Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tony254 naomba nikuulize kuna shida gani mombasa kwann wafanyabishara wanauliwa kwa risasi tena kinyama kabisa haya matukio yote yametokea ndani ya wiki hii

 
The viaduct.

IMG_5477.jpg

IMG_5478.jpg
 
EA,,we have to pull up our socks,,tuko chini Sana in terms of development
 
Wengine wanatafuta slum dar
Mipango miji wametuharibia sn hili jiji, hawafanyi kazi wao wanawaza mishahara tu, na waziri wa ardhi naye ni jipu lingine ambalo limeiva tangu 2015 lkn limekosa dawa.

Road infrastructures ziko bomba sn at Ubungo ila unplanned settlement inaharibu muonekano.
 
Back
Top Bottom