Lazima mtatii huu mwaka [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
View attachment 1709225DTB to shut down six branches in Nairobi, Eldoret and Malindi
The lender says staff in the affected branches will be redeployed to other business unitswww.businessdailyafrica.com
Kudadeki, pray for tanzaniaEquinor writes off Tanzania liquefied natural gas project
Equinor, formerly Statoil, has declared impairment of TLNG as a result of approval delays by Tanzania for onshore gas processing plant and export facility.www.theeastafrican.co.ke
View attachment 1709240
Cha ajabu ni kwamba anaogopa nn kuja na ID ya kwanza au sindano zimemuingia anaona haya jinc nchi inavyojengwa, mana hawa si anti-Magu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Choice Variable kabisa
Siyo hiyo, sema hizo mana pale ziko mbili mkuu.Iyo mnaifaham iko pale TazaraView attachment 1708973
Tony alisema umeme wetu ni white elephantAisee hicho kiwanda cha coating pipelines kitakuwa wapi? naona kama vile Tanga! Ni investment kubwa sana! The plant will be the first in East and central Africa!
Tony254
View attachment 1709232
Cha ajabu ni kwamba anaogopa nn kuja na ID ya kwanza au sindano zimemuingia anaona haya jinc nchi inavyojengwa, mana hawa si anti-Magu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Huyo mbn tulishampotezea wote Watz mpk Wakenya, mana huwa reasoning za chuki, anakuambia barabara za kufungua miji hazijengwi km kipindi cha JK wakati huo huo barabara za kufungua miji mara kibao zinawekwa humu, ana chuki na Magu mpk anaichukia nchi iliyomlea mpk anapata makalio ya kumuwezesha kufikiri [emoji3][emoji3][emoji3] usishangae mkuu jamaa huwa anatumia makalio kufikiri [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hiv mnaonaje tukimpotezea maana yy anaendeshwa na chuki
Huyo mbn tulishampotezea wote Watz mpk Wakenya, mana huwa reasoning za chuki, anakuambia barabara za kufungua miji hazijengwi km kipindi cha JK wakati huo huo barabara za kufungua miji mara kibao zinawekwa humu, ana chuki na Magu mpk anaichukia nchi iliyomlea mpk anapata makalio ya kumuwezesha kufikiri [emoji3][emoji3][emoji3] usishangae mkuu jamaa huwa anatumia makalio kufikiri [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hawezi jua kwanini JPM amewekeza kwenye umeme namna hii kama anajua chemistry coating inahusu mambo ya electroplating ( a form of electrolysis) na hutumia umeme mwingi!Tony alisema umeme wetu ni white elephant
Unapajua kw sababu ndio sehemu ambayo unaweza pamudu kimaishaNaijua kibera sababu ni kivutio chenu kipya cha utalii
Bado hujajibu swali[emoji1787][emoji1787]kuna njia nyingi sana za kupiga pesa,,naweza nikafungua kiwanda cha kofia nchini kwako na tukakubaliana kuwa silipi kodi wala chochote ndani ya miaka 50 kisha nitakukabidhi kiwanda kiwe chini yako...
ppp ni mkopo uliochangamka ,kwa sababu mwisho wa siku wa siku wananchi ndiyo wanaolipa huo mshiko...
Umehama tena[emoji1787][emoji1787]Achana na maneno ya kwenye kanga[emoji846]swali simple hawkers wapo ama hawapo kwenye interchange zenu pale githurai na kariobangi roundabout mliwatoa? Maana itakua hatua nzuri [emoji846]
Anafuraha sana mazee wakati wengine tunatinga kimya kimya na bila mtu hapa kujua..Ushagundua kuwa huyo jamaa amefurahi just because he is going to Nairobi?[emoji23][emoji23]
Nakwambia hata mikutano iliyofanyika leo kenya wanaijua, hawa majamaa wapuuzi kabisaAnajua kila ward na MCA wao. Hawa watanzania wanajua women representatives wote from one county to the other. Watakuambia kitu imefanyika Garissa even before wewe mwenyewe ujue.
Bonge la deal kwa tanesco, huu mradi peripheral economic effects zake zimefavor sana Tanzania kuliko UgandaHawezi jua kwanini JPM amewekeza kwenye umeme namna hii kama najua chemistry coating inahusu mambo ya electrolysis na hutumia umeme mwingi!
Hivi ni vitu wapuuzi wa Humu ndani wa kutoka Kenya hawawezi jua!Bonge la deal kwa tanesco, huu mradi peripheral economic effects zake zimefavor sana Tanzania kuliko Uganda
Coating plant ya 1,444 kilometers pipeline sio kitu kidogo, umeme mwingi utahitajika hapo
Huwa unamchulia serious hiyo takataka?Tony alisema umeme wetu ni white elephant