Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hata nilichokiandika haujaelewa,wewe siyo muelewa unapenda mda wote ujaji mambo kimihemko...
hao wanaosema kuwa kuna nyumba za tope wangekuwekea evidence au fuata ile thread waambie wakutumie nyumba hata moja ya tope,,,we karne ujenge nyumba ya tope tena city center inakuingia akilini.....
karikaoo zimebakia nyumba za chini tena nichache tu,,,,.na si za udongo hayo maisha yalishatoka mda mrefu

nyumba ya matope hapo inatokea wapi au zipo ndani ya ghorofaView attachment 1699181View attachment 1699182
Jamani, yamekua hayo tena wakati we ndio umesema wanaoishi wanasubiria mda ufike ndio watolewe..

Au ndio unataka kutengua kauli yako, si mbaya pia
 
Sasa tuangalie being ya bidhaa zinazotumika kila siku kati ya Dar na Nairobi. Naleta za Dar
IMG-20210210-WA0004.jpg

Jamani, yamekua hayo tena wakati we ndio umesema wanaoishi wanasubiria mda ufike ndio watolewe..

Au ndio unataka kutengua kauli yako, si mbaya pia
tatizo hausomi kwa umakini.....

sikusema kuwa hao waliobakia kuwa wanaishi kwenye nyumba za matope.......bali ni nyumba za chini chini si ghorofa na hizo nyumba zenyewe za chini nyingine ni kongwe yaani ni za kitambo ila wamezirepair tu kidogo ila ukiangalia ramani ya jengo ni old ...

angalia kauli yako hapo ,ikimaanisha kuwa mimi nimesema kuwa zipo nyumba za matope
20210210_172357.jpg
 
tatizo hausomi kwa umakini.....

sikusema kuwa hao waliobakia kuwa wanaishi kwenye nyumba za matope.......bali ni nyumba za chini chini si ghorofa na hizo nyumba zenyewe za chini nyingine ni kongwe yaani ni za kitambo ila wamezirepair tu kidogo ila ukiangalia ramani ya jengo ni old ...

angalia kauli yako hapo ,ikimaanisha kuwa mimi nimesema kuwa zipo nyumba za matopeView attachment 1699275
Wacha weee!!
Nyumba kongwe tena za tofali sio, labda ungelisema za tope lkn zimepigwa palaster hapo kidogo ningelikuelewa
 
Kwhyo wanatumika kisisasa kusema uongo, au unamaanisha nn?
Unapokwenda jukwaa la siasa unakutana na manguli wa kule yaani member wa jukwaa la siasa na wanajijua wenyewe,kama ilivyo huku kenyan section,mtu kama icho boy huwezi kumkuta kule kwa sababu ye si mwanasiasa,kule utawakuta akina zitto kabwe,kisandu na wengine wasiojulikana,hawa ni wanasiasa kwelikweli si utani na ni wanachama wa vyama vya siasa in real life,huwezi kuwaona section yoyote ile tofauti na siasa,na upinzani wao hauishii tu huku jf hadi huko mtaani,kwenye vikao,semina wanakutana,na wengine ni wabunge kabisa...kwa hiyo usitegemee mtu kama zitto akazungumza jema la serikali,

Nb; si tu kutumika kisiasa,ila ni wanasiasa kabisaa
 
Emu nyoosha maelezo kabisa acha kupindisha pindisha vitu hapa..we km wandanganya sema tu wala usiogope..

Anyway we amini unachokiamini, lkn hii comment ya kwako nitaihifadhi manake huaga mnapenda kujichanganya na comments za wakenya na kuleta hapa..
 
Kuna za kibera
 
People here should understand that Mombasa beats Dar Es Salaam in many aspects.
E.G. Availability of public free green open spaces where people can relax and unwind.
Etms-fHXEAE-E5y.jpg

Tall residential buildings that Dar es Salaam can not afford
Et2lh56XIAcgdAH.jpg

Et2lh58XIAQoajj.jpg

A floating bridge that Dar es Salaam has never heard off!!
Et2B4WyXcAEIns9.jpg

Among others like having the busiest port, Having the only ship-to-train SGR connection and having the best road network.
 
Back
Top Bottom