Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Acheni masiahara bana, kw hizi figisu tunazofanyiana unafikiria tutaomoka kweli..
Labda tuamue kuinuka km afrika kw ujumla lkn eti nchi moja moja, tutasubiri sana hapo ukweli lazima usemwe..

Yani hapa ni tuungane waafrika wote au Tuendelee kukomoana wenywe kw wenywe huku wenye vyao wapate nafasi ya kutukandamiza zaidi
Figisu figisu mnatufanyia nyie🙂 Tanzania inakuja kwa Kasi Sana na hampendi kwa jinsi tunavyo wapiga kwenye sekta nyingi🙂
 
Anaesema hapo ni nani?? Yani mtu akizungumza inaonekana ni kama official source au?? Kama alizoea kupiga dili tufanyaje na rais kashasema mtu asiefanya kazi atambue hatakula mbona kaliweka wazi

Hahahaha mulipe na nn wakat uchumi umefika sehemu munapewa mikopo kwa masharti magumu kabisa
Hiyo "official source" yako imesema nini?, Kati ya ksh100, ksh57 ililipa madeni., sasa wewe unafikiria nini?., it will only slow down govt developmental projects, but it cannot affect the vibrancy in the private sector and individual sectors, kuna independence, if you know you know, the reason Kenya will top you for many centuries , differentiate between government and economy, si unajidai wewe msomi? fikra zako huwa ni za ki uchwara sana ichoboy01
 
Heheheheh eti city hio

Sasa unaona reasoning yako , a cherry picked news can never give a clear picture of the whole ona ulivyo na masomo uchwara reasoning yako inakuumbua kila unapo ropokwa
 
Nitajie mna industries ngapi zinazoconsume more than 50 MW. Mna industries hata ishirini kweli zinazoweza kuconsume umeme huo? Hamna. Halafu neighbours wenu wote ni masikini isipokuwa pengine Kenya ila Kenya uchumi wetu umejikita sana kwenye services sio manufacturing au mining kwa hivyo sisi hatuna demand kubwa ya umeme. Zambia na zimbabwe zina demand nzuri ya umeme kwa sababu ya mining lakini sio kubwa. Isipokuwa South Africa kusema ukweli hakuna nchi nyingine ambayo ina njaa ya umeme sana ukanda huu. Nyinyi wenyewe mnafanya ujinga kuambia industries zenu kuwacha kutumia umeme na kuanza kutumia gas. Kwa mfano mumeruhusu breweries yenu ambayo inaconsume metawatts nyingi na Dangote cement ambayo inaconsume nadhani 50 MW kuswitch to gas. Policy ya kijinga sana hii. Kwa nchi ambayo inajisifu kwamba inapania kuzalisha umeme mwingi mwongo huu (10,000 MW) kukubali industries zenu zitumie gas na kupunguza demand ya umeme ni ujinga mtupu. South Africa wanajenga powerplants zao pia na wanajenga windmills na solar plants, coal plants na gas-fired plants. You are taking a gamble kwamba umeme huu wote utanunuliwa na South Africa. Upuuzi mtupu.
Nikimalizia tu, juzi naona mmelaunch miradi kadhaa ya mining, sijui graphite, sijui gold, sijui blablabla. Niliwauliza swali moja mkashindwa kujibu. "Je hizi mining companies zitaconsume megawatts ngapi?" Mniletee list ya mining plants zote zinazojengwa na megawatts ambazo zitaconsume. I can guarantee you kwamba hizo mining companies zote hazitaconsume a total of 1,000 MW. Kwa hivyo mtakuwa na surplus kubwa sana na kama mnapanga kuuzia Kenya au Uganda basi nyinyi ni wajinga maana Kenya na Uganda tunaconsume umeme mdogo sana na infact tunazalisha surplus. Kenya kwa mfano inaconsume only 1,900 MW Kwa hivyo hatuhitaji umeme wenu kwa sababu tunajitosheleza. Na Uganda inaconsume chini ya 1,000 MW. Rwanda inaconsume chini ya 200 MW. Burundi pia inaconsume chini ya 100 MW. Nyinyi wenyewe mnaconsume umeme mdogo sana wa 1,400 MW baada ya miaka 60 ya kujenga viwanda. Ni maajabu gani mtafanya ili kuongeza demand ifikie 4, 000 MW kwa miaka mitatu. Zile industries mnazojenga sasa hivi hazitaconsume more than 1,000 MW. Kwa hivyo South Africa tu ndio wanaweza kuwarescue from your own risky gamble. Ikiwa South Africa watakataa kabisa kununua umeme wenu au waamue kununua 500 MW pekee basi mtabaki na surplus ya zaidi ya 2,000 MW hata baada ya kujenga industries zenu.
make Google your friend
 
We pumbavu unajua metallurgical mines zina-consume umeme kiasi gani hivi mna mgodi hata mmoja Kenya nzima?
 
  • The Kenyan firm is among seven that have won the first round of call for tenders to drill wells for a 150 Megawatts (MW) geothermal steam power plant in the Oromia region of Ethiopia.

Wacha upumbavu hamna capacity ya ku-carry out a project of that magnitude!
Boss soma hio article tena. Tayari tumeshinda contracts mbili za kudrill geothermal wells in Ethiopia. Hio hapo ni ya tatu ambayo tumebid na tutashinda. Jifunze kusoma.
 
Ruaka Nairobi
20210217_125043.jpg
 
Boss soma hio article tena. Tayari tumeshinda contracts mbili za kudrill geothermal wells in Ethiopia. Hio hapo ni ya tatu ambayo tumebid na tutashinda. Jifunze kusoma.
Hamna contract mliyoshinda peke yenu ni wasindikizaji! Hamna mtu anaweza kuwapa tender from the scratch to the end! Hamna huo uwezo! The tender u just mentioned, Kenya is among 7 other countries eyeing the deal! U basically have no chance!

Most of ur contracts r on exploration phase!
 
Hamna contract mliyoshinda peke yenu ni wasindikizaji! Hamna mtu anaweza kuwapa tender from the scratch to the end! Hamna huo uwezo! The tender u just mentioned, Kenya is among 7 other countries eyeing the deal! U basically have no chance!
We mzee si una wivu jamani
 
Back
Top Bottom