Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Africa Mashariki miji iliyopangwa ni Tanga na Dodoma tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kenyatta alikudanganya hvo 🤣🤣🤣 hii ni sumbawanga
Kwani nairobi imepangika na hzo slums zilitoka wapi au zilishushwa kutoka mbinguni
556601D4-45C1-4AD6-9247-2379C1411FF5.jpeg
C2923E87-07E3-4667-BD6B-C4FFD8A6F247.jpeg
 
Kibera iko overrated mnoo!
Hiyo mathare ni balaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Sure mkuu huwa nashangaa hawa jamaa mbn wanaitaja taja Kibera wakati wana maslums mengine makubwa hayana mfano, kwakweli sisi Watz tujivunie aisee ukiona dunia nzima mnatambulika kwa kitu fulani ujue nyinyi ni extra ordinary.
 
Hiyo picha ya kwanza [emoji23][emoji23][emoji23]

Ndio Ile huwa wanapiga picha vipande vipande ili kuficha hiyo slum pembeni!
Kwa mfano picha kama hii utakuta wanaipiga upande upande kuonesha hivyo vi apartments hapo ili ionekane kweli wako vzr kumbe mambo ni hovyo kabisa, ss niambie ni sehemu gani Tz iko hivi [emoji116][emoji116][emoji116]
JamiiForums900101043.jpg
 
Hapo kwenye "Mathare is the oldest slum in Nairobi" [emoji23][emoji23][emoji23]
😅😅😅 Eneo la watu almost 1 million halina passable roads Halafu mpunbavu mmoja anasema hako kaeneo kadogo tu cha Dar hakana road reserve

Wakati mathare hata hiyo road ambayo inahitaji reserves haipo, hapo bado hatujaongelea mud houses and shacks
 
Mji ambao uko well planned tunaujua kwa kuangalia aerial photograph. Huwezi kulinganisha Washington DC
View attachment 1710436

Au Konza city ambayo bado inajengwa
View attachment 1710437View attachment 1710438

Na huu utopolo wa Dar hapa chini ambapo hata nafasi ya kufanya expansion ya barabara hakuna. Manyumba yamefinyana kama nzige.
View attachment 1710439

Barabara zenyewe konde utadhani sindano halafu zimepinda kishenzi utadhani nyoka, sio straight. Halafu ukitaka kupanua barabara itabidi ubomoe nyumba za watu.
My friend You have no knowledge of of city planning🙂
 
Wewe bwege nani kakuambia barabara lazma ziwe zimenyooka?
Sio lazima inyooke lakini cities nyingi mashuhuri hususan za Marekani zina barabara zilizonyooka. Kwa hivyo hizo barabara zenu mbovu, zisizokuwa na lami, konde na zilizopinda kishenzi ndio standard ya dunia nzima? Mbona the best cities kama akina London, Riyadh, Dubai, New York zina barabara ambazo zimenyooka au hata kama zimepinda zimepinda kidogo tu? Halafu barabara inastahili kuwa pana sio hilo barabara lenu konde hata pikipiki itapata tatizo kupita.
Tazama hapa upate darasa wewe bwege. Angalia jinsi barabara ni pana na zimenyooka

London
images.jpeg


Riyadh
images (2).jpeg

Dubai usiku kunakaa hivi
images (3).jpeg

New York
images (4).jpeg

Halafu linganisha na huu utopolo wa Dar
images (5).jpeg
 
Back
Top Bottom