Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na huo ndiyo ukweli, hizi takwimu za gdp kwa kiasi kikubwa zinatumika kisiasa.
 
Ghana population yao ni only 30 million na nyinyi mko 60 million na bado wana Gdp kubwa kuwashinda. Na Gdp per capita yao ni double yenu. Ghana sio size yenu. Wale wako mbele yenu
View attachment 1688452
Kwahiyo leo umekubali kwmb popln yenu ni zaidi ya 52mil kwmb kanchi kadogo mnazaana km ngedere na kwmb licha ya ukubwa wa Tz lkn bado tunawazd only 8 mil people, wallahi watu mnajua kupigana mkapula [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hata ulie haitosaidia [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]
 
Kwahiyo leo umekubali kwmb popln yenu ni zaidi ya 52mil kwmb kanchi kadogo mnazaana km ngedere na kwmb licha ya ukubwa wa Tz lkn bado tunawazd only 8 mil people, wallahi watu mnajua kupigana mkapula [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Eti mtz naye anaongelea kuhusu kuzaliana[emoji23][emoji23]
Mtu ndani ya miaka 50 tulikua sawa lkn sai ana watu zaidi ya milion kumi mbele na bado wanaendelea tu[emoji23][emoji23]
 
But what I am happy with, there is a bright future in East Africa.
Tukiendelea hivi soon tutatisha
 
[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787] haimake sens,,,,,sasa kenya kuna nini cha maana ,,,,jangwa au[emoji1787][emoji1787]


hakuna city unayoijua yeyote hapa Tz ,,asilimia kubwa ya Watanzania tulio humu tuna experience na nairobi na tumewahi kukaa,,huwa haturopoki maisha ya kwenye video tunadeal na ground life.....ambayo ndiyo real
 
Yosef Festo we mbuzi umeongea saana leo, tukiwaambia kuwa Hamtuwezi tumaanisha hiv,kabla sinaenda kwenye Mambo ya muhimu zaidi tuanze na my home town, love city kulikozaliwa mapenzi. hiyo Ni Kati ya miradi ya LUGSP TANGA . Kenyans darasa za bure hiz nawapatia .
 
. Dat's tanga Beib, kituo cha mafuta kikubwa nothern Tanzania kuuza mafuta Congo DRC, najua The best 007 hi hauijui 😂😂 . Kenyans Najua nyinyi mji ili uitwe umeendelea (jiji) ni uonekane umejengwa apartment's nyingi 😂😂😂. Kenyans you must be crazy Yosef Festo kaa na mimi usiende mbali na runinga yako 😂😂
 
Kwahiyo leo umekubali kwmb popln yenu ni zaidi ya 52mil kwmb kanchi kadogo mnazaana km ngedere na kwmb licha ya ukubwa wa Tz lkn bado tunawazd only 8 mil people, wallahi watu mnajua kupigana mkapula [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hio ya Kenya kuwa 52 million umeitoa wapi?
 
Mbona mnazidi kuja Nairobi kama Nairobi ni mbaya? Karibu kila siku nakutana na Mtanzania huku. Na sio kwamba wanafanya kazi ya ofisi inayohitaji masomo. La hasha, wao wanafanya biashara ndogo ndogo. Wengi wamefungua kiosk yaani duka. Wengine wanauza nguo za mitumba, wengine ni waiters kwenye mahoteli. Kuna wengine ni omba omba huku hata kiswahili chao ni cha kitanzania. Yaani sio kwamba wanafanya kazi inayohitaji kisomo. Hata wakati MP Jaguar alisema kwamba Watanzania wafukuzwe huku maana ni wengi sana, baadhi ya wafanyibiashara wa Kenya walisupport maana mpo wengi sana huku. Halafu hawana work permit na polisi wa huku wanakula hongo tu badala ya kuwakamata kwa kukosa work permit. Hata wengine hawana passport na kama wewe ni Mtanzania lazima uwe na passport ili uingie Kenya. Huwa tunawaacha tu maana nyinyi ni jirani ila kisheria tunastahili kuwakamata hawa watu kwa kukosa vibali. Mnasema tuna roho mbaya ilhali tunawaachia mnachanganyika na Wakenya wengine na kuleta competition za kibiashara kwa Wakenya. Kuna mfanyibiashara Mtanzania mahali ambapo naishi amefungua supermarket na Wakenya wananunua bidhaa bila kumbagua. Hata mimi huwa naenda huko kununua bidhaa. Halafu ameajiri Watanzania tu. Kuna siku nilipiga gumzo naye, anasema anatokea Tanga. Sasa huko Tanga sijui ni wapi lakini hamtubagui

Cc MK254
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…