komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Alaaa!!kumbe waogopaKwani hapa niko wapi ???![]()



Santa sana, manake kw upande wapili ukitia pua tu unakula za uso
Alaaa!!kumbe waogopaKwani hapa niko wapi ???![]()



Kwhyo mpaka waone wazungu, ona ulivyokua mpuuzi..hata nimekusonya kw dharau haswa..Walikuonesha hayo matope
Jamii forums bhn atari sn, eti kkoo kuna nyumba za tope alafu wazungu wasione![]()
endelea kula mirungi na bangeZanzibar si tanzania 😏
Sasa nenda kapinge hkokariakoo kwa sasa hakuna nyumba za tope,,halafu neno wazungu tulitoe mkuu,,,,tusichukulie kila kitu ni mzungu....
hapo si sawa mkuu


Kariakoo ina nyumba za tope, watanzania wenzako ndio wamesema..Nilikuwa namaanisha satelite zao zinazoimulika Nairobi iliyojaa slums,
Hawa bila kuwatajia mzungu hawakuelewi hawa mafala![]()
Ni wapi Comoros?🙂Zanzibar si tanzania 😏
Yosef Festo jamaa huku keshasema km hzo nyumba zipo lkn zimeshauzwa zinasubiria zibomolewe painuliwe maghorofa na hazifiki 20..hiyo chat nishaisoma yote,mambo hayo ni ya kawaida hata kenya huko yapo kila mtu ana mtazamo wake na anauhuru wa kuongea anachokihisi ama kukiona,,,
hapa duniani miji yeyote ile kabla ya kukua na baada nikimaanisha kurise kwa buildings kulikuwa na makazi kongwe hivyo kadri mji unavyokuwa ndipo makazi kongwe hupotea na hii yote baada ya watu kuamua kuwekeza kwenye hayo maeneo...
kwa kariakoo kuna nyumba za chini nikimaanisha makazi kongwe tena ni chache sana hazifiki na hazizidi hata 20 kimakadilio na maeneo hayo mengi yashauzwa wanaoishi wanangojea tu mnunuzi aanze ujenzi ndiyo watoke na ndiyo maana hawayaendelezi ila si nyumba za udongo kama wasemavyo hao jamaa,nyumba za udongo zilikuwa zamani sana..
Kwhyo we watakaje, manake km ni maelezo nimeyaweka sawa mbona..captown ni pwani ya SA nadhani na wao ni waswahili wa SA
sawa nitaendaSasa nenda kapinge hko![]()
Nimepitisha ndio uhalisia wa neno lilipotokeahatuna chakupinga jamaa kapitisha kwamba waswahili ni watu wa pwani it means watu wa TZ bara wao ni waingereza



WanajifukizaJamani, hii ya lini tena..moshi ndio tiba au jamaa ndio kanukuu vibaya
hata nilichokiandika haujaelewa,wewe siyo muelewa unapenda mda wote ujaji mambo kimihemko...Yosef Festo jamaa huku keshasema km hzo nyumba zipo lkn zimeshauzwa zinasubiria zibomolewe painuliwe maghorofa na hazifiki 20..
Mshike vizuri huyu nkm ako na data zote za nyumba za tope dar
Umemaliza mada mkuu🙂hata nilichokiandika haujaelewa,wewe siyo muelewa unapenda mda wote ujaji mambo kimihemko...
hao wanaosema kuwa kuna nyumba za tope wangekuwekea evidence au fuata ile thread waambie wakutumie nyumba hata moja ya tope,,,we karne ujenge nyumba ya tope tena city center inakuingia akilini.....
karikaoo zimebakia nyumba za chini tena nichache tu,,,,.na si za udongo hayo maisha yalishatoka mda mrefu
nyumba ya matope hapo inatokea wapi au zipo ndani ya ghorofaView attachment 1699181View attachment 1699182
That is clean energy there is a differenceVipi kuhusu kazi kama umeshindwa sema Mzee. Brian unadhani sisi ni mbumbumbu kama nyie!?
😂 😂😂 yaani sisi tunaongelea 6000MW wewe unatuletea 50Mw upo sawa kweli kichwani!?
So tafuta taarifa kwanza kabla ya kuja na taarifa zako hafifu. Since 2018 Tanzania inafanya issue za solar power. Also how about the task I gave you!?That is clean energy there is a difference