ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Good thing kwa Kenya wanajenga asphalt pavement,hii ni uhakika na hata when driving iko confotable tofauti na makokoto makokoto kam roads nyingi za Tzn
Labda muanze kujifunza ustaarabu kwanza 🤣🤣🤣👇👇Na Tzn ijifunze kuanza kujenga barabara kuu za kuunganisha mikoa na nchi jirani kuwa dual carriage,mambo single carriage yamepitwa na wakati ,basi kama pesa hakuna wajitahidi hata kwenye miji wajenge road kama ile ya Sam Nujoma itapendeza



