Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbn huwa wanasema ni $0.6bn mchina katoa? Yani hawa ni wehu kweli, wapo tayari kuikandamiza nchi yao ili wapate sifa aisee, we have the most stupid neighbor.
Wewe jamaa ni mjinga kweli. Kwani kuna tofauti gani kati ya $600m and $0.6b ? Now I understand why your education system is the weakest in Africa.
 
Kwa maneno tu mbn tayari mko mbele ya USA, cc tupo hapa kwa ajili ya mambo kwa ground [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90][emoji3545][emoji3545]
 
Eh Bana eh...WATANZANIA mmejaa Kenya sana na tunawapenda na kuwakaribisha zaidi....Tafuteni riziki....kuna sababu hamwendi Rwanda na ug ...au kubaki home...ni kwa sababu kenya is a land of opportunities.... Karibuni Kenya ndungu zetu tunawapenda
Yah tunakuja kuwatawala, ukiona kuna raia wa nchi fulani wengi mno kwenu juwa kwamba nchi ya hao raia ni super power kuliko yenu, ivyo yani.
 
Si huwa mnasema kuna omba omba wa Tz wapo Kenya? Unadhani wamekimbia nn huku? Ni kwamba hii co nchi ya omba omba inabidi waende kwa ndugu zao [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Omba omba united mna tabu[emoji1787][emoji1787]
Lel kuna kilema feki kakamatwa, amesema katokea kw jiwe ana mwezi sasa
 
Omba omba united mna tabu[emoji1787][emoji1787]
Lel kuna kilema feki kakamatwa, amesema katokea kw jiwe ana mwezi sasa
Yah lazima akajumuike na ndugu zake, nchi ya ombaomba na sio Tz haturusu kuomba omba [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwani unawajua watalii wote waliowahi kufika zanzibar....?
 
Eh Bana eh...WATANZANIA mmejaa Kenya sana na tunawapenda na kuwakaribisha zaidi....Tafuteni riziki....kuna sababu hamwendi Rwanda na ug ...au kubaki home...ni kwa sababu kenya is a land of opportunities.... Karibuni Kenya ndungu zetu tunawapenda
ivi ikitokea paap......baina ya hizi nchi mbili zikakubaliana kuwa nchi moja yaani kila mtu aweze kuishi popote nakuanzisha makazi baina ya hizi nchi mbili,,bila unafki unadhani ni nchi gani itatoa watu wengi zaidi kuhamia kwenye nchi nyingine...?...

uongee ukweli wako wa moyoni usiongee unafki ,,maana hata ukiongea unafki nafsi yako itakusuta huko huko ndani kwa ndani
 
Mbona huko kwenu hayako?

My friend stop stressing yourself 🙂lie to those who have never been to Nairobi Sawa🙂

Show me a planned estate like that in Dar es Salaam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…