Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahaha. Uzuri sio wewe hater wa Kenya unayekaa kwenye tender commitee. Kama ingekuwa ni wewe unayechagua mshindi wa zabuni basi Kengen haingeshinda. Ila uzuri wewe na roho yako mbaya hamtakuwa pale wakati mshindi anachaguliwa.

Siku tatu zilizopita tumeshinda tender ya kuchimba geothermal wells Djibouti. We are a professional country.





Ikumbukwe kwamba tumeshinda contract mara mbili tofauti kuchimbia geothermal wells Ethiopia. Tender ya kwanza ilikuwa sh 7 billion miaka mitatu iliyopita na ya pili ilikuwa sh 5 billion mwaka mmoja uliopita. Tunapozungumza sasa hivi Ethiopia anazalisha 7 MW thanks to our expertise. Na soon Ethiopia ataanza kujenga 140 MW geothermal powerplant
Hapo kuna game mmecheza haiwezekani kampuni ya Kenya kupewa hiyo contract rushwa imetembea🙂
 
IMG_1613651676.266380.jpg
 
Hapo kuna game mmecheza haiwezekani kampuni ya Kenya kupewa hiyo contract rushwa imetembea🙂
Hamna hongo yoyote tuliyotoa. Sisi ni experts kwenye geothermal power production. Ethiopia tayari tumeshinda tender mbili kubwa na tuko karibu kushinda ya tatu. Hii ya Djibouti ni tender ya juzi. Iko namna hii
1. Ethiopia = 2 contracts to drill geothermal wells
2. Djibouti = 1 contract to drill geothermal wells.
3. Tanzania = 1 contract to drill geothermal wells.

evidence of the power produced as a result of ur expertise? 7MW n u dare to yap!?
Business Daily

KenGen makes the cut in Ethiopian geothermal deal​

Friday January 08 2021​


Kengen is in contention for another multi-billion geothermal wells project in Ethiopia in what could mark the third win in the landlocked country in under two years.


KenGen makes the cut in Ethiopian geothermal deal
alushula-data.jpg

By PATRICK ALUSHULA
More by this Author

IN SUMMARY​

  • The Kenyan firm is among seven that have won the first round of call for tenders to drill wells for a 150 Megawatts (MW) geothermal steam power plant in the Oromia region of Ethiopia.
  • Corbetti Geothermal—the company that is developing the Corbetti geothermal project in Ethiopia—received final bids from the seven firms last month and is expected to pick the winner soon.
Advertisement
Kenya Electricity Generating Company #ticker:KEGN (KenGen) is in contention for another multi-billion geothermal wells project in Ethiopia in what could mark the third win in the landlocked country in under two years.
The Kenyan firm is among seven that have won the first round of call for tenders to drill wells for a 150 Megawatts (MW) geothermal steam power plant in the Oromia region of Ethiopia.
Corbetti Geothermal—the company that is developing the Corbetti geothermal project in Ethiopia—received final bids from the seven firms last month and is expected to pick the winner soon.
The results for the initial call, which have been published by Corbetti shows that KenGen will be competing with Great Wall Drilling Company, Grey Wolf Drilling, Iceland Drilling Company, Marriot Drilling, Schlumberger and a consortium of Baker Hughes-Tsavo Oilfield Services and Parker Drilling.
KenGen is already working on two geothermal contracts in the Horn of Africa country.
The firm, in February 2019, won part of a Sh7.6 billion contract to supply geothermal drilling services to the Ethiopian Electric Power (EEP).
This was followed up with a Sh5.2 billion tender from Tulu Moye Geothermal Operations Plc—an independent power producer located in the eastern region of Ethiopia— to drill wells and offer geo-scientific survey.
Earlier announcement by Corbetti had shown that it expects an agreement for the geothermal wells to be reached and signed shortly after New Year to allow drilling to start in early in the year.
The selected firm will be responsible for drilling three geothermal exploration wells and up to 26 production wells.
The project will be developed in two faces split between 50 MW and 100 MW.
It was not immediately clear how much Corbetti plans to spend on the 150MW. The entire project was estimated to go up to 1,000MW and cost Sh438 billion ($4 billion).
KenGen has close to four decades of experience in steam power and runs several geothermal stations in Kenya, with Olkaria I power station being the first geothermal power plant in Africa.
Advertisement


 
Hahahaha!!30 coins itoe hapo bana..
Lupin na next zipo level ingine kabisa
Ki ukweli inategemea na preference ya mtu binafsi mfano Mimi na penda mystery,epic, sci-fi history na adventure movies unakuta mwingine anapenda drama/action umeona 🙂30 coins is my number 1 ikifuatwa na lupin alafu next ya mwisho 🙂
 
Ki ukweli inategemea na preference ya mtu binafsi mfano Mimi na penda mystery,epic, sci-fi history na adventure movies unakuta mwingine anapenda drama/action umeona 30 coins is my number 1 ikifuatwa na lupin alafu next ya mwisho
Mi naangalia zote zote lkn pia ku vitu vingine ni vya low budget, ila sisemi km 30 coins iko chini ya viwango lkn kwangu bado
 
Mara nyingi nikipita pale airport huwa naziona zimeganda pale pale, roho huwa inaniuma sn huwa nadhani napoteza muda wng kusifu kumbe kitu hakiruki, kumbe inawezekana muda ambao naziona pale huwa zinasubiri abiria au?
Ndege kupaki ni kawaida lkn haiwezekani iwe ni asilimia kubwa zinapaki pale JNIA
 
Mm nasubiri cku tutaidondosha kenya kwenye GDP ili tuufunge huu uzi.
insha'Allah kila safari hatua wakwetu tumetoka mbali kwa speed tunayo kuja nayo kuna uwezekano wa Sisi kuwa level moja na wakina Thailand na Colombia maana wametoka nyuma kama Sisi na saiv wanaelekea 1st world naamini tuna uwezo wa kufanya hivo🙂 patience tu🙂
 
insha'Allah kila safari hatua wakwetu tumetoka mbali kwa speed tunayo kuja nayo kuna uwezekano wa Sisi kuwa level moja na wakina Thailand na Colombia maana wametoka nyuma kama Sisi na saiv wanaelekea 1st world naamini tuna uwezo wa kufanya hivo patience tu
Kwa haya mambo tunayofanya yanawatia tumbo joto hawa wasenge na ndiyo maana wametafuta excuses wameona ni corona
 
Back
Top Bottom