Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yule jamaa siafungue Uzi Wa Dubai vs Jozi kwanza aone mtu akila kichapo mapema kabla jua halijawa kali
 
Jamaa wa TGDC wamejuaje kuna geothermal sources in the Southern Tanzania?
Sijui. Pengine wachinese au wazungu wamefanya survey mahali hapo. Na pia expertise ya kudrill hamna. Hata drilling rig ni tofauti na ya kuchimba mafuta au gesi. Ndio maana ile Italian company iliyoshinda zabuni iliambiwa ifanye survey na pia itoe recommendation ni aina gani ya rig inastahili kununuliwa. Kwa hivyo hata hizo rigs hamna.
 
Hiyo "official source" yako imesema nini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Kati ya ksh100, ksh57 ililipa madeni., sasa wewe unafikiria nini?., it will only slow down govt developmental projects, but it cannot affect the vibrancy in the private sector and individual sectors, kuna independence, if you know you know, the reason Kenya will top you for many centuries [emoji23][emoji23][emoji23], differentiate between government and economy, si unajidai wewe msomi?[emoji23][emoji23][emoji23] fikra zako huwa ni za ki uchwara sana ichoboy01 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe umeleta official source gani?? Hebu post tena 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

mm hua sikukwepeshi nakutandika hapo hapo🤣🤣👇👇👇
 
Sasa unaona reasoning yako [emoji23][emoji23][emoji23], a cherry picked news can never give a clear picture of the whole ona ulivyo na masomo uchwara[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] reasoning yako inakuumbua kila unapo ropokwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Nacheka kuona city hio🤣🤣🤣🤣 inanuka ushuzi wa bata hahahaha
 
Wewe umeleta official source gani?? Hebu post tena 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

mm hua sikukwepeshi nakutandika hapo hapo🤣🤣👇👇👇

Hii unaichukulia kama ni news mbaya lakini kwangu naichukulia kama ni news nzuri. Inaonekana huelewi mambo ya uchumi. Kenya tukianza kufuata masharti haya ya IMF ya kupunguza expenditure na budget deficit basi hatutakuwa na shida ya kulipa deni. Hii ni habari nzuri lakini wewe unaichukulia kana kwamba ni habari mbaya ya kutucheka.
 
Na hzi zinapayika wapi🤣🤣👇👇👇 tumuite mwenzake nani
FDB91FE6-2842-49CA-B864-5D7391679A1F.jpeg
627D8A12-DB23-4A27-BB15-244939AAB3E0.jpeg
5F679427-60DE-4599-84CC-64A8A67D0D19.jpeg
8C798C67-69F7-4FCC-87B6-EC5495B42EF0.jpeg
1BAFBDC0-E330-4F6C-95B9-6E5B8E5482FB.jpeg
C45DE0F8-D6FE-40BB-93C3-BD6B9870D9BF.jpeg
ABFD8797-2E36-4850-BE4C-17BB51C8F9D0.jpeg
8763A5FC-BF5A-4938-BAB8-6BB0D09BB093.jpeg
 
Hii unaichukulia kama ni news mbaya lakini kwangu naichukulia kama ni news nzuri. Inaonekana huelewi mambo ya uchumi. Kenya tukianza kufuata masharti haya ya IMF ya kupunguza expenditure na budget deficit basi hatutakuwa na shida ya kulipa deni. Hii ni habari nzuri lakini wewe unaichukulia kana kwamba ni habari mbaya ya kutucheka.
Mwambie mwenzako sasa Yosef Festo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kama msomi inabidi utueleweshe jinsi gani electric energy inaweza kugeuka na kuwa white elephant while duniani kwa sasa energy hasa electric energy ndiyo kichocheo kikubwa cha nchi kuwa na uchumi mkubwa mfano China.

Anasahau dunia ya sasa inapambana na mabadiliko ya tabia nchi mf. Elon Musk ni issue ya mwaka mmoja kapindua meza kwenye utajili kupitia Tesla na baadhi ya project nyingine... Nchi nyingi zilizoendelea zinaachana na magari ya mafuta kulinda mazingira
 
Back
Top Bottom