ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Mwanza bado inakuumiza kichwa uhehehhe kwasababu umebanwa kwenye kiswali kidogo sana 😂😂😂😂😂 mm nilikwambia na nitakwambia kale ka wimbo ka tz of 90s kameisha sasa kila mmoja anaheshima yake mkononi au nasema urongooooHaujui ndio wana amka, vitu vya zamani ndio kwa sasa ni ya ajabu kwao., hapo kwa viatu tulipita zamani sana [emoji23][emoji1787][emoji23], Kuna siku pia mtu kapost modern trucks za kuzoa takataka in towns and cities, Kama zile za kanjo kwa kushangilia, things we had from 90s, vitu za kitambo sana anasema Kenya havipo amefurahi kishenzi, nilijua Tz ndio wametoka porini juzi wanashangaa shangaa na mambo, flyovers zinawapa orgasm, hadi Diamond Platinumz mwenyewe kwa interview moja amebambika na flyover ya kwanza Tz[emoji1787][emoji23][emoji1787]., outside Dar hakuna any ya maana sana., Si umejionea Mwanza mwenyewe, hapo ata mtu alete Kiswahili haikomboi Mwanza[emoji1787][emoji23][emoji23], Dar pia watch drone views zote kwa youtube, no comparison with Nairobi at all!!, lakini wakiweka picha on carefully selected angles na zimelishwa filter they can only fool wenye hawajafika Dar., can't compare to Nairobi [emoji1787][emoji23][emoji23]
Umelala na mwanza umeamka na mwanza 😂😂😂😂😂
Asante kwa kuandika gazeti