Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Now you see? Kile kinachojadiliwa sio corona, ni hali ilivyo kwa ground at the moment., hakuna aliye jitokeza kupinga, wote wanakubali na kusema ni hali ilivyo not only in Dar but across the country., people are giving their experiences., wengine wanatoa maoni ya what the govt should do to alleviate the pain., Read keenly., wacha vijisababu uchwara kaka..,
View attachment 1698968
View attachment 1698969
View attachment 1698970
View attachment 1698971
View attachment 1698973
Is this official source 🤣🤣🤣🤣🤣 ukipata official source leta unatuletea mawazo ya wale waliozoea kupiga sasa wamebanwa hawana pakuhemea
 
Is this official source ukipata official source leta unatuletea mawazo ya wale waliozoea kupiga sasa wamebanwa hawana pakuhemea
Kule Russia mlifunzwa research methods kweli?, Nielezee how data in official reports are collected, Who are the likely sources in this context? What are the tools of data collection?., then tutaongea.,
 
kazi yako nilimaliza bro, na nikakuomba msamaha kwa kukutesa., Kwani haukunisamehe?., mimi niliamua kukimya video clips zilijieleza kikamilifu., move on bro, utalia Lia hadi lini???,.
 
Siku mombasa ikipata barabra za mitaani kama hzi nitah nifunge acc jamii forum sasa hvu 🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇👇 tutaelewana. Tu Yosef Festo

Siku mombasa ikipata barabra za mitaani kama hzi nitah nifunge acc jamii forum sasa hvu tutaelewana. Tu Yosef Festo

Narudia tena; utalia lia hadi lini???, haikuwa kupenda kwangu kukutesa, video zilijieleza wazi wazi bro., maneno yako hayana ziada hapa., na nilikuomba msamaha kutokana na kichapo ulio pata., kila kitu kiko wazi., clips zote ziko tu., Maneno yako counts for nothing kwa sasa, stop clutching at straws bro.,hiyo tulimaliza mzee.,
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mombasa ikipata street roadskama hzo wewe nitag tu wala hata usihamgaike kulia
 
wewe ndiye ambaye haujanielewa....kikubwa ni mama land...imeisha hiyo

hiyo pwani ingekuwa ni pwani ya china sawa....
Hoja kwisha
Eti mama land, eti wasukuma nao wajiite wapwani
Tosha mkuu manake yamekushinda
 
Now you see? Kile kinachojadiliwa sio corona, ni hali ilivyo kwa ground at the moment., hakuna aliye jitokeza kupinga, wote wanakubali na kusema ni hali ilivyo not only in Dar but across the country., people are giving their experiences., wengine wanatoa maoni ya what the govt should do to alleviate the pain., Read keenly., wacha vijisababu uchwara kaka..,
View attachment 1698968
View attachment 1698969
View attachment 1698970
View attachment 1698971
View attachment 1698973
Ndo mana nakuambia ww huijui jamii forums, hizi sura ulizoweka hapa zote nazijua ni sura za kuponda kila kitu na wengi ni wafanyakazi civil servants wapuuzi waliozoea kupiga na marupurupu yaliyoiumiza nchi na ndiyo maana kila siku wanamkumbuka Kikwete cz walipiga sn ila leo hakuna icho kitu, so wanachoongelea hapo ni ubinafsi sema ww hujui kitu ngj nikuache tu.
 
No need to tag u., watu wanajua ukweli, wewe wa kilio utabaki tu ukihema peke yako.,
Nakwambia tena siku ukinionesha street za mombasa za kiwango hii nitag nifunge acc sasa hvi hakuna porojo hapa 🤣🤣🤣👇👇
 
Back
Top Bottom