mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,066
- 39,513
ni haki yako kuchagua nini cha kusikia, ila inaonekana jf umeijua leo na vyumba vyake. endelea kuitembelea utagundua mengi sana. hata zile kelele kwamba mna uhuru wa kuongea kutuzidi zitakosa ladha kinywani mwako.Usikane watanzania wenzako, wamevaa viatu wanajua where it hurts perfectly., hampendi ukweli, but that is it exactly. Mambo kwa ground sio rosy kaka, your reasoning is a mere denial of truthkwa vile hampendi ukweli.
hao wanaandika biashara zinakufa dar kila kukicha,sisi tunakaa dar hiyo hiyo ambayo zinazaliwa biashara 10x ya zilizokufa lakini hawasemi.
huku kuna siasa za maslahi ndio sababu unaona kelele zinabaki humu humu jf.





