Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nitajie mna industries ngapi zinazoconsume more than 50 MW. Mna industries hata ishirini kweli zinazoweza kuconsume umeme huo? Hamna. Halafu neighbours wenu wote ni masikini isipokuwa pengine Kenya ila Kenya uchumi wetu umejikita sana kwenye services sio manufacturing au mining kwa hivyo sisi hatuna demand kubwa ya umeme. Zambia na zimbabwe zina demand nzuri ya umeme kwa sababu ya mining lakini sio kubwa. Isipokuwa South Africa kusema ukweli hakuna nchi nyingine ambayo ina njaa ya umeme sana ukanda huu. Nyinyi wenyewe mnafanya ujinga kuambia industries zenu kuwacha kutumia umeme na kuanza kutumia gas. Kwa mfano mumeruhusu breweries yenu ambayo inaconsume metawatts nyingi na Dangote cement ambayo inaconsume nadhani 50 MW kuswitch to gas. Policy ya kijinga sana hii. Kwa nchi ambayo inajisifu kwamba inapania kuzalisha umeme mwingi mwongo huu (10,000 MW) kukubali industries zenu zitumie gas na kupunguza demand ya umeme ni ujinga mtupu. South Africa wanajenga powerplants zao pia na wanajenga windmills na solar plants, coal plants na gas-fired plants. You are taking a gamble kwamba umeme huu wote utanunuliwa na South Africa. Upuuzi mtupu.
Nikimalizia tu, juzi naona mmelaunch miradi kadhaa ya mining, sijui graphite, sijui gold, sijui blablabla. Niliwauliza swali moja mkashindwa kujibu. "Je hizi mining companies zitaconsume megawatts ngapi?" Mniletee list ya mining plants zote zinazojengwa na megawatts ambazo zitaconsume. I can guarantee you kwamba hizo mining companies zote hazitaconsume a total of 1,000 MW. Kwa hivyo mtakuwa na surplus kubwa sana na kama mnapanga kuuzia Kenya au Uganda basi nyinyi ni wajinga maana Kenya na Uganda tunaconsume umeme mdogo sana na infact tunazalisha surplus. Kenya kwa mfano inaconsume only 1,900 MW Kwa hivyo hatuhitaji umeme wenu kwa sababu tunajitosheleza. Na Uganda inaconsume chini ya 1,000 MW. Rwanda inaconsume chini ya 200 MW. Burundi pia inaconsume chini ya 100 MW. Nyinyi wenyewe mnaconsume umeme mdogo sana wa 1,400 MW baada ya miaka 60 ya kujenga viwanda. Ni maajabu gani mtafanya ili kuongeza demand ifikie 4, 000 MW kwa miaka mitatu. Zile industries mnazojenga sasa hivi hazitaconsume more than 1,000 MW. Kwa hivyo South Africa tu ndio wanaweza kuwarescue from your own risky gamble. Ikiwa South Africa watakataa kabisa kununua umeme wenu au waamue kununua 500 MW pekee basi mtabaki na surplus ya zaidi ya 2,000 MW hata baada ya kujenga industries zenu.
Pwani alone ina 3 steel plants 2 stated in the clip plus Kamal steel in Bagamoyo!
 

Wakenya tukisema mna poor planning kwenye miundo mbinu yenu huaga mnakataa

Hilo foot bridge Mombasa road Bellevue mnayo claim gharama yake 180ksh million ina bomolewa Ku pave way for Nairobi express way alo sema lijengwe pale alikuwa anategemea nini? Alafu bridge lenyewe na gharama yake sasa daaah kweli Kenya mnapiga hela vibaya Sana
Uko na ushahidi
 

Attachments

  • Screenshot_20210219-182652_DuckDuckGo.jpg
    Screenshot_20210219-182652_DuckDuckGo.jpg
    163.8 KB · Views: 5
  • Screenshot_20210219-182637_DuckDuckGo.jpg
    Screenshot_20210219-182637_DuckDuckGo.jpg
    111.8 KB · Views: 5
  • Screenshot_20210219-182621_DuckDuckGo.jpg
    Screenshot_20210219-182621_DuckDuckGo.jpg
    143.9 KB · Views: 6
  • Screenshot_20210219-182613_DuckDuckGo.jpg
    Screenshot_20210219-182613_DuckDuckGo.jpg
    120.1 KB · Views: 7
👇👇👇👇👇👇
😂 😂 😂 😂 😂 history., even NexGen mall was to be demolished but the govt adjusted the design at the areas, no demolisions whatsoever., only the bridge at GM might be removed and reassembled elsewhere ju ni metals screwed together.,


The bridges are intact as seen in the clip.,
 
Back
Top Bottom