Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kazi Ni ya risk lazima walipwe tofauti ,Unaweza ukafunga shift kaja mgonjwa kapigwa na sukari inabidi ukapambane nae laah anakufa hapo ukicheza utatoka job usiku....Ukitaka kutoka huoni wakumsaidia huyo mgonjwa...Mbona wabunge wanalipwa milioni 10+ M walijopanidishia posho kutoka 70k hadi 300k[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Tufanye kazi na tudai maslahi mazuri iyo ni sahihi mbona...sikuhz kuna vituo by afya viko ndanindani uko yani unajikuta hata likizo unaweza usiende mzigo ulivyo mzito
Mzee hakuna kazi isiyo ya risk. Kazi zote zina risk.
Sasa walimu wasemeje sasa!?
 
Tofauti utaiona omba uzima
Tofauti gn mkuu kwa mfano? Kazi yyte ile ina risk yake, vp kuhusu wazee wa machimbo na hao madaktari ni wepi wana risk kubwa? Vp kuhusu jeshi? Hakuna kazi isiyo na risk, km mtu uneisomea au kuichagua kazi flani it means uliipenda mwenyewe na changamoto zake ulizikubali cz ndiyo maisha yako hayo na umependa kuwa humo hakuna aliyekulazimisha, ni sawa na kusema somo flani gumu kuliko lingine japo huwa tunapenda kusema hvyo lkn kiuhalisia hakuna somo gumu kuliko lingine na ndiyo maana unakuta somo unaloliona wewe gumu mwenzio kapiga A na somo unaloliona rahisi wewe mwenzio kapiga F.
 
Sawa
 
Mbona mnazidi kuja Nairobi kama Nairobi ni mbaya? Karibu kila siku nakutana na Mtanzania huku. Na sio kwamba wanafanya kazi ya ofisi inayohitaji masomo. La hasha, wao wanafanya biashara ndogo ndogo. Wengi wamefungua kiosk yaani duka. Wengine wanauza nguo za mitumba, wengine ni waiters kwenye mahoteli. Kuna wengine ni omba omba huku hata kiswahili chao ni cha kitanzania. Yaani sio kwamba wanafanya kazi inayohitaji kisomo. Hata wakati MP Jaguar alisema kwamba Watanzania wafukuzwe huku maana ni wengi sana, baadhi ya wafanyibiashara wa Kenya walisupport maana mpo wengi sana huku. Halafu hawana work permit na polisi wa huku wanakula hongo tu badala ya kuwakamata kwa kukosa work permit. Hata wengine hawana passport na kama wewe ni Mtanzania lazima uwe na passport ili uingie Kenya. Huwa tunawaacha tu maana nyinyi ni jirani ila kisheria tunastahili kuwakamata hawa watu kwa kukosa vibali. Mnasema tuna roho mbaya ilhali tunawaachia mnachanganyika na Wakenya wengine na kuleta competition za kibiashara kwa Wakenya. Kuna mfanyibiashara Mtanzania mahali ambapo naishi amefungua supermarket na Wakenya wananunua bidhaa bila kumbagua. Hata mimi huwa naenda huko kununua bidhaa. Halafu ameajiri Watanzania tu. Kuna siku nilipiga gumzo naye, anasema anatokea Tanga. Sasa huko Tanga sijui ni wapi lakini hamtubagui

Cc MK254

Hao Watanzania unaowasema sidhani kama kuna hata mmoja miongoni mwao anayemiliki kipande cha ardhi,kama ulivyodai kuwa wengi wao ni wachuuzi

Ila sasa,Wakenya wengi ambao wapo Tanzania bila vibali wanamiliki vipande vikubwa vya ardhi

Mkiwavuruga hao Watz walioko huko hata Wakenya walioko Tz hawawezi kuwa salama,tena kuna hatari ya wao kupoteza zaidi
 
Ukiona hvyo maslahi yake yameguswa huyo, si unajua waafrika tulivyo wabinafsi.
Kwhyo na wewe ya kwako hayajaguswa ndio manake unazidi kuunga juhudi, endelea kuunga basi mpka ile siku ya kwako yataguswa na wewe ndio ubongo uanze kuutumia ubongo kisawasawa
 
Back
Top Bottom