Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hebu jaribu kufuatilia tu huyo jamaa. Alishakufa. Halafu ukumbuke wizara hiyo ilikuwa inaunganisha Nishati na Madini.

Umeme ulikuwa unakatika katika ovyo tu wakati wake. Aliingia mikataba na makampuni kama IPTL yaliyokuwa yanakula pesa zetu bila hata kutoa umeme.
Kweli inauma mno. But kwa sasa tunajua tulipojikwaa tunarekebisha makosa yetu.
Umenikumbusha mtera na kidatu eti zilikuwa zinaishiwa maji, Toka aingie jamaa sijasikia kumekauka, au imeanzishwa scheme ya umwagiliaji kwenye mabwawa nini ndio maana hayakauki😝😝
 
Heheh naomba wakenya mufungue hii video
[emoji23][emoji23][emoji23]I thought I will see something magnificent or some substantial development, lakini wapi!![emoji1787][emoji1787][emoji1787], Unatafuta attention crying baby?[emoji848][emoji23][emoji28], Kusema ukweli kama ni hivi mko na unapiga kifua basi mmekua kichakani kwa mda mrefu, yaani hii clip inakushangaza ichoboy01?? Really? Ni nini cha ajabu hapo???., honestly!!!
 
Interesting vibes[emoji116][emoji116] from Tanzanians as I wish y'all good night;
#sisemi kitu[emoji848]
Screenshot_20210209-224123.jpg

Screenshot_20210209-224046.jpg

Screenshot_20210209-223226.jpg

Screenshot_20210209-222952.jpg

Screenshot_20210209-223253.jpg

Screenshot_20210209-223448.jpg

Screenshot_20210209-223731.jpg
 
Mi mbona nimeandika ukweli tu, kuhusu kuhama sijui nakwenda wapi huo ni uamuzi wa mtu..
Ila ukumbuke mke wa kwanza hafanani na wapili, kila mmoja ana mahanjamu ya kwake..lkn kw mume mchezo ni ule ule kamwe haubadiliki basi labda ujiongeze kw njia za mkato
tabia za wanawake 99% wengi wenu huwa zinafanana ndiyo maana unaambiwa fshari wawili hawakai zizi moja na ndiyo maana kwa kiasi kikubwa wanawake hampendani na mgigombana huwa kupatana ni ishu nzito huwa mnakaziana mazima tofauti na wanaume...

tukiendelea na history kwenye maisha kuna baba na mama hivyo hao wote baba na mama ni mmoja....hakuna cha pwani,visiwani wala bara ,,,,watoto wakikua huwa wanatoka nyumbani na kwenda kujitafutia life mbele ya safari.....

SWAHILI FOR TANZANIA.....na si kwa pwani pekee hiyo ibaki kuwa history tu....
 
Jamaa naona umekazana kweli, usijali lkn ukipata nafasi nenda kafute historia ubadilishe na hii ya kwako itakua vyema sana..

Wake hawafanani ndio manake ukioa mwngine ukizaa dume unamtoa jina la babako tu hata kama atakua ni wa nne..

Yani we ukihama nchi kitakachobadilika ni vyeti tu lkn uhalisia hauwezi badilika, tatizo huelewi km nalenga nn
 
Kenya sio tatizo kwa Tanzania., jiangalieni Kisha pambaneni na hali yenyu.., umasikini umekita mizizi, CCM ni propaganda tu[emoji848][emoji848] huzuni.,
Screenshot_20210210-000657.jpg

Outside Dar hakuna mji wa maana, I said Tz ni Dar pekee., wanashuhudia watanzania[emoji116][emoji116]am vindicated, hakuna porojo
View attachment 1698779
Screenshot_20210210-000522.jpg

HALI NGUMU kweli..,[emoji15][emoji22][emoji22]
Screenshot_20210210-000331.jpg

Screenshot_20210209-235306.jpg

Screenshot_20210210-000209.jpg

Screenshot_20210209-235910.jpg
[emoji15][emoji15][emoji22][emoji22]poleni mabillionaires!!,

Data uchwara inaumbuliwa hapa[emoji116][emoji116][emoji23][emoji1787][emoji1787]

Screenshot_20210210-000618.jpg

Screenshot_20210209-235944.jpg

Facts never lie. Wapenda ukweli watapona[emoji120][emoji120]
 
Jamaa naona umekazana kweli, usijali lkn ukipata nafasi nenda kafute historia ubadilishe na hii ya kwako itakua vyema sana..

Wake hawafanani ndio manake ukioa mwngine ukizaa dume unamtoa jina la babako tu hata kama atakua ni wa nne..

Yani we ukihama nchi kitakachobadilika ni vyeti tu lkn uhalisia hauwezi badilika, tatizo huelewi km nalenga nn
wewe ndiye ambaye haujanielewa....kikubwa ni mama land...imeisha hiyo

hiyo pwani ingekuwa ni pwani ya china sawa....
 
Wachana na Kenya, we are not your problem idiot!![emoji1787][emoji23][emoji23]
2021 habari ndio hiyo
[emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1698700
View attachment 1698706
View attachment 1698704
View attachment 1698701
View attachment 1698703
We fala kweli leo ndio unaijua jamii forums [emoji3][emoji3][emoji3]

Hao wapo wengi humu, wanaitwa UFIPA hawataki hata kuuona huu uzi, huwa unawaumiza sn huu uzi wakiona mafanikio ya Tz [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
VITU KWA GROUND in TZ...,[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji22][emoji848]
Muwache vijisifa uchwara [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1698759
View attachment 1698746
View attachment 1698750
View attachment 1698752
View attachment 1698748
View attachment 1698747
View attachment 1698749
View attachment 1698751
UFIPA hawa wewe [emoji3][emoji3][emoji3]

Km hujui jamii forums ndio hii, hao masaa 24 kazi yao kupost misiba ili washawishi watu kwmb kuna corona Tz na ipo hatua mby sn, yn mtu asife wamepost as if watu huwa hawafi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom