Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Exactly , wanatia huruma tu., hawa ni facts ndio dawa kwao., hakuna lingine, they are suffering from inferiority complex syndrome.
Wamekimbia kwanza ndio kupoe
Wakirudi lazima waje walalamike km kawaida yao, eti nje ya mada!!kwn zile screenshots zinaongelea malawi
 
walkua wanawachukia wa Tanzania wakamchukia na uncle magu asaiv wanachukia ccm itafka mda wakisikia Jima Tanzania wanapata hedhi
Screenshots tu zimekutia wazimu
Yani mpka unabwabwaja jamani, nenda kapate kopo la maji kwanza huendi kohozi likapita
 
Sasa mbona ulalame km hujakasirika, yisef leo yani hamna hamu nae kabisa.
Mtaviweka wapi viuno vyenu jamani
Huuuu mwaka sio mzuri kwenu🤣🤣👇👇 mukiskia train ya umeme munaharisha
Hawezi kamwe.., Wacha tungoje trains za umeme tuwapongeze., Vitu kwa ground ni noma!.,
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 aisee yani tunafurahi kuchukiwa
wachukie wavimbe na hawapasuki n'goo😂😂😂😂😂
yan niache kuiwaza ZA UK US dubai niiwaze nchi ya kinyan'gau 😂😂😂😂😂
 
Kwn bado uko na mie
Mbona wanaosema km hali ngumu ni watz wenzako, mie sijasema km kariakoo kuna nyumba za matope..
Nenda kapinge kw hoja
Wanaosema hali ngumu ni wale waliozoea vya bure au waliozoea madili kama unafanya kazi hali haiwezi kua ngumu hata kwenye maandiko yapo 😅😅 eti ww ukae nyumbani uzoee kuletewa aalf hali iwe rahisi hio sahau
 
Kumbe munaisubiri train za umeme huku homa kali imewashika na hilo ndio linawatoa raha humu mushaona wakat umetimia mwaka umewadia sasa munaanza kuharisha kabla ya wakati
Yosef Festo njoo uone alivyojibu, yani nje ya box kabisa..
Tatizo unawaogopa weneye hzo comments, manake ukithubutu kwenda kutia hata ukucha hko wanayoyasema hayo wala hutoamini kitakachokukuta
 
Kwn bado uko na mie
Mbona wanaosema km hali ngumu ni watz wenzako, mie sijasema km kariakoo kuna nyumba za matope..
Nenda kapinge kw hoja
Kama hufanyi kazi hio hali itakua rahisi hebu nieleze???😅😅😅😅 umezoea pesa za madili kwann usione hali ngumu
 
Back
Top Bottom