Hamna contract mliyoshinda peke yenu ni wasindikizaji! Hamna mtu anaweza kuwapa tender from the scratch to the end! Hamna huo uwezo! The tender u just mentioned, Kenya is among 7 other countries eyeing the deal! U basically have no chance!
Kwa hivyo Kenya hatukushinda tender ya kudrill geothermal wells in Tulu Moye? Tulisindikiza nani? Na hii ya Djibouti tunasindikiza nani Mr Wivu? Hebu tuambie
Yaani jamaa ana wivu hadi anapinga facts. Anasema kwamba tunasindikiza kampuni zingine. Anasema kwamba hatukushinda contract ya kuchimba geothermal wells ilhali nimemuwekea evidence asome na amekataa kusoma.
Nakuambiaga hivi vitu hujui the most money comes from installing heat extraction n power generation! Kenya haina expertise on that front! Nye kazi yenu ni survey and well drilling !
Nakuambiaga hivi vitu hujui the most money comes from installing heat extraction n power generation! Kenya haina expertise on that front! Nye kazi yenu ni survey and well drilling !
Ni sawa sisi tunafanya geo-scientific survey and well-drilling. Hio pia inahitaji ujuzi wa hali ya juu. Ujuzi ambao hamna. Maana ukienda kichwa kichwa bila ujuzi utadrill dry holes.
Hii report yako uchwara haitobadilisha ukweli uliopo ndani ya mtandao wa world Bank, hii yako haupati., hiyo report iko full, Kenya is not mentioned in that respect., ata Zimbabwe na Zambia not at all, lakini nyie hapa bado mpompo tu View attachment 1705620
Haupendi kukerwa lakini ndio ukweli, zoea usonge mbele na ufikirie jinsi ya kujikomboa., CCM walishindwa miaka mingi sasa.
My article in this column last week was on how Kenyan firms with oil and gas experience and capacity can venture into the fast growing natural gas developments in Mozambique. This is what Kengen, the Kenyan power generating firm, has done in Ethiopia where the company is “exporting” its geothermal technical capacity gained over years.
And this is indeed a good story because, firstly it proves that Kenya has sufficiently matured its geothermal technical “local content” to international standards. And secondly because Kengen will earn foreign exchange for Kenya while providing external contracting exposure to its employees.
I chanced on this story in December last year when I passed a long and well controlled convoy of Kengen trucks carrying heavy equipment which I was informed was heading north to Ethiopia.
KenGen, an acknowledged pioneer in geothermal generation in Africa, was awarded two geothermal drilling projects in Ethiopia after competitively winning international tenders, which is a proof that the company has made the mark, and that it can compete for similar jobs elsewhere in Africa, especially in those counties that accommodate the Rift Valley and areas with volcanic geology.
The first of the two geothermal contracts in Ethiopia was awarded to Kengen and its consortium partners by Ethiopian Electric Power (EEP) for the supply of geothermal drilling rigs and accessories, as well as operation, and maintenance of the Aluto Langano Geothermal Plant which is on the Ethiopian Rift Valley about 200km south of Addis Ababa. The project targets production of 75 MW of geothermal electricity with a contract value of $6.0 million and is expected to take one year to complete.
The second Ethiopian contract for KenGen was awarded by a private company, Tulu Moye Geothermal Operations PLC (TMGO) to drill 12 wells, also located in the Ethiopian Rift Valley. The project contract is worth $ 57 million and targets an initial 50MW of power generation. The contract duration is two and half years.
KenGen’s geothermal deals in Ethiopia good for Kenya
Tuesday February 25 2020
Geothermal readily attracts project funding from global multilateral investment institutions and private equity.
My article in this column last week was on how Kenyan firms with oil and gas experience and capacity can venture into the fast growing natural gas developments in Mozambique. This is what Kengen, the Kenyan power generating firm, has done in Ethiopia where the company is “exporting” its geothermal technical capacity gained over years. And this is indeed a good story because, firstly it proves that Kenya has sufficiently matured its geothermal technical “local content” to international standards. And secondly because Kengen will earn foreign exchange for Kenya while providing external contracting exposure to its employees. I chanced on this story in December last year when I passed a long and well controlled convoy of Kengen trucks carrying heavy equipment which I was informed was heading north to Ethiopia. KenGen, an acknowledged pioneer in geothermal generation in Africa, was awarded two geothermal drilling projects in Ethiopia after competitively winning international tenders, which is a proof that the company has made the mark, and that it can compete for similar jobs elsewhere in Africa, especially in those counties that accommodate the Rift Valley and areas with volcanic geology. The first of the two geothermal contracts in Ethiopia was awarded to Kengen and its consortium partners by Ethiopian Electric Power (EEP) for the supply of geothermal drilling rigs and accessories, as well as operation, and maintenance of the Aluto Langano Geothermal Plant which is on the Ethiopian Rift Valley about 200km south of Addis Ababa. The project targets production of 75 MW of geothermal electricity with a contract value of $6.0 million and is expected to take one year to complete. The second Ethiopian contract for KenGen was awarded by a private company, Tulu Moye Geothermal Operations PLC (TMGO) to drill 12 wells, also located in the Ethiopian Rift Valley. The project contract is worth $ 57 million and targets an initial 50MW of power generation. The contract duration is two and half years.
Nitajie mna industries ngapi zinazoconsume more than 50 MW. Mna industries hata ishirini kweli zinazoweza kuconsume umeme huo? Hamna. Halafu neighbours wenu wote ni masikini isipokuwa pengine Kenya ila Kenya uchumi wetu umejikita sana kwenye services sio manufacturing au mining kwa hivyo sisi hatuna demand kubwa ya umeme. Zambia na zimbabwe zina demand nzuri ya umeme kwa sababu ya mining lakini sio kubwa. Isipokuwa South Africa kusema ukweli hakuna nchi nyingine ambayo ina njaa ya umeme sana ukanda huu. Nyinyi wenyewe mnafanya ujinga kuambia industries zenu kuwacha kutumia umeme na kuanza kutumia gas. Kwa mfano mumeruhusu breweries yenu ambayo inaconsume metawatts nyingi na Dangote cement ambayo inaconsume nadhani 50 MW kuswitch to gas. Policy ya kijinga sana hii. Kwa nchi ambayo inajisifu kwamba inapania kuzalisha umeme mwingi mwongo huu (10,000 MW) kukubali industries zenu zitumie gas na kupunguza demand ya umeme ni ujinga mtupu. South Africa wanajenga powerplants zao pia na wanajenga windmills na solar plants, coal plants na gas-fired plants. You are taking a gamble kwamba umeme huu wote utanunuliwa na South Africa. Upuuzi mtupu.
Nikimalizia tu, juzi naona mmelaunch miradi kadhaa ya mining, sijui graphite, sijui gold, sijui blablabla. Niliwauliza swali moja mkashindwa kujibu. "Je hizi mining companies zitaconsume megawatts ngapi?" Mniletee list ya mining plants zote zinazojengwa na megawatts ambazo zitaconsume. I can guarantee you kwamba hizo mining companies zote hazitaconsume a total of 1,000 MW. Kwa hivyo mtakuwa na surplus kubwa sana na kama mnapanga kuuzia Kenya au Uganda basi nyinyi ni wajinga maana Kenya na Uganda tunaconsume umeme mdogo sana na infact tunazalisha surplus. Kenya kwa mfano inaconsume only 1,900 MW Kwa hivyo hatuhitaji umeme wenu kwa sababu tunajitosheleza. Na Uganda inaconsume chini ya 1,000 MW. Rwanda inaconsume chini ya 200 MW. Burundi pia inaconsume chini ya 100 MW. Nyinyi wenyewe mnaconsume umeme mdogo sana wa 1,400 MW baada ya miaka 60 ya kujenga viwanda. Ni maajabu gani mtafanya ili kuongeza demand ifikie 4, 000 MW kwa miaka mitatu. Zile industries mnazojenga sasa hivi hazitaconsume more than 1,000 MW. Kwa hivyo South Africa tu ndio wanaweza kuwarescue from your own risky gamble. Ikiwa South Africa watakataa kabisa kununua umeme wenu au waamue kununua 500 MW pekee basi mtabaki na surplus ya zaidi ya 2,000 MW hata baada ya kujenga industries zenu.
Yaani jamaa ana wivu hadi anapinga facts. Anasema kwamba tunasindikiza kampuni zingine. Anasema kwamba hatukushinda contract ya kuchimba geothermal wells ilhali nimemuwekea evidence asome na amekataa kusoma.
Ni sawa sisi tunafanya geo-scientific survey and well-drilling. Hio pia inahitaji ujuzi wa hali ya juu. Ujuzi ambao hamna. Maana ukienda kichwa kichwa bila ujuzi utadrill dry holes.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.