Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hao uchungu ruksa kwasababu ni wakenya, wewe mwarabu koko wa lazyland na expressway wapi na wapi. Hizo ni Internal affairs.
Ukheukehukhe haya lia sasa mm sina uchungu ila nawacheka vile mchina alivowashika makende ndio maana wenzenu wanatoa mapovu huko twitter🤣🤣🤣🤣
 
Screenshot_20210215-133141.jpg
Screenshot_20210215-133236.jpg
 
Tanzanians have no brain to think about something like that. You just copied what Rwanda did on Arsenal shirts. "VISIT RWANDA"
Tanzania mwaka 2013 imeanza hiyo slogan na klabu ya sunderland kipindi iko ipo epl,sasa rwanda na Tanzania nani kacopy kwa mwenzake?
 
Attachments

  • Screenshot_20210215-124227_Chrome.jpg
    Screenshot_20210215-124227_Chrome.jpg
    118.5 KB · Views: 7
  • Screenshot_20210215-124117_Google.jpg
    Screenshot_20210215-124117_Google.jpg
    86.3 KB · Views: 6
Ukheukehukhe haya lia sasa mm sina uchungu ila nawacheka vile mchina alivowashika makende ndio maana wenzenu wanatoa mapovu huko twitter🤣🤣🤣🤣
Mambo ya kodi ni internal affairs ya nchi, hoja bado itasimama kwamba hamuna barabara kama hio. Makende tushikwe sisi furaha upate wewe.
 
Ndio uache kujivunia vitu vya wenyewe,
Hiyo Barabara ni Mali ya China, nyie makapuku u own maybe photos
Nchi inajengwa kw kodi zetu, we km unaumia shauri yako
Bora niwe nalipia kodi kitu cha mana wala sio udubwasha
 
New Dual carriageways construction in Kenya, Kenol, Sagana, Bungoma, Kakamega, Kisumu, Kisii, Marsabit, Turkana, Wajir, Kitale, Webuye, etc, all this places are going to get dual carriageways
View attachment 1702880
Na Tzn ijifunze kuanza kujenga barabara kuu za kuunganisha mikoa na nchi jirani kuwa dual carriage,mambo single carriage yamepitwa na wakati ,basi kama pesa hakuna wajitahidi hata kwenye miji wajenge road kama ile ya Sam Nujoma itapendeza
 
Mambo ya kodi ni internal affairs ya nchi, hoja bado itasimama kwamba hamuna barabara kama hio. Makende tushikwe sisi furaha upate wewe.
Sio kodi ya kwenu kodi ya wachina mzee usichanganye vitu viwili hapo 🤣🤣🤣 mchina anakusanya pesa kwa miaka 30 anapeleka kwao na ajira zote za express wanachukua wao
 
Tax payers money, imekuuma
emoji1787.png
emoji1787.png

Tutalipia kodi we pia ukitaka utalipia, unatamani ingelikua bure na we uje hku uteleze bure.. imekula kwenu wageni..

Tutasaidia mwaka huu
emoji1787.png
emoji1787.png
🤣🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇👇👇 Msikie mwenzio alivokasirika
Mambo ya kodi ni internal affairs ya nchi, hoja bado itasimama kwamba hamuna barabara kama hio. Makende tushikwe sisi furaha upate wewe.
 
Tax payers money, imekuuma
Tutalipia kodi we pia ukitaka utalipia, unatamani ingelikua bure na we uje hku uteleze bure.. imekula kwenu wageni..

Tutasaidia mwaka huu
Sio mutalipa kodi sema tutamlipa kodi mchina apeleke kwao kwa muda wa miaka 30 na ajira watakua nazo wachina kwa miaka 30 😆😆😆😆 najua umenielewa
 
Back
Top Bottom