Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Utamlaumuje mtu amabe hamusihi pamoja na tena huyo unayemlaumu ndio kaja kukusaidia na kuwauwa hao waliowavamia na kuwatandika..

What an irony, superpower kapatana na mziki wa kushtukiziwa sasa anataka tugawe aibu wakati kavamiwa upande wake
Nenda kaelezee wa kunya wenzio watakuelewa....sijawai kuona wanajeshi wajinga kama wenu nyie hamna jeshi ila genge la wahuni walio jificha nyuma ya magwanda....
 
Ni simple math

chukua eneo la 1600kq ukigawa kwa watu 6m utapata jibu kwann watu wanamiliki nyumba na ardhi kwa wepesi

then

chukua eneo la 596km toa nairobi national park area anbayo ni 117km sq
View attachment 1692774
Utapata 479km sq igawe kwa population ya watu million 5 alaf utapata jibu kwann watu wanaishia kwenye mabanda ya nguruwe

very simple
Ifanye kw new york city pia hvo hvo alafu ugawe recreational areas zote kisha ugawe kw population
 
Nenda kaelezee wa kunya wenzio watakuelewa....sijawai kuona wanajeshi wajinga kama wenu nyie hamna jeshi ila genge la wahuni walio jificha nyuma ya magwanda....
Hoja kwisha
Umebaki na maneno ya khanga tu
 
Zanzibar warusi wamejaa na bado wanaitana tu,huu mwaka huu tunaweza kuwapiga gape egypty na moroc 🤪

utalii mwaka huu tunaenda kupindua meza Africa nzima .. hapa kuna watalii tunaenda kuwafungua macho kuwa Tanzania kuna fukwe nzuri na vivutio vingi zaid ya Egypt na Morocco.
Blessings over blessings! (tourism, minerals, gas = more )

mnakumbuka 2015 and back wakenya walikuwa wanatuzidi tourism earnings? hehee hilo vumbi (gap) tulilowaachia huko nyuma hawataisahau
 
Basi utazunguka umuhumu hahahahaaa, mzee wa apartments
I knew you got no reply. Endelea kufurahisha macho na slums za Nairobi 😂 😂
Kuna siku mtafika huku, usijali
Screenshot_20210202-110548~2.png
Screenshot_20210202-205055~2.png
Screenshot_20210202-204837~2.png
Screenshot_20210202-204927~2.png
Screenshot_20210202-111532~2.png
Screenshot_20210202-112230~2.png
Screenshot_20210106-032539~2.png
 
Most Nairobians wanaishi kwenye apartments. Wacha ujinga na roho mbaya. Analysis yako ya population density ni nzuri lakini conclusion kwamba most Nairobians wanaishi kwenye mabanda ni uongo
Aawapii watu wa vipande system!
 
dsm ni jiji la ujamaa,sio ajabu kukutana na nyumba ya kawaida kabisa masaki,mbweni,sala sala,mbezi beach.
au kukutana na nyumba kali hayo maeneo niliyokuandikia hayana mpangilio.
Ona sasa vile ujamaa imefanya jiji lenu likose mvuto kutokana na kukosekana kwa mpangilio mwafaka wa ujenzi wa mitaa.
 
utalii mwaka huu tunaenda kupindua meza Africa nzima .. hapa kuna watalii tunaenda kuwafungua macho kuwa Tanzania kuna fukwe nzuri na vivutio vingi zaid ya Egypt na Morocco.
Blessings over blessings! (tourism, minerals, gas = more )

mnakumbuka 2015 and back wakenya walikuwa wanatuzidi tourism earnings? hehee hilo vumbi (gap) tulilowaachia huko nyuma hawataisahau
Utalii na gold zinatuingizia $ zakutosha tu
 
Ifanye kw new york city pia hvo hvo alafu ugawe recreational areas zote kisha ugawe kw population
Tofaut ya new york na city zetu ni kitu kimoja, newyork ni developed city wakat za kwetu ni developing city 🤣🤣🤣🤣 yani ni sawa na mbingu na ardhi
 
Msameee
Wanafikiria nairobi ni ya mchezo mchezo, huaga wanakosa kabisa kitu cha kujilinganisha na kwao inabidi waendelee kuwe mbele ya kibera tu
Kibera huwa ni kitulizo cha maumivu kwao. Kila wanapogusiwa hoja na wakose jibu, wote wanakimbia hadi kibera kama nyumbu angalau kujifariji 😂 😂 Huwa nabaki nikicheka most of the time
 
Back
Top Bottom