Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dualing of athi river machakos highway, hapa wanachimba underpass. Malazy flyover yakwanza walipata mwaka jana. Lanes zetu tofauti sana.
IMG_20210220_004454.jpg
IMG_20210220_004457.jpg
 
Mwanza ilikukosea wapi mwarabu koko maana umeidhalilisha mpaka saa hivi nimejaza album ya kutumia kwa nduguzo. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] kama unauchungu nenda kazae[emoji68]‍[emoji480][emoji68]‍[emoji480][emoji68]‍[emoji480]
Nakusubiri cku uanze kulunganisha mwanza na hizo taka taka ili nitembee na ww, hatutaki porojo weka niweke style [emoji3][emoji3][emoji3]
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 au nasema urongooooooooooooooo

Nyinyi huwa mkipigwa maeneo mengine huwa mnarudi kwa hili jambo moja tu kwamba Kenya hatujitoshelezi kichakula. Nchi ambayo 100% ya ardhi yake inapokea mvua inaicheka nchi ambayo 25% ya ardhi yake inapokea mvua japo ina uchumi mkubwa kushinda hii ambayo inapokea mvua 100% maeneo yote.
 
Back
Top Bottom