Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna tofauti na Posta ya Dar

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Heheee
JamiiForums709956623.jpg
 
And a country which build super highway with loan from AFDB ni kitu gani munaweza jenga kwa pesa yenušŸ˜…šŸ˜…šŸ˜… mtu anafunga safari kwenda france kwa ajili ya 5km rail loan
Loans wanapewa wenye uwezo, naskia juzi muliomba china wafute deni kama kawaida yenu. 😱😱 shame on you aibu hamna. How dare you try lecture us on debts, i spit on your face.
Tanzania asks China to write off debt, gives nod to rail deal
 
Loan wanapewa wenye uwezo nani alikupa akili hio šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…

Hivi ni kweli kwamba hiyo road mngepambana mjenge wenyewe mngeshindwa mpk mtu anakuja kui own kwa miaka 27?? Na what is the plan wakati huo?? Mtatoka kitahisi??
Wacha sisi, hata wewe ukija nairobi utalipia kwhyo tutasaidiana tu majirani zetu
Magari yote jamaa hawakutaja ya wakenya wala nn, uwe mtz uwe nani utalipia ku enjoy mtelezo wa ju kw juu
 
Back
Top Bottom