Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa kuna utofauti hupi kati ya Kenya na Uganda? Ukitoa mji mkuu wa Nairobi na Kampala ambao ni kweli Kampala bado lkn hio haiondoi ukweli halisi ya kwamba Uganda iko mbele ya Kenya tukiangalia inclusive economy idea.

Waganda huwa hawana njaa kama ambavyo Wakenya wako, na kama tutaangalia miji ukitoa Kampala na Nairobi au tutoe na Mombasa, inabaki kuwa Kenya na Uganda hazina utofauti mkubwa wa kimaendeleo japouwa linapokuja suala la uchumi wa mtu mmoja mmoja Uganda wapo mbali ya Kenya.
Ndio maana nimekuambia kama huelewi mambo ya Uchumi unyamaze. Unajiaibisha bure. Eti unasema katika uchumi wa mtu mmoja mmoja Uganda imeshinda Kenya? Unavuta bangi grade gani? Tukija kwenye suala zima la uchumi wa mtu mmoja mmoja yaani Gni per capita, Mkenya mmoja anapata mapato ya dollar 1,800 kila mwaka ilhali Mganda mmoja anapata mapato chini ya dollar 900 kwa mwaka. Yaani Mkenya mmoja amemdouble Mganda mmoja kwenye Gni per capita. Hii ndio maana Kenya ni lower middle income na Uganda na Rwanda bado ni LDC. By the way Mkenya mmoja ana mapato ya juu kushinda Mtanzania mmoja. Kama hukuwa unajua basi sasa unajua.
 
Kwa kipato gani?maana kuna walimu wa kikenya wanaofundisha TZ mshahara wao hauzidi usd 300,hivi mtu unaishi vipi ukiwa abroad kwa mshahara wa $300!
 
Sasa kuna utofauti hupi kati ya Kenya na Uganda? Ukitoa mji mkuu wa Nairobi na Kampala ambao ni kweli Kampala bado lkn hio haiondoi ukweli halisi ya kwamba Uganda iko mbele ya Kenya tukiangalia inclusive economy idea.

Waganda huwa hawana njaa kama ambavyo Wakenya wako, na kama tutaangalia miji ukitoa Kampala na Nairobi au tutoe na Mombasa, inabaki kuwa Kenya na Uganda hazina utofauti mkubwa wa kimaendeleo japouwa linapokuja suala la uchumi wa mtu mmoja mmoja Uganda wapo mbali ya Kenya.
We unaumwa
Fanya hvo hvo kw tz, toa mombasa na nairobi na nyie mtoe dar tu alafu uone ngoma
 
Ndio maana nimekuambia kama huelewi mambo ya Uchumi unyamaze. Unajiaibisha bure. Eti unasema katika uchumi wa mtu mmoja mmoja Uganda imeshinda Kenya? Unavuta bangi grade gani? Tukija kwenye suala zima la uchumi wa mtu mmoja mmoja yaani Gni per capita, Mkenya mmoja anapata mapato ya dollar 1,800 kila mwaka ilhali Mganda mmoja anapata mapato chini ya dollar 900 kwa mwaka. Yaani Mkenya mmoja amemdouble Mganda mmoja kwenye Gni per capita. Hii ndio maana Kenya ni lower middle income na Uganda na Rwanda bado ni LDC. By the way Mkenya mmoja ana mapato ya juu kushinda Mtanzania mmoja. Kama hukuwa unajua basi sasa unajua.
Huyo jamaa anajua mkenya wa kawaida akipiga misele kw siku anatoka na ngapi, yani sijui akili zao wamezipeleka wapi walai..
Tafuta hustler akuomyeshe mpesa statement yake alafu uje unipe marejesho buda..
Mpka unashtuka walai
 
Nyieee
IMG_20210219_140236_7.jpg
 
Huyo jamaa anajua mkenya wa kawaida akipiga misele kw siku anatoka na ngapi, yani sijui akili zao wamezipeleka wapi walai..
Tafuta hustler akuomyeshe mpesa statement yake alafu uje unipe marejesho buda..
Mpka unashtuka walai
Umeshakula?
IMG_20210217_162828.jpg
 
Back
Top Bottom