Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

40 foot container!
By the way 40 foot container inaweza weigh anything depending on the goods it is carrying and the amount of space it occupies. So some 40 ft containers zinaweigh 29 tonnes, zingine 27 tonnes na zingine 23 tonnes e.t.c so inategemea na mzigo iliyobebwa ndani ya container ila standard weight measurement ya 40 ft container ambayo Kenya inatumia ni 1 40 ft container = 24 tonnes. So Mombasa port in 2019 ilihandle 1.4 million teus which is equal to 1.4 million * 24 = 33.6 million tonnes. So sio kweli kwamba Mtwara itahandle 1.5 million teus maana hio itakuwa 1.5 million * 24 = 36 million tonnes. Yaani unajaribu kusema kwamba Mtwara port itakuwa kubwa kushinda Mombasa port au hata Dar es Salaam port? Itakuwa the biggest port in East Africa in terms of capacity? Hio haiwezekani.

Hata google haikubaliani na wewe. Google inasema kwamba Mtwara port ina upgraded capacity ya 750,000 metric tonnes. Lakini najua google iko wrong maana upgraded capacity ya Mtwara ni 1 million tonnes sio 750,000 tonnes
1612035426253.png

After expansion, Mtwara itahandle 1 million tonnes sio 1.5 million teus kama unavyodanganya
 
View attachment 1690235

After expansion, Mtwara itahandle 1 million tonnes sio 1.5 million teus kama unavyodanganya
Numekuonyesha video manager Mtwara port akielezea Mtwara port ita-handle 1.5 Million metric tons!

Wapi credible source ya Lamu port ku-handle 1.4 mln TEUs?
 
Hivi hujioni kama unaongea ujinga kusema 3 berths za Lamu port zitakuwa na capacity zaidi ya Mombasa port?
Lamu port ni 1.2 million teus. Mombasa port in 2019 ilikuwa ni 1.4 million teus. So Mombasa port bado ina capacity kubwa kushinda Lamu port by 200,000 teus.
 
Numekuonyesha video manager Mtwara port akielezea Mtwara port ita-handle 1.5 Million metric tons!
Ni sawa. Hakuna shida. Sasa umenisaidia kukunasa. Mbona hapa kwa comment yako ulisema kwamba Mtwara itahandle 1.5 million teus?
aawapi wacha ujinga wa kuokoteza unrealiable links! leta link za KPA!

Mtwara ita-handle nayo 1.5 millions TEUs! Maana hizo ni SI ya cargo at any port, kipimo ni 40 feet container pia!

kwani unaonaje hii size ya beth hii?

Halafu sie feasibility study ya Mtwara port-Mbamba Bay port railway ishakamilika!

Umeona hii pia?

Anyway ni vizuri tumekubaliana kwamba Mtwara port itahandle 1.5 million metric tonnes ilhali Lamu port itahandle 1.2 million teus (au ukipenda 1.2 million * 24 = 28.8 million tonnes) of cargo.
 
Lamu port ni 1.2 million teus. Mombasa port in 2019 ilikuwa ni 1.4 million teus. So Mombasa port bado ina capacity kubwa kushinda Lamu port by 200,000 teus.
Evidence Lamu port existing 3 berths ni 1.2 mln TEUs?
 
Yeye anasema eti hela yetu umekula kisha umeenda kuajiriwa kwengine, ina maana huyo Dr hakatwi mkopo na bodi? Yeye mwenyewe anamtukana Dr kwamba kaiba hela ya serikali anaosema ni yake katoa wapi hiyo hela ya kusomesha wataalamu?
Tatizo mkiongea tu mtajiona mko sahihi, ukiwa na hela hii kauli mbaya, ila siku ukijikuta unauwezo tu wa kwenda government hospitalz halaf huyo doctor hayupo ndio utaelewa kinachosemwa hapa, sio kila kitu lazima kiwe na maslahi kwako ndio kamaanisha hivyo, Point ni kwamba mtizamo usiwe tu maslahi, bali kuna kipindi mtatakiwa kujitoa ninyi, mfano, Wapo watu wanafanya kazi kuliko hata mawaziri pengine, lkn hatuwaoni ila they suffer for the benefit of others, asa ukikaa kuangalia matawi ya kauli hii bila kuchimba lengo, utakuwa ni zaid ya asiyefikiri vema.
 
Udikteta uchwara, acha kumtishia mwenzako kisa kasema ukwel..
Mwani mkopo halipi au kasoma bure, watanzania bana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha ushabiki,, usio na tija, kua sasa sio kila kitu kurukia tu, yaani mfano madaktari bingwa wa kenya waajiriwe uganda mtafurahi?? Sometimes unawabana wachache kwa faida ya wengi
 
Numekuonyesha video manager Mtwara port akielezea Mtwara port ita-handle 1.5 Million metric tons!

Wapi credible source ya Lamu port ku-handle 1.4 mln TEUs?

Wacha nikutafutie credible source ya kwamba Lamu port ina capacity ya 1.2 million TEUs. Nitapost kesho. Nitakumention ili uisome. Sasa hivi nina usingizi. Usiku njema
 
Evidence Lamu port existing 3 berths ni 1.2 mln TEUs?
Umeitisha credible source, infact wewe unataka tu KPA, hutaki source ingine. Nimeipata. Kabla nilale wacha nikupe evidence. Lakini baada ya kusoma hii evidence na kugundua kwamba Lamu port itakuwa kubwa kushinda Dar port, tafadhali usikae kimya. Kuja ukubali kwamba Lamu port ni kubwa kushinda port yoyote ile Tanzania. Infact Lamu port ina capacity kubwa kushinda port zote za Tanzania combined. Kama unapinga hili kuja battle, niko tayari.

Anyway ndio hii evidence. Nimeitoa kwa handbook ya KPA ya 2020. Hii ni screenshot ya page 48. Angalia paragragh 5 line 2.
1612038821012.png

Na kama unataka link ya hio handbook ya KPA, ndio hii hapa
 
Acha ushabiki,, usio na tija, kua sasa sio kila kitu kurukia tu, yaani mfano madaktari bingwa wa kenya waajiriwe uganda mtafurahi?? Sometimes unawabana wachache kwa faida ya wengi
Kwn huyo bingwa kaajiriwa burundi[emoji1787][emoji1787]
Yani ulishindwa uandike nn mpka unatoa mfano wa kiboya kweli
 
Umeitisha credible source, infact wewe unataka tu KPA, hutaki source ingine. Nimeipata. Kabla nilale wacha nikupe evidence. Lakini baada ya kusoma hii evidence na kugundua kwamba Lamu port itakuwa kubwa kushinda Dar port, tafadhali usikae kimya. Kuja ukubali kwamba Lamu port ni kubwa kushinda port yoyote ile Tanzania. Infact Lamu port ina capacity kubwa kushinda port zote za Tanzania combined. Kama unapinga hili kuja battle, niko tayari.

Anyway ndio hii evidence. Nimeitoa kwa handbook ya KPA ya 2020. Hii ni screenshot ya page 48. Angalia paragragh 5 line 2.
View attachment 1690274

Na kama unataka link ya hio handbook ya KPA, ndio hii hapa
We kweli kiboko[emoji1787][emoji1787]
Lizee geza sijui sasa ata shift to gear nambari ngapi
 
Tatizo mkiongea tu mtajiona mko sahihi, ukiwa na hela hii kauli mbaya, ila siku ukijikuta unauwezo tu wa kwenda government hospitalz halaf huyo doctor hayupo ndio utaelewa kinachosemwa hapa, sio kila kitu lazima kiwe na maslahi kwako ndio kamaanisha hivyo, Point ni kwamba mtizamo usiwe tu maslahi, bali kuna kipindi mtatakiwa kujitoa ninyi, mfano, Wapo watu wanafanya kazi kuliko hata mawaziri pengine, lkn hatuwaoni ila they suffer for the benefit of others, asa ukikaa kuangalia matawi ya kauli hii bila kuchimba lengo, utakuwa ni zaid ya asiyefikiri vema.
Mwambieni aongeze kipengele cha sheria inayosema ukisomeshwa na serekali basi we utaitumikia serekali milele hata km utamaliza deni lako.
 
Kwn huyo bingwa kaajiriwa burundi[emoji1787][emoji1787]
Yani ulishindwa uandike nn mpka unatoa mfano wa kiboya kweli
Wewe wakati mwingine unapaswa kutumia kichwa kufikiri na sio kutumia tu makalio, Magu anaongelea maslahi ya taifa kwmb nchi inasomesha daktari inampa training mpk anakuwa daktari bingwa ili asaidie watu maskini wasio na uwezo wa kumudu gharama za private hospitals ambazo ni profit oriented.

Hzo private hospitals zinasubiri mtu akwive ndo zikamchukue yn hazimchukui akiwa bado mbichi zinamchukuwa akiwa ni expert zen zinamuongeza pesa kdg ili akawafanyie kazi yao ya kutengeneza profit na sio ku serve the public.

Hivi ushawahi jiuliza km ma doctor bingwa wote wa serikali wakiweka mbele maslahi yao kutabaki nani govt hospitals? Na je wananchi maskini ambao ndiyo wengi watahudumiwa na nani? Na je km ni hivyo je serikali nayo ikisema inaangalia maslahi kwmb mwenye pesa ndiyo asome je hao madaktari ambao leo hii wanaangalia maslahi binafsi je wangesoma?

Wakati mwingine sio kila kitu ni cha kushabikia tu pima uzito wa hoja km unaiweza changia fairly na sio kuropoka tu mradi uonekane na ww umo.

Hapo Magu alikuwa sahihi kabisa japo kwa jicho la kawaida unaweza sema hajali maslahi ya watumishi.
 
Mwambieni aongeze kipengele cha sheria inayosema ukisomeshwa na serekali basi we utaitumikia serekali milele hata km utamaliza deni lako.
Wewe ni mpumbavu na Wakenya wengi wapo dizain yako ni wajinga sn na ndiyo maana mnapigwa kila uchwao kwa kuendekeza huu usenge wa ujuaji, mwenzako Tony254 ameelewa na humwoni kuchangia cz anajua Magu kamaanisha nn ila wewe kichwa maji unaeendekeza ubishani ktk kila hoja bado hujaelewa lengo la Rais.
 
Umeitisha credible source, infact wewe unataka tu KPA, hutaki source ingine. Nimeipata. Kabla nilale wacha nikupe evidence. Lakini baada ya kusoma hii evidence na kugundua kwamba Lamu port itakuwa kubwa kushinda Dar port, tafadhali usikae kimya. Kuja ukubali kwamba Lamu port ni kubwa kushinda port yoyote ile Tanzania. Infact Lamu port ina capacity kubwa kushinda port zote za Tanzania combined. Kama unapinga hili kuja battle, niko tayari.

Anyway ndio hii evidence. Nimeitoa kwa handbook ya KPA ya 2020. Hii ni screenshot ya page 48. Angalia paragragh 5 line 2.
View attachment 1690274

Na kama unataka link ya hio handbook ya KPA, ndio hii hapa
Inaenda mwaka wa 10 Lamu port 3 berths r not completed! Aside the fact the 3 berths will not have ability to receive oil cargo!
 
Back
Top Bottom