Oh please. Wewe ni mgumu kusoma na kuelewa?
Heating- energy inayotumika gas kwenye heating ni 85%, umeme ni kama 6% hapa inaonesha matumizi ya umeme kwenye heating ni madogo sana.
Cooling- Umeme unaotumika kwenye cooling (UK) ni 10% tu ya umeme wote. Maana yake ni kuwa hata cooling hawatumii kiasi kikubwa cha umeme.
Sasa wewe kutuambia kuwa wanatumia sana umeme kwenye heating and cooling sio kweli.
Naona sasa umeanza kuongea kuhusu UK. Mimi nilisisitiza in my original comment kwamba electricity consumption iko highest kwa nchi za Kiarabu lakini wewe na kimbembele yako unakuja kunipa electricity consumption ya UK. Una wazimu wewe. UK during summer huwa haina hot temperatures kama ya Saudi Arabia during summer. So obviously Saudi Arabia wataconsume more electricity kwa sababu ya hotter temperatures and also kwa sababu kila nyumba inahitaji AC. Usiniletee data za UK, niletee za Uarabuni na next time usikurupuke kuniquote kama hujasoma nilichoandika vizuri.
Ona hapa unamention UK wakati mimi nilisisitiza nchi za Uarabuni.
Umeme unaotumika kwenye cooling (UK) ni 10% tu ya umeme wote
Soma tena hapa chini kuhusu msisitizo wangu kuhusu nchi za Kiarabu
Zamani kidogo Nilipokuwa nafanya research yangu fulani niligundua kwamba jambo moja inayofanya nchi za ulaya kuwa na matumizi makubwa ya umeme ni kwa ajili ya heating during winter. Wanatumia heated gas ila pia wanatumia airconditioning systems na systems zingine zinatumia umeme. Halafu wakati wa summer nao wanatumia cooling systems ambazo nazo zinanyonya umeme kama maji. Kwanza uarabuni wanatumia airconditioning systems sana na hio inanyonya umeme kwa wingi. Sasa Africa tumebarikiwa na climate nzuri, hakuna baridi kali sana ya kufanya mtu ahitaji heating system na hakuna joto kali ya kumfanya mtu anunue cooling system. Good climate imechangia Sub saharan Africa kutotumia umeme kwa wingi. Kuna statistic moja nakumbuka nilisoma kwamba wakati wa summer huko California, kuna wakati 30-40% ya electricity consumption ni kwa sababu ya cooling the houses through air conditioning systems. So usione ulaya wanatumia umeme mwingi ukadhani kwamba umeme huo wote unatumika kwa sababu ya kuendesha mitambo na mashine ya viwanda, la hasha, 20% to 40% ya umeme huo unaenda kuheat au kucool their houses. Na hapa Africa hatuna haja ya kuheat au kucool our houses because of the perfect climate ambayo tumebarikiwa nayo na Mwenyezi Mungu.
Halafu fahamu kuwa kila nyumba in Saudi Arabia ina Air conditioning system. 100% of the houses in Saudi Arabia have Air conditioning system. Halafu more than 65% of electricity consumed by residential buildings in Saudi Arabia in 2018 was due to Air conditioning system. Narudia tena, more than 65% of electricity consumed by residential buildings in Saudi Arabia in 2018 was due to Air conditioning system. Hii information nimeitoa from a peer-reviewed academic article. Soma hapa
The Kingdom of Saudi Arabia (KSA) characterized by very hot summers and the highest share of AC in household electricity consumption in the world [
2]. The use of air conditioning equipment has become prevalent to maintain acceptable thermal comfort within all buildings with a 100% AC penetration rate [
3]. Thus, significant increase in electricity consumption as well as peak demand occurs during summer months compared to the winter months. Howarth et al. [
4] assessed the relationship between temperature variation, electricity generation, and AC use for KSA. For example, electricity generation reached 60 GW during 2015 summer days due to AC loads but was only 23 GW during 2015 winter days. As the country moves from winter to summer, each 1 °C of temperature increase is found to require 1.18 GW of additional electricity generation. Similarly, Krarti et al. [
5] have shown that KSA hourly electricity consumption follows closely outdoor ambient temperatures. In particular, the analysis highlighted the contribution of air-conditioning during summer months when electrical energy demands increase to levels that are double those observed during winter months. Most of the KSA air conditioning loads are attributed to the residential building stock. Indeed, electricity consumed by housing stock represents 45% of the total KSA consumption during 2018 well above that used by the industrial sector (18%), commercial buildings (17%), and governmental facilities (15%) based on reported data [
6].
Moreover, over 65% of the 2018 electricity consumed by the residential building stock is due to air conditioning equipment [7].
Ukitaka kusoma zaidi, link ndio hii
This paper assesses the benefits of transitioning to high efficiency air conditioning (AC) equipment for existing units specific to the residential building stock in the Kingdom of Saudi Arabia (KSA). The analysis is based on a calibrated ...
www.ncbi.nlm.nih.gov