huwa wanasemaga humu kuwa hatujawahi fika nairobi huwa tunaiona kwa picha tu,,,,
siku ya kwanza kuna chief anaitwa kadoda akawashow kuwa kenya kafika kwa evidence zote,,,
baada ya mda ichiboi naye akapigilia pin za kutosha kwa mombasa na nairobi hadi passport zikaonyeshwa ..
siku nyingine namimi nikawaonyesha hapa,,,,
ila wao wanaishia maneno tu,kwenye hili jukwaa hakuna mkenya hata mmoja ambaye amewahibkufika dar,asilimia kubwa ni waropokaji tu na hawana uwezo wa kuja dar coz maisha yao ni msbovu hawana pesa za matembezi,niwakuishia huko huko walipo