Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,894
- 103,758
hamna waziri aliyesimamia miradi vizuri kama yeye!Jafo hamna kitu.,porojo nyingi tu
hamna waziri aliyesimamia miradi vizuri kama yeye!Jafo hamna kitu.,porojo nyingi tu
Nina swali. Naomba ujibu kwa adabu bila matusi. Hii sheria mpya iliyotungwa itacancel yale macontracts mbovu ya kinyonyaji yaliotiwa saini wakati wa awamu ya tatu? Au sheria hii haiwezi kucancel hizo contracts?Sababu zipo nyingi sana.
1. Mwalimu Nyerere alijua uwepo ma madini yote hayo. Lakini yasingeweza kutusadia kama tusingekuwa imara kisiasa.
2. Alitaka watanzania wapate elimu kwanza ndipo waweze kuchimba madini hayo.
3. Tanzania miaka ya 80s iliwekewa vikwazo tukawa tumejikita katika uzalishaji wa chakula cha kututosha.
4. Tulianza kuchimba madini kipindi cha awamu ya tatu. Mikataba mibovu iliingiwa.
Kwahiyo sasa hivi tupo na utashi na uelewa tunajua thamani ya madini hayo. Ndio maana imetungwa sheria ya madini kwa lengo la kuinufaisha Tanzania.
hamna waziri aliyesimamia miradi vizuri kama yeye!
una chuki binafsi kwani yeye ni TAKURURU? yeye anasimamia miradi ya TAMISEMI vizuri! huwezi ukaazungumzia upigaji wa miaka ya Kikwete na sasa!Mzee Jafo ni mtu wa kuzunguka tu ila hana jicho la kujua tatzo lilojificha hasa kwenye mapato ya halmashauri, kuna upigaji wa hatari...Jafo anaona tatizo mpaka liwe wazi sana ni rahisi kumdanganya na akabaki kusifia sifia tu mara Raisi cjui Raisi..Kama kuna mtu anafanya kazi halmashauri atakubaliana na mm jamaa kafeli kwenye kudhibiti wizi na ufujaji wa pesa kwnye halmashauri. Amebase sana kwnye miradi wakati uku watu wanapiga.
una chuki binafsi kwani yeye ni TAKURURU? yeye anasimamia miradi ya TAMISEMI vizuri! huwezi ukaazungumzia upigaji wa miaka ya Kikwete na sasa!
yes ilifuta kilakitu even licence zilitolewa upya na alieshindwa kufikia vigezo alinyanganywa ndo maana kuna vikesikesi vilifunguliwa na vingine vinaendelea dhidi ya serkal.Nina swali. Naomba ujibu kwa adabu bila matusi. Hii sheria mpya iliyotungwa itacancel yale macontracts mbovu ya kinyonyaji yaliotiwa saini wakati wa awamu ya tatu? Au sheria hii haiwezi kucancel hizo contracts?
Wewe ni nani kwangu uhitaji adabu!? Unakosa adabu katika kuuliza swali nitakujibuje kwa adabu.Nina swali. Naomba ujibu kwa adabu bila matusi. Hii sheria mpya iliyotungwa itacancel yale macontracts mbovu ya kinyonyaji yaliotiwa saini wakati wa awamu ya tatu? Au sheria hii haiwezi kucancel hizo contracts?
Tanzania ready for tin and tantalum - The
In the past Tanzania's produced tin and its base metals was not allowed for exportation due to lack of certificates of origin necessary for tin exports.theexchange.africa
Tin has many uses. It takes a high polish and is used to coat other metals to prevent corrosion, such as in tin cans, which are made of tin-coated steel. Alloys of tin are important, such as soft solder, pewter, bronze and phosphor bronze. A niobium-tin alloy is used for superconducting magnets.
Most window glass is made by floating molten glass on molten tin to produce a flat surface. Tin salts sprayed onto glass are used to produce electrically conductive coatings.
The most important tin salt used is tin(II) chloride, which is used as a reducing agent and as a mordant for dyeing calico and silk. Tin(IV) oxide is used for ceramics and gas sensors. Zinc stannate (Zn2SnO4) is a fire-retardant used in plastics.
USES OF TANTALUMTantalum raw materials are also being explored in Canada, Colombia, Egypt, Madagascar, Namibia, Saudi Arabia, Sierra Leone, South Africa, Tanzania, Venezuela and Zimbabwe.
One of the main uses of tantalum is in the production of electronic components. An oxide layer which forms on the surface of tantalum can act as an insulating (dielectric) layer. Because tantalum can be used to coat other metals with a very thin layer, a high capacitance can be achieved in a small volume. This makes tantalum capacitors attractive for portable electronics such as mobile phones.
Tantalum causes no immune response in mammals, so has found wide use in the making of surgical implants. It can replace bone, for example in skull plates; as foil or wire it connects torn nerves; and as woven gauze it binds abdominal muscle.
It is very resistant to corrosion and so is used in equipment for handling corrosive materials. It has also found uses as electrodes for neon lights, AC/DC rectifiers and in glass for special lenses.
Tantalum alloys can be extremely strong and have been used for turbine blades, rocket nozzles and nose caps for supersonic aircraft.
Dar es Salaam. Tanzania will start exporting tin and its base metals of tantalum and wolframite, which are currently mined in Kyerwa and Ngara districts in Kagera Region
Tanzania is currently considering to start mining uranium in various parts of the country. Manyoni and Bahi areas were identified as among the potential sites for uranium mining and processing in the country.
Sasa nipe sababu kwanini Mwinyi atolewe Urais Zanzibar aje kurithi Mikoba Mainland? Ndo ntoke mzee! Anatakiwa mtu mtendaji na hospitali, mashule, mabarabara ya Halmashauri na umeme wa REA utamtoa kimaso Jafo! Huwezi ukawa na wizara ngumu kama TAMISEMI halafu ukaa ofisini tu!Chuki gani binafsi acha kuropoka, ina maana Waziri hana wajibu wa kusimamia wizi na ufujaji wa sekta yake mpaka TAKUKURU kama ni hvyo mbna kangi lugola aliwajibika....Zen inaonekana hauna uzoefu na halmashauri kwani wizi na ufujaji bado unaendelea sio enzi za kikwete nazungumzia sasa hiv acha kuangalia vitu kwenye TV na kufanya tathmini zako..kma kuna mtu yupo halmashauri ataconfirm ninacho zungumza.
TAMISEMI ni Wizara ngumu mno.Sasa nipe sababu kwanini Mwinyi atolewe Urais Zanzibar aje kurithi Mikoba Mainland? Ndo ntoke mzee! Anatakiwa mtu mtendaji na hospitali, mashule, mabarabara ya Halmashauri na umeme wa REA utamtoa kimaso Jafo! Huwezi ukawa na wizara ngumu kama TAMISEMI halafu ukaa ofisini tu!
In 1990s the government adopted D-by-D policy with a very good intention of reforming its local governments and let them enjoy the decision making powers promised by the D-by-D policy. ... This article explored the perception of council on exercise of their fiscal authority in selected local authorities in Tanzania. https://www.longdom.org/open-access...y-in-local-governmentau-2332-0761-1000242.pdf
Usikane watanzania wenzako, wamevaa viatu wanajua where it hurts perfectly., hampendi ukweli, but that is it exactly. Mambo kwa ground sio rosy kaka, your reasoning is a mere denial of truthWe fala kweli leo ndio unaijua jamii forums
Hao wapo wengi humu, wanaitwa UFIPA hawataki hata kuuona huu uzi, huwa unawaumiza sn huu uzi wakiona mafanikio ya Tz![]()

kwa vile hampendi ukweli.UFIPA hawa wewe
Km hujui jamii forums ndio hii, hao masaa 24 kazi yao kupost misiba ili washawishi watu kwmb kuna corona Tz na ipo hatua mby sn, yn mtu asife wamepost as if watu huwa hawafi![]()


point sio Corona hapa, facts from the ground, wapenda ukweli wewe utawachukia tu lakini ni ukweli, people are giving objective responses to a post., an eye opening thread. Andika kile unataka, everything imewekwa wazi wazi, your defense haina uwezo wa kubadili ukweli, so just relax and move on with other topics.,

