Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

bro [emoji1438]‍[emoji3603].. kumiliki hii kitu na kumpeleka maeneo hayo mara kwa mara si kazi ndogo.. hongera yake ‘tajir’ anaemiliki hii [emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hilo eneo Local Beer moja tu uswahilini unapiga 4 unaelewa chakari[emoji23].
 
IMG_5293.jpg
 
Kheee!!yamekua hayo tena profesa, kisha ukitaka kunijua mie kutoka rangi, majina kamili, maisha yangu halisi, elimu pale nilipofikia, kazi ninayofanya mbona kzi rahisi tu..

We njoo mombasa alafu uni PM tu chap chap mwenzako nakutokea, ila kwa taarifa yako mimi hamu sina na wala sitaki kukujua kamwe. ila we km una umuhimu na hvyo nilivyokutajia njoo ujionee wala usisubiri kuhadithiwa..upo?
mwanamke una mashushu kama bi.kidude..[emoji4]
 
Umeongea matope sana kuhusu Kenya kwamba kuna slum kila mahali na bado unataka nikualike kwangu? Halafu ndio uje hapa kunisengenya?
Kweli mnamatatizo kwa hiyo umezira?🙂kuhusu wewe kuni host sina mpango huo🙂nina plans zangu binasfsi sehemu ntakapo fikia na kuishia kazi ina gharamia Mambo yote 🙂
 
Back
Top Bottom