitambua kwamba ni kichaa anachoongea wala haeleweki sijui nyinyi kama mnamuelewa but mm huwa simwelewi na huwa naruka comments zake
Yule mwehu huaga ana time mda manesi na walinzi Wana badilishana shift bugando ya kenya a.k.a mathare mental hospital anaanza kutype comments na post ambazo hazina msingiπŸ™‚
 
Kwenye hii list hakuna soweto slums huko kasarani lakini kwa ground ni bigger than mathare and kibera combined

Yaani nairobi huwezi hesabu slums zote ukazimaliza hata upewe mwaka mzima

Kitu cha soweto hicho dadeq

View attachment 1710504
Kuna Akina kariadudu,glucolor,kiamaiko na za westalands kibagare/kangemi slums etc alafu jamaa anaongelea planning πŸ™‚
 
The shit itself., a picture of the whole nation.,
Screenshot_20210223-205301.jpg

Screenshot_20210223-205248.jpg
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ maskini tuskeys kwishaa

Hii ni hali ya biashara. Capitalism inafanya kazi yake. Familia inayomiliki supermarket hii walii-mismanage na matokeo yake ni hio. Halafu mzee mwenyewe alikataa kusomesha watoto wake zaidi ya shule ya upili. Yaani hakuna mtoto yeyote ambaye alikuwa na uwezo wa kuelewa biashara kimasomo. Kuna vijana walioanza kuiba pesa na kujiwekea. Halafu hawakuandika professionals wamanage hio biashara. Waliendesha biashara kienyeji style na matokeo yake ni obvious. Biashara usipoimanage professionally na kuruhusu mandugu na mauncle ambao hawajasoma biashara vizuri kuirun basi watairun to the ground. Naivas ina bahati imenunuliwa na kampuni ya kimataifa na inakuwa managed na wazungu professionally. Supermarket sio biashara ya kuiba pesa halafu ibakie hai.

Tazama video hapa inayoelezea jinsi baadhi ya ndugu walikuwa wanaiba pesa. Biashara ya familia huwa lazima ianguke especially inayoendeshwa na familia za kiafrika maana waafrika hatupendani. Tunaibiana sijui tatizo liko wapi. Sijui wahindi na waarabu huwa wanakuza biashara zao successfully vipi? Tujifunze kutoka kwao.
Ila pia kuna supermarket ya wahindi iliyokuwa inaitwa Nakumatt ambayo pia ilijifia. Mwenyewe pia alikuwa anachukua pesa na kuipeleka kwenye matumizi ya kibinafsi.
 
Tanzania ya sasa haikomboleki karne hii., ukubwa wa ushuzi ukilinganisha na economic output, pengine muujiza utendeke., ila naamini miujuza., jiombeni sana, wachana na vya Kenya.,

This is the average standard life ya watanzania., not extreme...

images-93.jpeg


images-100.jpeg

images-91.jpeg

images-103.jpeg

images-91.jpeg

images-93.jpeg

images-114.jpeg

images-117.jpeg


images-109.jpeg


images-108.jpeg
 

Attachments

  • images-109.jpeg
    images-109.jpeg
    9.6 KB · Views: 6
  • images-81.jpeg
    images-81.jpeg
    9.1 KB · Views: 8
  • images-90.jpeg
    images-90.jpeg
    9.9 KB · Views: 6
Thank you for this report, on "informal settlements" Dar informal settlements ni 80% of the whole sq km unafahamu hilo?., ama haujui maana ya informal settlements.., the real shit from the hole.
Leta report inayosema Dar inaongoza duniani kwa slum expansion, Kenya kila dakika slums zinapanuka kwa kilometers kadhaa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Tanzania ya sasa haikomboleki karne hii., ukubwa wa ushuzi ukilinganisha na economic output, pengine muujiza utendeke., ila naamini miujuza., jiombeni sana, wachana na vya Kenya.,

This is the average standard life ya watanzania., not extreme...

View attachment 1710578

View attachment 1710585
View attachment 1710573
View attachment 1710569
View attachment 1710580
View attachment 1710578
View attachment 1710571
View attachment 1710567

View attachment 1710582

View attachment 1710583
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Slums za kenya unalazimisha ziwe za Tanzania?

Yaani Kenya kuna slums nyingi mpaka unazisahau πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Screenshot_20210224-105028.png
 
Na bado hatujawafikia kwa kutapakaa kwa ushuzi kote kote, hapa hatufiki, tunakoma kwa sasa mko champions league kaka.,
View attachment 1710598
Look access roads
Water supply
Electricity
Concrete house

Njoo kwenye mother of slums sasa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Aibu
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
images (73).jpeg
images (88).jpeg
 
Back
Top Bottom