wazee wa well plan wanajiita marich ,,,,,huwa nawachora sana nakuishia kucheka tu,,,,,,Aya poa, unajua hii battle nmekuwa nikiiomba mda sema wanajifanya hawaoni, ngj tusubiri jibu [emoji3][emoji3][emoji3]
Bwana hawa watu hawawezi kukubali hii battle, mm nawasubiri mpk saa1 usiku km hawajajibu nalianzisha, nina picha mupya mupya zinanipa mzuka[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]wazee wa well plan wanajiita marich ,,,,,huwa nawachora sana nakuishia kucheka tu,,,,,,
Yaani ni [emoji3][emoji3][emoji3]mkeka mwanzo mwishowOhh jpm anajenga Chato tu
Ooh barabara Tz hazina marking
Hii hapa Musoma barabara zimepigwa lami kama yote.
Kweli za kawaida, jinsi yalivyojengwa unaona mda wwte linaanguka, btw usipoteze maboya kuna battle imeanzishwa tunaomba ushirikiano wako, vp upo tayari?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nyumba za watu wa kawaida hzoooo[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1707491View attachment 1707492View attachment 1707493View attachment 1707495View attachment 1707496View attachment 1707497View attachment 1707498View attachment 1707499View attachment 1707500View attachment 1707501
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bwana hawa watu hawawezi kukubali hii battle, mm nawasubiri mpk saa1 usiku km hawajajibu nalianzisha, nina picha mupya mupya zinanipa mzuka[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hii kwao inaitwa sijui kariokoo [emoji23][emoji23]This one makes the whole of Dar to be a slum, save 10% tu around CBD areas, kwingine kwote ni vitongoji[emoji23][emoji23][emoji23], kwa vile Kenya huu mtaa bado ni categorized as ghetto, yaani slum[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1706503
View attachment 1706507
View attachment 1706504
View attachment 1706505
View attachment 1706506
Sections of pipeline, view from jogoo road.,
View attachment 1706508
Siku dar itakua developed kama Mombasa uni quoteUnapata wapi ujasiri wa kuzungumza haya? Au unajisahaulisha [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1706521
[emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hata wa kawaida mwenyewe kwa kwenu huko hawezi kuefford hapo usijitekenye,kwa kenya sehemu hizo anakaa anayejiweza ,,,,raia wa kawaida na raia maskini kabisa wote wanakaa sehemu mbovu....Nyumba za watu wa kawaida hzoooo[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1707491View attachment 1707492View attachment 1707493View attachment 1707495View attachment 1707496View attachment 1707497View attachment 1707498View attachment 1707499View attachment 1707500View attachment 1707501
mkuu huo msemo wa kuwa hayo ni majengo ya watu wa kawaida ni watu wa kawaida jina tu,,,Kweli za kawaida, jinsi yalivyojengwa unaona mda wwte linaanguka, btw usipoteze maboya kuna battle imeanzishwa tunaomba ushirikiano wako, vp upo tayari?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwani unadhani kuna kitu mkenya atatudanganya humu? Tunawajua mpk alama zao, wakiandika tu tunajua huyu ni mkalenjin, mkikuyu, mjaluo, n.k so tunajua wanaokaa humo kwenye hyo mijengo ni kina nani japo ni low quality housing.mkuu huo msemo wa kuwa hayo ni majengo ya watu wa kawaida ni watu wa kawaida jina tu,,,
hayo yamejengwa na kuitwa ya watu wa kawaida lakini in reality wanaokuja kuyavamia na kuishi ni zaidi ya watu wa kawaida yaani kwa huko kenya wanaokaa humo ni watu ambao wako njema...
mtu wa kawaida hubaki kuyatazama tu kwakuwa hawezi kuefford rent hayo majengo japokuwa hayana kiwango bora[emoji1][emoji1787][emoji1787]
Ni mkopo, limebadilishwa Jina tu.Mchina hajatoa mkopo wowote kwa huu mradi. Huu mradi ni PPP. Kama hujui maana ya PPP sema uelezewe. Serikali ya Kenya haijaomba mkopo wowote ili kujenga mradi huu. Investor mwenyewe ametoa pesa yake mfukoni na kujenga mradi huu. Atarudisha pesa yake baadaye kupitia toll fees.
Halafu hakuna data tumepika, hio statistic ni Mtanzania mwenzako aliyepost. Sisi tumekuja tu kuchangia. Muulize yeye katoa wapi data hio.
iko wazi.....Kwani unadhani kuna kitu mkenya atatudanganya humu? Tunawajua mpk alama zao, wakiandika tu tunajua huyu ni mkalenjin, mkikuyu, mjaluo, n.k so tunajua wanaokaa humo kwenye hyo mijengo ni kina nani japo ni low quality housing.
Naona nyumba za tope Nairobi![emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hata wa kawaida mwenyewe kwa kwenu huko hawezi kuefford hapo usijitekenye,kwa kenya sehemu hizo anakaa anayejiweza ,,,,raia wa kawaida na raia maskini kabisa wote wanakaa sehemu mbovu....
japokuwa seeikali yenu inajenga hizi nyumba kwa kuzipa majina kuwa ni nyumba za watu wa kawaida ila in reality hao watu wakawaida huwa hawaambuliii kitu sababu hawawezi kuefford wanaopata ni wanaojiweza tu,
wakawaida wenu wanaishi mazingira haya
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1707525View attachment 1707526View attachment 1707527View attachment 1707528View attachment 1707529View attachment 1707530View attachment 1707531View attachment 1707532View attachment 1707533View attachment 1707534View attachment 1707535
Cc Geza Ulole joto la jiwe The best 007Mkuu sasa hivi uku kwetu Corona ndo imepamba moto, tuliwacheka mlivyochukua hatua sasa ni zamu yetu kuzikana.
Hii serikali ya ccm Haina mpango na sisi watanganyika ..ngoja tuendelee kufiana
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Uyo mpuuzi mmoja hv wala asikusumbue, ni troll uyo.
Nyinyi wabongo huwa hampendi watu kutoa opposing views. Either mnawaita Wakenya au Wapuuzi. Mnawadharau Wabongo wasiokubaliana na nyimbo za CCM.Uyo mpuuzi mmoja hv wala asikusumbue, ni troll uyo.
Nyie kila siku mnazika huko Kenya tofauti ni mmeacha kutangaza!
Hzo ni za watu wa chini aisee[emoji1787][emoji1787]Kweli za kawaida, jinsi yalivyojengwa unaona mda wwte linaanguka, btw usipoteze maboya kuna battle imeanzishwa tunaomba ushirikiano wako, vp upo tayari?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]