Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yosef Festo njoo uone alivyojibu, yani nje ya box kabisa..
Tatizo unawaogopa weneye hzo comments, manake ukithubutu kwenda kutia hata ukucha hko wanayoyasema hayo wala hutoamini kitakachokukuta
Sio mm msikize mwenzio 🤣🤣👇👇 usinilaumu mm, mwenzio anahoma na treni za umeme tayari
Hawezi kamwe.., Wacha tungoje trains za umeme tuwapongeze., Vitu kwa ground ni noma!.,
 
Wamekimbia kwanza ndio kupoe
Wakirudi lazima waje walalamike km kawaida yao, eti nje ya mada!!kwn zile screenshots zinaongelea malawi
The good thing I know Tz mengine ni kelele na misifa uchwara, pale Dar lazima wawe careful and very selective kuchukua vipicha na drone aerial views wasionyeshe aibu ilio sehemu kubwa la jiji, wanapenda kujificha na issues za Kenya, watukome washughulikie issues za kwao ambazo zimesambaa kote kote.
 
Kwn bado uko na mie
Mbona wanaosema km hali ngumu ni watz wenzako, mie sijasema km kariakoo kuna nyumba za matope..
Nenda kapinge kw hoja
umejuaje ni watz kwe anonymous website?
nyan'gau akili ndogo 😂😂😂
 
Kumbe munaisubiri train za umeme huku homa kali imewashika na hilo ndio linawatoa raha humu mushaona wakat umetimia mwaka umewadia sasa munaanza kuharisha kabla ya wakati
We are not you mzee hatujishushi chini kwa your level of reasoning kamwe., inferiority complex ni ugonjwa mbaya sana, haswa kwa mwanaume
 
The good thing I know Tz mengine ni kelele na misifa uchwara, pale Dar lazima wawe careful and very selective kuchukua vipicha na drone aerial views wasionyeshe aibu ilio sehemu kubwa la jiji, wanapenda kujificha na issues za Kenya, watukome washughulikie issues za kwao ambazo zimesambaa kote kote.
Si mi nilikwambia wakirudi basi itakua wanakuja kulalama wala hakuna lingine .
Yani umewaumiza sana aisee yani sio kw ubaya
 
Sasa ndio ukawambie hao wanayoyasema hayo
Yani kaziteremshe hasira zako hko
Kawaambie wakuinyeshe hayo majumba ya udongo hko kariakoo, sisi tutafuatilia tu
Mm niko kwenye thread hii ambayo kwa sasa hamuipendi na mwaka huu ndio utakua mwaka mbaya kuliko yote 😀😀😀 mm siasa za kipuuzi sishuguliki nazo

kama unataka hoja thread ndio hii
 
Si mi nilikwambia wakirudi basi itakua wanakuja kulalama wala hakuna lingine .
Yani umewaumiza sana aisee yani sio kw ubaya
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 so mtu akitoa hoja ndio inakua official source kazi tunayo mwaka huu
 
Mm niko kwenye thread hii ambayo kwa sasa hamuipendi na mwaka huu ndio utakua mwaka mbaya kuliko yote mm siasa za kipuuzi sishuguliki nazo

kama unataka hoja thread ndio hii
We sema unaogopa kwenda hko, mbona nitakuelewa..
Manake kule kuna vitasa vya aina yake
 
Hoja kwisha
Eti mama land, eti wasukuma nao wajiite wapwani
Tosha mkuu manake yamekushinda
hii ni ardhi moja hakuna cha pwani,kisiwani wala bara....

hao wasukuma unaowasema wapo kibao tu wamezaliwa na kuzaliana huko pwani unapopasema.....
una la ziada,,,,,,?
 
hii ni ardhi moja hakuna cha pwani,kisiwani wala bara....

hao wasukuma unaowasema wapo kibao tu wamezaliwa na kuzaliana huko pwani unapopasema.....
una la ziada,,,,,,?
Usukumani ni usukumani hakuna cha kuzaliana pwani wala bara..

Hoja kwishaaa
Endelea na mada pekeako
 
Back
Top Bottom