Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_1613743924.513028.jpg
IMG_1613743935.816134.jpg
IMG_1613743946.008638.jpg
IMG_1613743957.226286.jpg
IMG_1613743966.980222.jpg
IMG_1613743977.655401.jpg
 
Unajua maana ya old town? lishamba lya Dar, mji ulijengwa kabla ya babu ya mababu zako na Vasco Da Gama..,na tume preserve huo muundo, Kiswahili mingi ni laana kweli Mombasa is Dar n Dar is Mombasa period, lakini Mombasa iko nafuu kidogo kwa Dar.,

Wew unafurahi kuita old town uchafu huo mwisho utawaponda jinga kabisa
 
Wew unafurahi kuita old town uchafu huo mwisho utawaponda jinga kabisa
Kuna tofauti ya old town na kwingine., unajua maana ya neno hostorical heritage?., a section preserved., in the first clip hiyo old town is not covered., Mombasa ilivyo kwa sasa.., mwenye wivu ajinyonge


Old town clip; UNESCO world heritage site..,
 
Kabla ya Nairobi Terminus kushindana na The mighty Tanzanite sgr station wanatakiwa wapambane na hii kwnz.

Yani tunaendelea kuvunja rekodi zetu wenyewe kila uchwao, the best stations in Africa nowadays are found in Tanzania whether you like it or not
That ugly thing from outsideinakupa orgasm , ndani walijaribu lakini, afadhali Mombasa Terminus mara mia nje na ndani kote ni ., ngojeni train ya umeme tu., eti the mighty what?? 😂 😂 😂
images-19.jpg

images-20.jpg

download-5.jpg

download-6.jpg

images-18.jpg
 
Kabla ya Nairobi Terminus kushindana na The mighty Tanzanite sgr station wanatakiwa wapambane na hii kwnz.

Yani tunaendelea kuvunja rekodi zetu wenyewe kila uchwao, the best stations in Africa nowadays are found in Tanzania whether you like it or not
 
Mkuu yosef wewe reference zako ni Mmawia na Kennedy?
Not really kaka, I know Dar, mie najaribu tu ku bust the bubble ya vilaza humu wanao danganya watu kuhusu Tanzania., facts tu ndio dawa., ila sina ubaya na mtu, ni debate tu..,
 

Wakenya tukisema mna poor planning kwenye miundo mbinu yenu huaga mnakataa🙂​

Hilo foot bridge Mombasa road Bellevue mnayo claim gharama yake 180ksh million ina bomolewa Ku pave way for Nairobi express way alo sema lijengwe pale alikuwa anategemea nini? Alafu bridge lenyewe na gharama yake sasa daaah kweli Kenya mnapiga hela vibaya Sana🙂
 
hi ni leo, angalieni wenyew mazingira yalivyo machafu


Nionyeshe uchafu pale Kayole na Dandora kwa hizo picha., nyie mnajua ni slums sana😂😂😂., hapa Kenya yale maeneo yako under slums, meaning by Kenyan standards Dar ni slum 90% 😂 😂 😂 😂 😂 😂 onyesha takataka kaka...,
 
Dar metro polis
Mlandizi ni vitongoji vya dar
Dar hapo utakua umeenda mbali sana, maisha ya vitongoji kama hayo yamezunguka mji., kabla ufike pale utakua umejionea a 21st century Tanzanian city..,😂😂😂😂
 
Ila kama naona ranking oder zipo
  1. Mbezi Luis Bus Station
  2. Dar electrical SGR Terminal
  3. Dodoma Bus Station
  4. Nairobi diesel SGR Terminus

Soon...

  1. Mbezi Luis Bus Station
  2. Dar electrical SGR Terminal
  3. Dodoma Bus Station
  4. Mwanza Bus Station
  5. Nairobi diesel SGR Terminus
CC: Tony254
"Dar electrical sgr station"
Mzee kaa utue jamani utakufa kw presha bure
 
Back
Top Bottom