Hahaha. Uzuri sio wewe hater wa Kenya unayekaa kwenye tender commitee. Kama ingekuwa ni wewe unayechagua mshindi wa zabuni basi Kengen haingeshinda. Ila uzuri wewe na roho yako mbaya hamtakuwa pale wakati mshindi anachaguliwa.
Siku tatu zilizopita tumeshinda tender ya kuchimba geothermal wells Djibouti. We are a professional country.
KenGen has signed a $6m contract with Djiboutian Office of Geothermal Energy Development to drill three geothermal wells in Djibouti.
www.esi-africa.com
KenGen the largest electric power producer in Kenya has signed US $6.5m contracts to drill three geothermal wells in Djibouti.
pumps-africa.com
Kenya clinches Sh709m contract to drill geothermal wells in Djibouti
www.standardmedia.co.ke
Ikumbukwe kwamba tumeshinda contract mara mbili tofauti kuchimbia Ethiopia geothermal wells. Tender ya kwanza ilikuwa sh 7 billion miaka mitatu iliyopita na ya pili ilikuwa sh 5 billion mwaka mmoja uliopita. Tunapozungumza sasa hivi Ethiopia anazalisha 7 MW thanks to our expertise.